Wilfred Rwakatare augua ghafla

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Jun 16, 2010
2,412
395
314974_250082608369494_100001032706598_784363_1375226684_n.jpg

TAARIFA ambazo zimethibitishwa na katibu wa CDM mkoa wa Mwanza Willson Mshumbusi ni kuwa Mkurugenzi wa taifa wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Wilfred Rwakatare amelazwa hosipitali ya rufaa ya Bugado wadi namba J-2 chumba namba J217, baada ya kuzidiwa akiwa katika uchaguzi mdogo wa Igunga. Hata hivyo hali yake imeelezwa kuwa nzuri na bado anaendelea na matibabu yake.

Inasemekana kuwa ugonjwa unaomsumbua ni Nemonia.

Arafat

JF-Expert Member
Nov 17, 2009
2,582
755
Pole sana Kamanda.

Ila mbona kama huyu kamanda tokea atoke CUF mi namwona kama afya imedhoofika au? Hata wakati wa maandamano ya Mwanza nilimuona kama weak hivi!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
23,400
44,762
pole sana mkuu rwaka.inaonekana Mwanza kuna baridi sana.lakini utapona tu soon.mia

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Jul 1, 2008
10,565
7,947
Pole kwa kamanda Mungu yuko pamoja nawe hayo ni majaribu tu ya kawaida katika maisha na ukizingatia majukumu mazito uliyokuwa nayo huko igunga ukikabiliana na magaidi wa magamba waliopatiwa mafunzo maalum kambini shelui.

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
917
48
314974_250082608369494_100001032706598_784363_1375226684_n.jpg
TAARIFA ambazo zimethibitishwa na katibu wa CDM mkoa wa Mwanza Willson Mshumbusi ni kuwa Mkurugenzi wa taifa wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Wilfred Rwakatare amelazwa hosipitali ya rufaa ya Bugado wadi namba J-2 chumba namba J217, baada ya kuzidiwa akiwa katika uchaguzi mdogo wa Igunga. Hata hivyo hali yake imeelezwa kuwa nzuri na bado anaendelea na matibabu yake. Inasemekana kuwa ugonjwa unaomsumbua ni Nemonia.
Kaka ye ni Daktari mkubwa, bila shaka ameishapeleka matibabu ya kutosha ,atapona haraka.

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,504
314974_250082608369494_100001032706598_784363_1375226684_n.jpg

TAARIFA ambazo zimethibitishwa na katibu wa CDM mkoa wa Mwanza Willson Mshumbusi ni kuwa Mkurugenzi wa taifa wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Wilfred Rwakatare amelazwa hosipitali ya rufaa ya Bugado wadi namba J-2 chumba namba J217, baada ya kuzidiwa akiwa katika uchaguzi mdogo wa Igunga. Hata hivyo hali yake imeelezwa kuwa nzuri na bado anaendelea na matibabu yake.

Inasemekana kuwa ugonjwa unaomsumbua ni Nemonia.

pole sana kamanda, tutazidi kukuombea kwa Mungu ili upone kwa haraka ili urudi kwenye uwanja wa mapambano huko Igunga hadi
kieleweke power to the people. amen.

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
314974_250082608369494_100001032706598_784363_1375226684_n.jpg

TAARIFA ambazo zimethibitishwa na katibu wa CDM mkoa wa Mwanza Willson Mshumbusi ni kuwa Mkurugenzi wa taifa wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Wilfred Rwakatare amelazwa hosipitali ya rufaa ya Bugado wadi namba J-2 chumba namba J217, baada ya kuzidiwa akiwa katika uchaguzi mdogo wa Igunga. Hata hivyo hali yake imeelezwa kuwa nzuri na bado anaendelea na matibabu yake.

Inasemekana kuwa ugonjwa unaomsumbua ni Nemonia.

Get well soon kamanda...we pray for you!!

Edson Zephania

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
517
112
Willson Mushumbusi ni Katibu wa Mkoa Chadema na, pole sana Rwakatare

TAARIFA ambazo zimethibitishwa na katibu wa CDM mkoa wa Mwanza Willson Mshumbusi ni kuwa Mkurugenzi wa taifa wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Wilfred Rwakatare amelazwa hosipitali ya rufaa ya Bugado wadi namba J-2 chumba namba J217, baada ya kuzidiwa akiwa katika uchaguzi mdogo wa Igunga. Hata hivyo hali yake imeelezwa kuwa nzuri na bado anaendelea na matibabu yake.

Inasemekana kuwa ugonjwa unaomsumbua ni Nemonia.

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
132
Pole sana Kamanda.

Ila mbona kama huyu kamanda tokea atoke CUF mi namwona kama afya imedhoofika au? Hata wakati wa maandamano ya Mwanza nilimuona kama weak hivi!

kule cuf alikuwa anachakachua sana pesa za ruzuku mpaka akajenga lile gorofa lake pale kimara sasa huko uchagani(cdm) pesa zote zinatoka kwa saini ya mbowe na komu ( anthony),kwa nini asidhoof na hali hanusi tena?

2 Reactions
Reply
Top Bottom