Kutumia picha za maandamano kuomba pesa imekaaje hii

Dume la Mende

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
423
64
Kwamba kuna baadhi ya vyama hapa nchini hutumia picha za maandamano kuombea pesa toka kwa wafadhili nje,, inasikitisha sana. Wananchi wanatumiwa kukaa juani na kuandamana ama kuishia kukatana mapanga na kumwagiana tindikali, wenzetu wako baridini wanakula bata. Mbaya zaidi wao kwa wao (wakubwa) hawakatani mapanga wala kumwagiana tindikali. Mbowe na JK ukiwakuta wako poa sana na picha wanapiga. Vivyo hivyo kwa Slaa na JK na wengine,, wao kwa wao wako peace ila sisi walalahoi ndiyo tunauana na kuharibiana maisha!! Fikirini kwa makini.
Jambo zuri na sisi tuwe kama wao,, kwa maana kwamba tuwe huru kushabikia vyama vyetu, ila pia tunaweza kukaa kwa amani na kula na kunywa pamoja. If you think carefully,, utaona mantiki ya neno hili.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom