Hatimaye jk amwita nyerere baba wa taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye jk amwita nyerere baba wa taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nyabhingi, Aug 31, 2011.

 1. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  kwenye baraza la eid,lakini inaonekana ameandikia kwa sababu anasoma kama risala kwenye karatasi
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Maandamano! Kikwete ni kijana wa Nyerere hamna cha maana hapo! Amuite asimuite wanajuana wote lao lilikuwa na moja tu CCM
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  kwan hajawahi kumwita?
   
 4. howard

  howard Senior Member

  #4
  Aug 31, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ikumbuke story ya monduli ya kikwete na sayore ndio utajua kwa nini alikuwa hamwiti baba wa taifa, huwa anaita mzee wetu
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ukiona hivyo maji ya shingo yamemfika anazani mzimu wake utaokoa jahazi
   
 6. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Nilikuwa sijafuatilia hii. Na huwa anamalizia na jina? maana wazee wetu wapo wengi...
   
 7. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Duh yaani watu wanafuatilia hadi vitu vidogodogo kama hivi kweli mtu ukichukiwa shida tupu. Haya niambieni huyo Slaa ametamka mara ngapi neno Baba wa Taifa na ukitamka hilo neno barabara inajijenga au zahanati inajijenga?
   
 8. Mghoshingwa

  Mghoshingwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  <br />
  <br />
  Umeishiwa na hoja. Nonsense!
   
 9. m

  mbweta JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  Nitaipataje ile post ya kikwete monduli.
   
 10. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  kuelemewa kubaya

  watanzania wengi ni mashabiki wa Nyerere

  ukimkubali Nyerere nao watakukubali(hata bila kuangalia lengo lako,anatafuta huruma ya wa-tz hapa)
   
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  lazima ampe respect, kwa kuwa siku isiyojulikana watakutana uso kwa uso kama yule tajiri na lazaro wa kwenye bible.
   
Loading...