Zanzibar baada ya Mfungo inatisha Wandugu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar baada ya Mfungo inatisha Wandugu...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAGEUZI KWELI, Sep 1, 2011.

 1. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Habari za ukweli na si za kuokoteza..jana mara baada ya Waislam kusherehekea sikukuu ya idd kwa Raha kabisa mustareheee..,Wale ndugu zangu wa starehe za kupita kiwango yamewafika.

  Wadada wawili walilewesha chakariiiiiii usiku kucha baada ya kudharau kuliacha fundo la mwisho wasije umbuka.Vijana wasio na staha wakawachukuwa wakiwa chakari kabisa na kuwapeleka walipotaka wao na kuwafanya walivyotaka wao..Kisha karibia saa 12 asubuhi leo wakawapakia kwenye gari mpaka eneo la Lumumba wakiwa hoi na kama walivyozaliwa na kuwaacha mtaani peupeee...
  Huruma ikawajia wababa wakawasiriti kwenye nyumba zao mpaka sasa wapo ndani.Sijui kama na wao wamewasitiri kwa wema au ndiyo sikukuu iendeleeee!!!!! Hebu wadau semeni lolote....
   
 2. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Ujinga tu ulionao, hapo Zanzibar inahusika vipi, tabia ya mtu ndio tabia ya eneo? mbona mambo mengi tu yanatokea kwako huyasemi. yale yaliyomkuta Dada yako kule Mwanjelwa umeyasahau? au nae alikuwa anaiwakilisha bara?
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Hii habar ya Mipasho inakaa vip ktk jukwaa la siasa??.
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Sep 1, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Tuseme nini mkuu? Hayo ni maisha yao. Jana mambo kama hayo yalitokea Manzese, Mbagala kiburugwa, Buguruni (Sewa Bar), n.k
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Kweli nimeamini ule utaratibu wa JF, waliosema kuzichuja thread then ndio wanazipost nimeukubali kama hii thread kwenye jukwaa la siasa nzuri sana
   
 7. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huo ndio mshahara wa dhambi. Dhambi imezaa mimba,sasa bado mauti.
   
 8. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  huh....................
   
 9. k

  kicha JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 532
  Trophy Points: 180
  ni unafiki tu ulokujaaa ulikua unapenda uckie wana jf waanze kuitukana zanzibar ilia roho yako itulie, unaonekana huna hata uwezo wa kuwa memba humu bac tu kujaza upupu
   
 10. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  aaaah. HILI NI JUKWAA LA SIASA SIO UDAKU. MPELEKEE NEWS HIZI SHIGONGO UONGO MBAYA ATKUPOZA TU BILA WASIWASI.
   
Loading...