Eti Tanzania ina Koloni? nisadieni wakuu

Ochu

JF-Expert Member
May 13, 2008
976
47
huu ukaribu wa Tanzania na comoro umetoka wapi? majeshi tuluyopeleka huko ilikuiwa kwa interest ya nani? na kwa gharama za nani? hotuba ya wizara ya mambo ya nje ilitawaliwa na mambo ya commoro. rais wake kahutubia bunge leo. nisaidieni tu nielewe
 
Marekani inaitaka Comoro ,hivyo Tanzania inaweza kuwa inatumika kufanikisha matendo.
 
Back
Top Bottom