Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,ASP na TANU hii nini?

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,045
Wakuu hapa ninamashaka na haya mambo,muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964 nakutengeza Tanzania.Swali langu chama gani kiliongoza wakati huo wakati nchi moja inabidi iwe na serikali inayotokana na chama,hapo Tanzania ilikuwa chini ya chama gani?1974 ASP+TANU=CCM kitu gani kilifanya hiki/hicho chama kuitwa chama cha mapinduzi au ni kwasababu ya mapinduzi ya Zanzibar?Utaona kuwa CCM ni mtoto wa ASP na siyo TANU kiuhakika?
 
Mlishaambiwa msihoji muungano wetu wewe bado husikii?
<br />
<br />
Sheria hipi,mwaka gani na kifungu changapi kinamkataza mtu kujadiri pale anapokuwa na mashaka mkuu?mfano hapa TZ kuhusu muungano,naomba kunijuza wakuu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom