Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Are they really fighting for poor people or their tummies?? Binafsi nasikitishwa sana na jinsi primaries za CCM zilivyokwenda hasa ukizingatia kiasi cha pesa kilichotumika; on average at least 2...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alisema Serikali ya CCM imeshindwa kazi hivyo haifai kuwa madarakani wala kuongezewa wabunge kwa kuwa itazidi kuwadidimiza wananchi. Alisema haiwezekani rais...
1 Reactions
69 Replies
8K Views
Baada ya mageuzi ya hapa na pale, tovuti maarufu ijulikanayo kama JamiiForums, iliamua kuanzisha Television ya luninga, na kwa bahati nasibu kabisa nimebahatika kuwa mmoja wa watangazaji...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kweli kujuana ni kuzuri maana mnaweza mkajazana kwenye wizara familia moja tu. et afisa madini mkazi kule tangaambako machimbo yamewafunika watu wanne anaitwa Philip ngeleja.....nashindwa kuelewa...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Hoteli ya Kilimanjaro, ambayo zamani ndiyo ilikuwa hoteli ya heshima kubwa ya taifa la Tanzania, imepitia wakati mgumu tangu kubinafsishwa kwake katika mazingira ya kutatanisha. Imepitia jina la...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
06th September, 2011: News from Tanzania Corruption Tracker System; Current Issues Corruption which is afflicting many public institutions in Tanzania has finally hit the country's leading money...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Asalam Alekhum wana JF wote, Nimekuwa nikijiuliza hasa kwa nchi za Misri, Iran, Tunisia etc kwa nini maandamano yanashika kasi sana siku za ijumaa baada ya Alasiri bila mafanikio ya uwelewa wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika harakati za kumpata Diwani kata ya Mjimwema katika Halmashauri ya Njombe zimeanza leo, ambapo kundi la kumnadi mgombea wa CCM pamoja kwamba limepita mitaani ndani ya nguo zao kijani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa taarifa ya TBC Taifa, Rais Kikwete alisaini hati maalumu ya kuanza kwa mikoa na wilaya mpya tarahe 5/9/2011 na tangazo rasmi litaandikwa kwenye gazeti la serikali tarehe 10/9/2011...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Tanzania Mpya Bila Ulinzi Mpya - Inawezekana? Tanzania inahitaji kujionesha ni taifa linalojiamini na ambalo linajua uwepo wake una maana gani. Ili kuweza kufikia hapo ni lazima kwanza kama...
10 Reactions
26 Replies
5K Views
Wana Jf kwa mimi hapa nilipo sijaona changes yoyote iliyoletwa na uwepo wa Symbion Power, umeme ndo umekuwa balaa zaidi... hatukuwahi kukatiwa umeme j'pili ila hii ni mara ya pili wanauchukua asb...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
*Yaelezwa chama kimekosa uwezo kukosoa serikali *Mawaziri, ma-RC, ma-DC nao waondolewe ujumbe NEC Na Mwandishi Wetu HALI ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) si shwari kutokana na misuguano ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Majuzi ndugu JK rais waa Nchi hii alikuja Mlimani City kufungua kikao cha makandarasi walio kutana eti kutafakari miaka 50 ya Uhuru wa Nchi hii na maendeleo ya kazi yao .Nilishangaa kuona kwa mara...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimesoma hizi Wikileak diplomatic cables na kuona JK anavyoingizwa sehemu mbalimbali na kujikuta ninajiuliza hilo swali. Sijui wengine mmeona pattern fulani au mmejiuliza swali au kupata majibu ya...
5 Reactions
71 Replies
7K Views
Bila ya shaka hakuna ubishi kuwa nchi yetu sasa inaugua maradhi makubwa, pengine ni maradhi makubwa zaidi ya ukimwi. Ufisadi, mfumuko wa bei za vyakula unakua kila siku wakati wenzetu wanaojiita...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Igunga kumeshika moto , kila chama kinajaribu kutumia kila weredi ili kiibuke mshindi, lkn swali ninalojiuliza mwenzenu hadi hivi sasa. hivi CUF bado ni wapinzani..? je kama...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesisitiza msimamo wa Tanzania wa kutotambua Baraza la Mpito la Libya (NTC) na badala yake amelitaka litekeleze mpango wa amani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwazoni mwa miaka ya 1980 wakati huo nikiwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi mvuaha,wilayani morogoro vijijini, mkoani morogoro kilitokea kituko cha mwaka kama sio cha karne. Kilikuwa kipindi...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Mbali ya porojo za Ngeleji leo umeme umekuwa hivi;saa 2as ulikatwa,saa 10jio ukarudishwa,saa 11jio ukakatwa,saa 3usik ukarudishwa,kuanzia saa 4usiku huu hata sasa tuko kwenye giza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…