Kale ka"inzi" ka Mwkjj kamenipitia hapa na kunitonya kuwa Muungwana anaingia Washington DC jumatano ijayo kwa state visit ya George Kichaka.
Naona timing itakuwa problematic kwa sababu camera zote...
$25m properties nabbed over BoT fraud
The Bank of Tanzania headquarters in Dar es Salaam.
By MIKE MANDE, JOSEPH MWAMUNYANGE and WILFRED EDWIN
THE EAST AFRICAN
August 23 2008 at 08:15...
huu ukaribu wa Tanzania na comoro umetoka wapi? majeshi tuluyopeleka huko ilikuiwa kwa interest ya nani? na kwa gharama za nani? hotuba ya wizara ya mambo ya nje ilitawaliwa na mambo ya commoro...
this is the moment of truth. let as be since and disclose what we did in secret ballots!!! did you vote for Kikwete? what were your expectations? if you voted for him, do you regret? is there...
WATOTO wetu wamefanya kile ambacho sisi wazazi wao tumeshindwa, na badala yake tumeishia kufanya kile watoto hao wanachoweza kusema ni kukalia politiki tu.
Watoto wetu hawa wanaosoma shule za...
Hawa kweli ni vigogo au vibua tu!!? IPPMEDIA ni aibu kwenu kwa kushindwa kuyaweka majina ya wahusika kwenye article hii.
JK amwaga vigogo sita
2008-08-23 15:43:59
Na Mwandishi Wetu...
Nimekuwa nikijiuliza nini maana ya kubadili badili majina ya makampuni makubwa kama vile, SHERATON iligeuka kuwa ROYAL PALM na sasa MOVENPICK. Pia makampuni ya simu kama Mobitel ikageuka kuwa...
shalom, are you around? Tarehe saba mwezi huu Shalom aliweka bandiko humu JF: Tuandamane mpaka ikulu
Kuna copy inatembea mtaani nimeona ni vyema kuiweka hapa.
Nimei-type, kwahiyo huenda...
Mara baada ya hotuba ya Rais kwa Wabunge siku ya tarehe 21 August 2008 KLHN Ilipata nafasi ya kuzungumza na Katibu Mkuu wa Chama Chade Demokrasia na Maendeleo Mhe. Dr. Wilbroad Slaa (Karatu)...
Waungwana
Baada ya ripoti ya madini kutolewa JK alimpa Ngeleja wiki mbili ili aipitie na kutoa mapendekezo yake. Hiyo ilikuwa June, 2008 kama sikosei. Ngeleja akadai kwamba mapendekezo yake...
Uwanja wa Julius Nyerere ni kama daladala – Wabunge
Cassian Malima, Dodoma
Daily News; Saturday,August 23, 2008 @00:03
Wabunge jana walielekeza mashambulio kwa wanaosimamia chumba...
Habari zilizonifikia kutoka kwenye vyanzo vya habari zinasema Katibu Mkuu wa CUF MH.Seif Sharif Hamad anajiandaa kuwasilisha kwa wananchi majibu ya Mh.Kikwete kusema Zanzibar haitambuliki...
Shinikizo zuri, kutoka kwa wabunge. Zitto, Slaa nk fanyeni kweli. JK anatakiwa kuongoza nchi na kuchukua hatua ambazo hazitawafurahisha maswahiba wake sio kuleta usanii wa waziwazi.
Wabunge...
Kwenye Hotuba ndeefuu ya Jk kadai tunatumia vibaya uhuru wa habari tulionao vibaya kuwachimbachimba watu. Lakini hapa amesahau kuwa hivi sasa ni karne ya 21 ya sayansi na teknologia pia hali ya...
I am not sure anymore if we'll be able to see the 1st African American President of USA since its independence 232 years ago. For close election like this one you need to select someone who brings...
Shikamoo,
LEO nimeamua kuandika waraka huu kwako Jakaya Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka inayokaribia mitatu sasa tangu ushinde na kuapishwa mwaka 2005 baada ya...
WAGONJWA WA KITANZANIA WANAOTIBIWA NARAYANNA HOSPITAL BANGALORE ,INDIA.
Mwezi wa saba mwaka 2008 huu tarehe za 21/22 Watanzania 17 wagonjwa wakiongozana wa wasaidizi wao 11 waliondoka nchini...
Date::8/20/2008
Wasomi washauri Rais Kikwete kuwafukuza kazi washauri wake
Peter Edson na Happiness Matanji
Mwananchi
WASOMI na wanasiasa nchini wamemtaka Rais Jakaya Kikwete kuwafukuza...
Mwanyika Task Force under fire
2008-08-20 11:04:23
By Correspondent Felister Peter
Some politicians have criticised the Presidential Task Force on the External Payment Arrears (EPA)...
Mbunge: Nchi haitakalika
Mwandishi Wetu Agosti 20, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
Vigogo kuanza kulipana fadhila
Asema Tanzania itakuwa hatari kuishi
MBUNGE wa Kishapu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.