Hili la Igunga ni doa...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili la Igunga ni doa...!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by suley, Sep 1, 2011.

 1. s

  suley Member

  #1
  Sep 1, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika kuelekea uchaguzi mdogo wa jimbo la igunga unaotegemea kufanyika hivi karibuni, kumepelekea kuwepo mikakati mbalimbali inayofanywa na vyama mbalimbali vya siasa katika kuhakikisha kuwa jimbo hili linachukuliwa na kuwa chini ya chama husika.

  Kutokana na hulka hiyo CCM imejikuta ikipanga mikakati mbalimbali ya kuhakikisha jimbo hili haliendi kwa wapinzani,na vyama vya upinzani vikiongozwa na CUF na CDM wakijaribu kuling'oa jimbo hili kutoka kwa chama tawala. hivi karibuni nimepata taharifa kuwa kuna mkakati wa chama cha CDM kuleta vijana mia nane (800) ili kusaidia kampeni zinazotarajia kuanza hivi punde ambapo mpaka jana vijana takribani mia tatu walikuwa tayari wameshaingia maeneo mbalimbali ya jimbo hili.

  Lakini chenye kutia shaka na doa kubwa ni mkakati halisi wa utendaji kazi wa vijana hao ambao kila mmoja anapokea posho ya shilingi elfu thelasini (30,000) kwa siku, mkakati wao kwa namna nilivyopata kuufahamu kupitia baadhi ya wapasha habari hii ni kuwa haupo kidemokrasia wala hauna nia ya kufuata falsafa ya utii wa sheria na utawala bora kwani mkakati huo unajumuisha kushusha bendera za ccm wakati wa usiku,kuchochea makundi rika wakilengwa vijana katika kuhamasisha vurugu kipindi cha kampeni kwa matumizi ya mabango yenye maneno ya kashfa na matusi ambayo yanaandaliwa hivi sasa, mikakati hii na mingineyo kama hii ni doa katika igunga.

  Napenda kutoa angalizo kuwa siasa si uadui wala vurugu, tutumie mikakati inayofuata utaratibu wa kisheria na demokrasia katika mchakato huu wa kutupatia wanaigunga kiongozi bora tumtakae...!
   
 2. dhahabuinang'aa

  dhahabuinang'aa Senior Member

  #2
  Sep 1, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  labda wewe umetumwa kama sio unafikiri kutumia masaburi kwani nani hajui kuwa hizo ni za ccm kuna vijana shelui wanafanya mazoezi waje wavuruge uchaguzi
  hao wa cdm ni lazima viongozi wawepo kuongoza kinachoendelea fikiri kutumia kichwa acha masaburi
   
 3. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Changanya na za kwako
   
 4. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Napita tu!!!
   
 5. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,223
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Igunga bila sisiemu inawezekana....!!
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Sep 1, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Sijaelewa
   
 7. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  HEARSAY EEH!?
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Huu ni Usongombwingo
   
 9. M

  Mutukwao JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpaka sasahvi ccm tayari wameshashinda
   
 10. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  nakubaliana na wwe kwa wizi wao wa kura tuu hawajambo
   
 11. s

  sirng'udi Member

  #11
  Sep 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  aliyekutuma pamoja na wewe mumengia sehemu ambayo haiwahusu temu hii hatudanganyiki mutaandaa propaganda ambazo zitakula kwenu chama cha mafisadi (ccm) ushindi lazima uende CHADEMA mwenye wivu ajinyonge kama alivyosema ZOMBE kuwa atajinyonga
   
 12. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nani asiyejua kutoa bendera za chama kingine ni kazi ya ccm!
   
 13. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nashukuru leo ntapita tena Igunga japokuwa ntakuwa kwenye basi angalau ntanusa harufu ya ushindi wa Chadema!
   
 14. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #14
  Sep 1, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Huyu jamaa anatafuta umaarufu hapa Jf.!
   
 15. D

  Doc Member

  #15
  Sep 1, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hizi taarifa zina ukweli wowote ndani yake? Yangu macho na maskio..
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Sep 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Kuna ukweli? Au ni propaganda tu!
   
 17. s

  samoramsouth Senior Member

  #17
  Sep 1, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni propaganda tu hizo ZISIWATISHE. CCM HAWANA CHAO IGUNGA.
   
 18. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #18
  Sep 1, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  UKOME! UKOME! kutuletea uongo kwenye jukwaa hili la Great Thinkers.
   
 19. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #19
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hatimaye tumefika ardhi ya Igunga,barabara kubwa imepambwa na bendera za vyama,Chadema, ccm na cuf.Halafu kumbe office ya Chadema wilaya ipo Barabara kubwa! Safi sana si ngumu hata kumuelekeza mtu.
   
 20. lutamyo

  lutamyo JF-Expert Member

  #20
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Tatizo la wengi humu wantumia Masaburi au bongo zao ziko kama za kuku hivyo kuwa tayari kuleta porojo za kimkakati za chama cha Mafisimaji, Kiukweli Tanzania ya sasa si ile ya kuambiwa, na kuimbiwa na kelele za kina komba hata ukizidi kushabiakia chama kinachokufa CCM haufaidi lolote zaidi ya kuwa tarishi na kutumika kama kopo la chooni. Unasema CCM wanashinda ni Mtanganyika yupi aliyewahi kuona CCm wanashinda bila Ghiriba tueleze, na Je ni wapi ccm hakijawahi kutumia polisi au watumiwaji kama ww kuleta vurugu kwenye ucaguuzi ili kishinde. TUMIA KICHWA!!!
   
Loading...