Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama cha Mapinduzi CCM kimeahirisha kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, NEC, kilichotarajiwa kufanyika mwezi huu mjini Dodoma, kwa ajili ya utekelezaji wa dhana ya kuvuana magamba, inayowalenga...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
TAARIFA ambazo zimethibitishwa na katibu wa CDM mkoa wa Mwanza Willson Mshumbusi ni kuwa Mkurugenzi wa taifa wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Wilfred Rwakatare...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
ALHAMISI ya wiki iliyopita wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walimkamata Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Bi. Fatma Kimario kwa madai kuwa walimkuta akifanya kikao na viongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau CCM baada ya kupata taarifa ya kuwa kijana machachari ZTTO ZUBERI KABWE mwenye uwezo wa kujenga hoja na kushawishi watu ametua igunga jana wameamu kupeleka vilaza wao wengine Janaury...
6 Reactions
145 Replies
14K Views
Ninesoma kwenye gazeti la Tanzania daima Mpinzani wa JK apeta TUCTA, kuwa wabunge wa viti maalum CCM wametimuliwa kwenye kukao cha tukta kwa kuwa wao sio wanachama! Wadau, uwezekano huo upo...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Nchi za magharibi zilianza kusambaza ukoloni mpya katika mashariki ya kati na zinaelekea kufanikiwa!! Sasa zimerudi Afrika Tayari Tunisia, Misri, Sudan na Libya wamemaliza kazi. Safari hii...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu hapa ninamashaka na haya mambo,muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964 nakutengeza Tanzania.Swali langu chama gani kiliongoza wakati huo wakati nchi moja inabidi iwe na serikali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwamba kuna baadhi ya vyama hapa nchini hutumia picha za maandamano kuombea pesa toka kwa wafadhili nje,, inasikitisha sana. Wananchi wanatumiwa kukaa juani na kuandamana ama kuishia kukatana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tukio la kukamatwa na kuwekwa chini ya Ulinzi la Mkuu wa Wilaya ya Igunga Fatuma Kimario limezua Mjadala Mzito sana. Asubuhi hii nimeamkia Mada iliyoanzishwa na Mzee Mwanakijiji iliyokuwa na...
1 Reactions
0 Replies
895 Views
Mimi nina amin mtu anayekaa na kumkashfu au kumtukana bwana Nape Nnauye ni hana akili timamu.. Kwa sababu kat ya watu kumi wacompenda nape kwa sababu ni wawili tu na hakuna mwenye sababu za mcng...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi hawa CCM wana akili kweli? Juzi CCM wamezindua kampeni zao kumnadi mgombea wao wa kata ya MASEKELO. Jamani ni aibu bora wahesabu wamepoteza kuliko kupoteza energy yao. Mh Kilango ndo...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Sat, Sep 17th, 2011 | Tanzania Sat, Sep 17th, 2011National Electoral Commission (NEC) director Rajab Kiravu Igunga residents have been urged to maintain peace and tranquillity in the run-up...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo asubuhi zaidi ya polisi 50 walimshika Kampeni meneja ambaye pia ni Mbunge wa Maswa mashariki,mh Kasalamboi pamoja na mbunge wa viti maalum Suzan Kiwanga, baada ya kuwashikilia kwa muda na...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Punde nimepokea habari kutoka Ingunga kuwa DC wa wilaya hiyo kapata kipigo kutoka kwa wana chadema waliomtuhumu kuhusika katika njama za kuwahujumu katika moja ya mkutano. UPDATE ONE VIDEO...
0 Reactions
301 Replies
28K Views
Shirika la Hifadhi ya Jamii (NNSF) limeandaa mkutano wa siku tatu na wahariri wa vyombo vya habari mjini Tanga. Lakini taarifa zilizopatikana hivi sasa, zinasema baadhi ya wahariri...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
hata kwa akili ya kawaida m2 hawezi kusema ugawaji wa chakula katika jimbo la uchaguzi igunga ni hali ambayo haikupangwa, kama wananchi wa igunga watahadaika na chjakula cha misaada imekula kwao...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Ziko imani chafu miongoni mwa watu matajiri ambao hawakubahatika kupata elimu ya biashara au uongozi. Watu hawa huamini kuwa kwa njia za kishetani wanaweza kung'arisha nyota zao au kuitakasa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo mchana nilijiuliza nini hasa mchango wangu katika harakati za ukombozi wa pili wa Mtanzania, wazo nilikanijia kuwa niwaandikie makamanda watano walioko msitari wa mbele kuwapa moyo ili...
5 Reactions
41 Replies
5K Views
Hili ni jukwaa kuu JF. Sasa kuna mada nyingine unatamani wahusika hasa wanasisa na decision makers wazione wazifirie labda watazifanyia kazi. Ingawa sio mada za kisiasa zinahitaji wanasiasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
By BROTHER MOHAMMED SAEED Muslim Writer's Organization Dar es Salaam, Tanzania. INTRODUCTION Islam has been in existence in East Africa since the eighth century. With Islam, emerged the...
2 Reactions
371 Replies
35K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…