KLHN/JF Exclusive: Dr. Slaa aijibu hotuba ya Kikwete

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,399
39,548
kikweteahutubia.jpg

Mara baada ya hotuba ya Rais kwa Wabunge siku ya tarehe 21 August 2008 KLHN Ilipata nafasi ya kuzungumza na Katibu Mkuu wa Chama Chade Demokrasia na Maendeleo Mhe. Dr. Wilbroad Slaa (Karatu) kuhusu mtazamo wake kuhusu hotuba hiyo. Ifuatayo basi ni sehemu kidogo ya hotuba ya Rais na mahojiano kamili na Dr. Slaa.

[media]http://www.klhnews.com/images/podcasts/hotubayaraisAgusti20.MP3[/media]

Kama unapata shida kusikiliza hapa, jaribu kusikiliza kupitia KLHN kwenye eneo la "Listen Shows" pale juu. Kwa wale wenye Ipods na mnaopokea kupitia Itunes mtapata nakala baadaye kupitia mwanakijiji.podomatic.com
 
kikweteahutubia.jpg

Mara baada ya hotuba ya Rais kwa Wabunge siku ya tarehe 21 August 2008 KLHN Ilipata nafasi ya kuzungumza na Katibu Mkuu wa Chama Chade Demokrasia na Maendeleo Mhe. Dr. Wilbroad Slaa (Karatu) kuhusu mtazamo wake kuhusu hotuba hiyo. Ifuatayo basi ni sehemu kidogo ya hotuba ya Rais na mahojiano kamili na Dr. Slaa.

http://www.klhnews.com/images/podcasts/hotubayaraisAgusti20.MP3

Kama unapata shida kusikiliza hapa, jaribu kusikiliza kupitia KLHN kwenye eneo la "Listen Shows" pale juu. Kwa wale wenye Ipods na mnaopokea kupitia Itunes mtapata nakala baadaye kupitia mwanakijiji.podomatic.com
Kijana,

You rock! Good job either...
 
Bravo Mwanakijiji. Nimeipata japo kweny PC yangu haisikiki vizuri sana. Ninaomba kama una electronic copy ya ile hotuba yote aliyosoma tupostie hapa, au mwana JF mwenye hiyo ecopy aturushie. Thanks.
 
kikweteahutubia.jpg

Mara baada ya hotuba ya Rais kwa Wabunge siku ya tarehe 21 August 2008 KLHN Ilipata nafasi ya kuzungumza na Katibu Mkuu wa Chama Chade Demokrasia na Maendeleo Mhe. Dr. Wilbroad Slaa (Karatu) kuhusu mtazamo wake kuhusu hotuba hiyo. Ifuatayo basi ni sehemu kidogo ya hotuba ya Rais na mahojiano kamili na Dr. Slaa.

Bravo kaka!!
 
Asante sana MMKJJ, nimekupata vizuri na mahojiano ya Mh Slaa, kazi ipo kubwa mbele hakuna raisi wala serikali Tanzania, ni wasanii tu.
 
Dr. Slaa, huku shamba hatujakupata kabisaa. Fanya utaratibu through Tz daima,M/Halisi na kadhalika.

Dr. Slaa; naomba CHADEMA muwe na plan ya kuanzisha au kununua radio station. Mimi nitachangia. Plz nipe the way foward. Sijakata tamaa, na simuombi Mungu anisadie kwa sasa. Ipo siku tu, hawa kwa sasa ni saizi yetu. Naamini chama chenu kinathubutu, na ndo ccm wanawaogopa.

Sala maalum

"Mungu nilinde nisaidie vijana hasa wale walio under 18. Nitakapo kuja kwa ajili ya Msaada usiniache mwenyewe. Jina lako lihimidiwe. Bariki Tanzania, Bariki Tanganyika"

Asante
 
Dr Slaa na Mzee Mwanakijiji

Laiti kama ningeweza kuwafunulia moyo wangu muone jinsi nilivyojawa na shukrani kwenu. Hii ni kazi nzuri sana na ni hatua kubwa katika kusukuma mbele maendeleo ya Demokrasia Tanzania. Hongera sana.

Kwa pamoja mmeyachambua mambo ya msingi na kufanya fikra zangu zichemke zaidi....

Mgogoro wa Zanzibar naona una utata mkubwa kuliko raisi anavyolichukulia.

Suala la EPA na uhalifu uliotokea BoT ni dhahiri kabisa kuwa raisi kuna jambo analoliogopa kulitenda either kwa "kuwaogopa hao wahalifu" au kwa nia dhahiri ya kuwalinda kwa makusudi.

Uhalifu mwingine uliotokea BoT sitegemei iwapo kuna hatua zozote zinazochukuliwa.

Nathani msaada mkubwa tunaoweza kujipa Watanzania ni kupeleka wabunge wengi zaidi wa kambi ya upinzani bungeni.
 
Bravo Mwanakijiji. Nimeipata japo kweny PC yangu haisikiki vizuri sana. Ninaomba kama una electronic copy ya ile hotuba yote aliyosoma tupostie hapa, au mwana JF mwenye hiyo ecopy aturushie. Thanks.

Maane, mimi inayo hiyo hotuba yote ya JK ktk DVD, ni kubwa sana: 3hrs, 2.5GB! get in touch and you will get it for your future perusal.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom