Pres. Kikwete to the US | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pres. Kikwete to the US

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jasusi, Aug 23, 2008.

 1. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2008
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kale ka"inzi" ka Mwkjj kamenipitia hapa na kunitonya kuwa Muungwana anaingia Washington DC jumatano ijayo kwa state visit ya George Kichaka.
  Naona timing itakuwa problematic kwa sababu camera zote za TV zitakuwa Denver kwenye convention ya Democrats. Stay tuned
   
 2. M

  Mkandara Verified User

  #2
  Aug 23, 2008
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Jasusi,
  Kutakuwa na bash huko wakati JK yuko mjini maana nataka kuingia.. Nataka sana kuonana uso kwa uso na Muungwana na kama ikiwezekana namwangushia kitu cha Rev. Kishoka....
   
 3. O

  Ogah JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145

  .......yeah Bob,

  ile kitu "Marshall Plan" imetulia....yaani hivi sasa nairudia tena kuisoma i.e baadhi ya vipengele kabla sijatoa maoni yangu pia............
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2008
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mkandara,
  Nitaulizia ubalozini and I will get back to you. Nitumie simu yako kwenye PM
   
 5. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkandara,

  Mpe salam zake kwamba kuna Pundit anaogopa kutapika in public akimuona.I will never endeavor to see this joker in my life.I do not wish to give him that grace.
   
 6. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Jasusi,

  Tuwakilishe, ukikutana na Curtis mwambie akupe hotuba ya Bunge 08/21/08!
   
 7. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kuna matayarisho ya base ya Kimarekani hapo Bagamoyo ambapo pamevuma kuwa waarabu watajenga bandari na aiport ila ukipita katika manispaa ya ilala na kuona document za sehemu hiyo ya bagamoyo kuna tetesi kuwa baadhi ya maandishi yanaonyesha mipaka ya base ya kijeshi ya kimarekani. Kama inzi wenu wanafanya kazi basi wapelekeni katika manispaa ili kuona mipangilio ya ramani ya sehemu hizo.waarabu wanatumikaau wanatumiliwa na rangi iliyopakwa ni kuwekeza kituo cha kibiashala.
   
 8. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2008
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Vasco da Gama, miguu inamwasha! Kila ya kheri, maybe ufanye kama Balali, usirudi!! kwikwikwi
   
 9. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2008
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mwiba,
  Let's hope ni kituo cha biashara. Mwalimu alishasema ukiwaingiza Marekani nchini mwako hawaondoki. Angalia Iraq.
   
 10. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  hayo waambieni CCM na kiongozi wao asie kwisha safari za Marekani ,naona kuna hatua akimaliza zi lazima aende akapeleke alipofikia na hali ya ndani ya Nchi,sasa sijui baada ya mazungumzo pale bungeni ndio anahisi kuna hatua fulani ameshaihitimisha ,labda ni ile ya kujitapa kwamba yeye ana nguvu ,masikini Kikwete anaanza kukufuru .
  Na ndio hivyo kama maneno ya Nyerere aliyasema basi na Muungwana ayapime na viongozi waliofanya urafiki na marekani aone hatima yao .
   
 11. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Guantanamo inakuja Tanzania?
   
 12. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #12
  Aug 23, 2008
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,427
  Trophy Points: 280
  majenerali waandamizi wa tanzania walishamuambia huyu ..bure kuwa hawataki base tanzania..yeye pia ameshawahi kuwa mwalimu wa siasa jeshini...so anajua sera yetu ya ulinzi....ukishakaribisha base ya marekani hapa nchi haitakaa iwe stable..marekani tabia mbaya siku wakitofautiana na sittin president watatumia base yao ku initiate choko choko....hatutakuwa na amani tena...siku tukiamua uranium yetu wanunue wa russia pia watataka kutukataza....hiii kitu haitufai!!!
   
 13. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #13
  Aug 24, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Yep,

  Kama lipo naomba ratiba kamili ili nilete kundi langu zima na mchwa na nguchiro. Nimeshakosa kuhudhuria mabash mengi sana kwa sababu za taimingi; ningependa nisilikose hili nalo. Mimi nitampa vidonge vyake papo kwa papo bila kumficha au kujiependekeza. Nitatayarisha dossier lenye vielelezo na takwimu thabiti na kumtaka atoe maelezo ya kuonyesha amefanya nini na ni wapi anakopeleka taifa hili.
   
 14. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2008
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  hmmm!!!
  Na zile tripu za balozi wa Marekani Pemba na lile manowari la USS Ashland mitaa ya Pemba tutaite?
  Alafu kuhusu Airport ya Bagamoyo kuna tetesi kuwa wajenzi ni Wachina hii ya waarabu ni mpya.
   
 15. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2008
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Kama misaada ya investment zitakuja poa tu hata kama watu wakisema.
   
 16. M

  Mkandara Verified User

  #16
  Aug 24, 2008
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kamundu,
  Mkuu unajua wakati mwingine tuwe tunajiuliza maswali mengine madogo madogo pamoja na kwamba yanaweza kutokana na kutokufahamu..
  Hivi toka Kikwete aingie madarakani tumeshapata misaada mingapi na ni investment gani zimefanyika!..
  Naomba list hata chache ya investments ambazo una hakika zimetokana na mikopo ya serikali yetu toka nje na hasa US..
   
 17. M

  Moelex23 JF-Expert Member

  #17
  Aug 24, 2008
  Joined: Oct 8, 2006
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna dinner nadhani JK atapatikana huko. Just contact the org.

  You are cordially invited to a Reception & Special Announcement with His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania on the Letter of Commitment for the provision of a site in Tanzania for the establishment of the ICCF International Conservation College on Wednesday, August 27th from 5:00 - 6:00 pm in the Gold Room, (2168 Rayburn House Office Building) on Capitol Hill.

  The International Conservation College will be established as a non-profit educational institution administered by the ICCF and will be the first "field college" of its kind. The college will be used to educate the world's political and business leaders on the vital links between good natural resource management and sustainable economic development, poverty alleviation, conflict avoidance, and regional security in the developing world.

  RSVP to David Barron:
  202.471.4222
  hq@iccfoundation.us
  The International Conservation Caucus Foundation (EIN #83-0449176)
  is a 501(c)(3), tax exempt organization.
   
 18. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #18
  Aug 25, 2008
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mkandara dola $800M za barabara na $50M za ukimwi.
   
Loading...