Viongozi; wananchi tunataka kuona vitendo na mawazo mapya si maneno!

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,940
1,427
Hili ni jukwaa kuu JF.

Sasa kuna mada nyingine unatamani wahusika hasa wanasisa na decision makers wazione wazifirie labda watazifanyia kazi. Ingawa sio mada za kisiasa zinahitaji wanasiasa wafanya maamuzi. Ndio maana nimeleta bandiko hilo hapa.

Nukuu na kiunganisho hii hapa chini kina ujumbe na mafundisho mzito kwa Serikali na hasa kwa wizara ya mazingira na wizara ya
Teknolojia


Unashauri Nini kwa wanasiasa. ujaribu kuishi kwa vitendo.?

  • Waziri wa mazingira kwa kuwa wizara yako ni ya mazigira nyesha japo mafno mdogo tu wa kuuza VX mbili wiarani kwako na badala yake nunua hizi hybrid mbili.
  • Kama kununua gari hilo kutakuwa na sababu nzuri za kushindikanaunu gari kama hizo Kitu amabcho kwa wansiasa ni rahisi kukisema basi Waizri wa mazingira na wanasiasa onyesheni kuwa unasimamai mazigira kwa kutumia gari zaantoa carbon emmision ndogo hasa unapokuwa na safri za jijini.
  • Waziri wa mazingira hata kama kutumia VX ni agizo la ikulu na standard kitu amabcho mpaka leo sijaelewa naamin ukimpa mapendekezo hayo Boss na rais wetu JK atayakubali kuwa wizara yako na maaafisa wachache watumie hybrid car kufanya pilot kuona ama inaweza kuwa na tija kupunguza matumizi.
KWa nini mpaka leo hakuna japo ofisa mmoja wizara au idara yoyote serikali imeamua kujaribu kutumia magari haya?
  • Kwamba viongozi na watendaji wetu hawan taarifa za ulimwengu wa teknolojia tulipo sasa?
  • Ni ile style ya business as usual?
  • Ni kutopenda mawazo, mbinu na njia mpya za kufanya mammbo.
Nawasilisha
 

Eric Cartman

JF-Expert Member
May 21, 2009
6,810
3,178
That is the ideal serikali kuwa na hayo magari lakini realistically it is impracticable, especially hilo la betri. Maana kama gari lenyewe lina huwezo wa kwenda 14 miles tu of mileage you might as well buy a towtruck to follow it. Ni kwamba there are not enough fuelling points for that technology even in the west let alone poor Tanzania. Na hilo la betri embu angalia how long it takes for that betry to be charged up and how many fuelling points youd need from dar to dodoma for instance considering gari lanyewe na huwezo wake ki-mileage. Realistically ni hadithi na hata tukisema tulazimishe watajikuta wanatumia siku na nusu kwenda dodoma now that would be pathetic.
 

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,940
1,427
That is the ideal serikali kuwa na hayo magari lakini realistically it is impracticable, especially hilo la betri. Maana kama gari lenyewe lina huwezo wa kwenda 14 miles tu of mileage you might as well buy a towtruck to follow it. Ni kwamba there are not enough fuelling points for that technology even in the west let alone poor Tanzania. Na hilo la betri embu angalia how long it takes for that betry to be charged up and how many fuelling points youd need from dar to dodoma for instance considering gari lanyewe na huwezo wake ki-mileage. Realistically ni hadithi na hata tukisema tulazimishe watajikuta wanatumia siku na nusu kwenda dodoma now that would be pathetic.

Majibu ni mazuri lakini naona ni ya kisiasa. hapa ni wizara ya maizgira kuonyesha inajali mazingira japo kwa gari mbili au tatu. kuwa na gari hili kwa matumzi ya waziri kiwa dar inawezekana kabisa . Kutoka masaki kwenda posta. ni km ngapi ?????? kama tatizo ni charging point kwa nini

Waziri wa mazingira asitumie Mark II au japo VITARA aiwa dar ili awe tofauti na wenzake kuonyesha anaishi maisha ya wizara yake na anayajali mazigira. So Uteti uliotoa bado hauwalindi vingozi kuacha kuwa wahubiri wanatakiwa kuwa mifano kwa vitendo......

Je tiitle na perofmance ya waziri inaendana na size ya gari

Remmber hata wanaotumia magari haya ulaya hawatumii kwa safari za mbali. yes majibu uliyotoa ni mazuri lakini kwangu nana ni ya kisiasa si majibu wa kiongozi anayeangali mambo kwa nama mpya. Sio majibu ya kiongozi anayejua wizara ya magira inasimamia nini. Zingekuwa nchi nyingine Wizara ya mazigira isingeruhsiwa kuwa na Shangingi V nyingi. na kam wangeuw anazo basi zingekuwa zinatumika kwa safari za mbali.

Sasa unakuta wizara ya mazingira kuna barua inatakiwa kwenda State house inapelekwa kwa sahangingi. Kumbuka hilo VX linawekewe zaidi ya lita 100 kila wiki....... Je hii inataka mpaka aje consultant. TX

Kwa nini wasiwe mfano wa kuweka recharging point wizarani kwenye kwenye nyumba za watendaji wachache wataokubli kufanya hivyo.

Its shame kuona waziri wa mzingira anatumia gari sawa na mtal anaetembelea Serengeti tena akiwa dar.

Tuahitaji watu wenye mawazo mapya.

Kwangu naona its not only practical but its possible na inawezekana kabisa . kinachotaiwa ni nia tu.
 

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,940
1,427
Waziri gani au Ofisa gani wa ngazi ya juu tanzania anaweza kuwa wa kwanza kuonekana aanatumia kgari kama hili kutoka masaki kwenda posta.

21944_20598_prius_v.jpg


  • Gharama yake ni $27,140
  • linaweza kwenda Mile 15 kwa kutumia nguvu ya betriiiiiii
  • Badaa ya kutembea mile 15 na betri kwisha kama bado liko barabaranai gari hil litatumia mafuta kama gari zingine
  • Muda wa kuchaji ni 1.5 hours using a 240V outlet or 2 to 3 hours using a 120V outlet.
Hivi serikali yetu haijafikiria kuelta gari hizi ujaribu kuona kama zinaweza kupunguza gharam ya mafuta. au sttaus ya viongozi wetu inaendana na Ukubwa wa magari.

Zitto kabwe , Myika, halima Mdeee, kingwala na wenye acess na wafanya maamuzi ebu waulizeni hao wakubwa ......... Sayansi na teknljia sio mdomoni tu ni vitendo...


Habari kamili soma
http://www.dailytech.com/Quick+Note+Toyota+Prius+Plugin+Hybrid+Prius+v+Priced+from+32760+27140+/article22766.htm

21944_20598_prius_v.jpg

21944_20598_prius_v.jpg

21944_20598_prius_v.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom