Mkutano wa NSSF na wahariri Tanga wachafuka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa NSSF na wahariri Tanga wachafuka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Sep 17, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  [FONT=&amp]Shirika la Hifadhi ya Jamii (NNSF) limeandaa mkutano wa siku tatu na wahariri wa vyombo vya habari mjini Tanga. [/FONT]

  [FONT=&amp]Lakini taarifa zilizopatikana hivi sasa, zinasema baadhi ya wahariri wakiwamo wahariri wa gazeti pendwa la MwanHALISI wamegoma kuhudhuria mkutano huo kwa sabab unasimamiwa na kampuni ya G&S – Gideon Shoo na Salva Rweyemamu- kwa kile walichoita, wakurugenzi hao hawana hadhi ya kufundisha waandishi wa habari wala kusimamia maadili ya taaluma ya habari.[/FONT]

  [FONT=&amp]Wahariri waliogoma kuhudhuria mkutano huo, ni Saed Kubenea na Jabir Idrissa. Tayari barua yao ya kugoma kuhudhuria mkutano wameifikisha kwa Dk. Ramadhani Dau, mkurugenzi mkuu wa NSSF kwa mujibu wa habari za ndani ya NSSF wenyewe.[/FONT]
   
 2. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Sababu za kibinafsi zaidi au kibiashara.
  Inaelekea wamezidiwa kete mahala fulani.
  Na tujiulize kama wao (Kubenea and Co) ni vigogo wa "usafi" nchini.
   
 3. NEW TANZANIA

  NEW TANZANIA Senior Member

  #3
  Sep 17, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama wamezidiwa kete na mfanyakazi wa IKULU wewe uoni kama kuna tatizo?
  wako sahihi kabisa
  hapa IKULU inataka kuwa influence wahariri wa habari je kwa manufaa ya nani?
  badala kutafuta njia za kumaliza matatizo ya wananchi wanajaribu kufunga mdogo wahariri wa magazeti
   
 4. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mwenye macho haambiwi tazama, hii ni kazi ya propaganda za chama fulani hivi ambacho katibu mwenezi wake ana budget ya kufanya online campaign.... ushindwe na ulegee!
   
 5. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2011
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  NSSF wasifanye upuuzi wa PPF kuwahonga kila mkutano ili madudu yao yasiandikwe. Wawape ukweli wahariri, na pia wakihojiwa wawe wakweli.
   
 6. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nchi hii imejaa Semina Elekezi ambazo hazina tija katika kufufua Uchumi wetu unaodorora kila kukicha.
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Tunaungana na wanahabri hawa wawili mahiri kwa kugomea kusimamia na watu wasio waadilifu. Na hili liwe somo kwa wengine. Vijana hawa wamethamini taaluma kuliko pesa. NSSF ilitenga Sh. milioni moja kwa kila mhariri.Shoo ha hadhi hiyo....
   
 8. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  NSSF wamepanga kutumia zaidi ya million600, kwa ajili ya semina hyo. Eti ya accodatn, trnsp and allows only for 3dayz. Hii nchi bana.
   
 9. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hivi NSSF hawakuona watu wa maana kuandaa hiyo semina zaidi ya watu hawa wasio na maadili kabisa ya uandishi? chukulia huyo Dr Shoo -- tangu aondolewe habari corporation baada ya kampui kuuzwa, mbona hajaajiriwa na medi house yoyote ingine? Kwa sababu hana kabisa credibility, sifa yake kubwa ni puppetism -- kulamba viatu tu vya watu wengine. Elimu yake ni duni, na udaktari wake (phd0 ni ile ya Urusi ya zamani.
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Sep 17, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Wangehudhuria tu na kuwafundisha hao waalimu somo, wakawaaibishe mbele ya kadamnasi! siyo kila kitu kugoma.
   
 11. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ni ufisadi tu wa akina Dau kwa maelekezo ya kutoka Ikulu (kupitia Salva) katika kuifisdi michango ya wanachama wa NSSF. Mtakuta mamilioni mengi tu yamelipwa na NSSF kwa kampuni hiyo ya akina Salva!
   
 12. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0


  Hongereni waandishi wa Mwanahalisi! hakika ni jitihada tu za NSSF kuficha ufisadi wake mbele ya waandishi wa habari ambao bila sghaka watakuwa wamehongwa hela nyingi tu kama posho.

  Hivi Dau anafahamu kwamba huyu Salva na Dr Shoo wameidhulumu sana michango ya wafanyakazi wa Habari Corporation miaka ile waliokuwa wakiiongoza? Michango ya wafanyakazi wengi sana ilikuwa haipelekwi, na Dau analifahamu hilo fika, lakini hakuchukuwa hatua ziozote!
   
 13. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  NSSF nao ni wadau wa habari. Wanatoa semina elekezi.. Too much.
   
 14. n

  nndondo JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana kabisa na wakina Kubenea huu ni ushenzio wa Dau wa kutaka sifa na wahariri wetu hawa walioajiriwa na Al Adawi.

  Hivi kwenye hizo seminar wa Arusha nini AMA ndio hizo hela za wastaafu zinazofanywa mradi wa mafisadi. Tunataka editors forum utoe statement wanafanyakazi nini huko kwa salva. Shoo na Salva hawana cha kuelekeza Ukizingatia Salva anadanganya mchana kweupe ati swaps la suti huku alikua wazi ni kweli.

  Labda wanaenda kufundishwa spin doctoring ambayo hata hivyo Salva na Shoo hawawezi kujivunia ujuzi huo bora wangewachukua vijana wa Shigongo.

  Bravo Kubenea huna muda wa kupoteza huko.
   
 15. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #15
  Sep 17, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tatizo la kufikiria kwa kutumia masaburi kwenye red highlight.
   
 16. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kubenea hajaongeza tu kwamba DR SHOO anashirikiana na Manji kuvinyamazisha vyombo vya habari ikiwamo Mwanahalisi na karibuni Shoo mwenyewe alikwenda pamoja na Manji mahakama ya Temeke akitaka Kubenea afungwe kwa kudanganya mahakama na kuna barua shoo ameandika. Hapa ndipo mgogoro unapozidi. Shoo na Kubenea waliwahi kutofautiana tokea Habari Corp. Jukwaa la Wahariri waangalia kama Shoo anafaa kushirikiana nae maana hizi ni Kesi ambazo Shoo ana mkono;
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/172601-mwanahalisi-tz-daima-dira-raia-mwema-mwananchi-yafungwa-mdomo-kuhusu-manji-4.html
   
 17. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #17
  Sep 17, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Huyo Kubenea ameanza lini kususia mikutano ya NSSF inayowahusu wahariri? Miaka yote kampuni ya akina Shoo, inayofanya media consultancy, kwa NSSF, ndiyo imekuwa ikishirikiana na shirika hilo la hifadhi ya jamii kuandaa mikutano ya aina hii kila mwaka, na Kubenea amekuwa akihudhuria na hata ku-demand nyongeza ya allowances zinazotolewa na NSSF. Kubenea aache unafiki!
   
 18. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #18
  Sep 17, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ni kweli Kubenea alikua akihudhuria semina za NSSF lakini this time kuna mambo yameibuka na yakimhusu Shoo wa G&S na hata wahariri wa Mwananchi, Tanzania Daima na Dira walioko Tanga watashituka kujua kwamba Shoo anahusika na kushitakiwa kwao.
   
 19. Paw

  Paw Content Manager Staff Member

  #19
  Sep 17, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,032
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  NSSF wana kitu cha kujifunza hapa.
  Kama wanatenga 600 millions kwa semina ya wahariri, this is more than a joke.

  To be non-allied ni jambo zuri kuliko kununuliwa.
   
 20. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #20
  Sep 17, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sahihi kabisa Dr Gideon Shoo na Salva wamepoteza hasa sifa za kusimamia maadili
   
Loading...