Wasemavyo makamanda walioko mstari wa mbele igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasemavyo makamanda walioko mstari wa mbele igunga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mghaka, Sep 16, 2011.

 1. M

  Mghaka JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Leo mchana nilijiuliza nini hasa mchango wangu katika harakati za ukombozi wa pili wa Mtanzania, wazo nilikanijia kuwa niwaandikie makamanda watano walioko msitari wa mbele kuwapa moyo ili watambue kuwa Igunga wako wachache lakini tumesambaa tanzania nzima tunapigana vita hiyo wanayopigana kwa namna mbalimbali na kwa hiyo wawe na faraja kuwa ingawa Igunga wako wachache lakini nafsi za watanzania mamillion kwa mamillion zinasuuzika na mafanikio yao.

  Kamanda mmoja wao alinijibu hivi naniombe ruhusa yake nitumie maneno yake yaliyoko moyani mwake ambayo kwa kifupi ni kwamba hatua na vita inayopiganwa sasa ni ile ya ukombozi wa fikra "Aksante ndugu, mtu mweusi anahitaji ukombozi wa fikra ili kujitoa kwenye mikono ya dhuluma, unyonyaji, uzandiki na umangimeza wa mabepari uchwara na kwamba pamoja twaweza"


  Ukwell ni kwamba utupu katika fikira hufanya mwanadamu aone mambo yote sawa na neno analolijua na kulitumia mara nyingi ni ndiyo, sawa, tunakubali na hajawahi kuuliza kwa nini? kwa kifupi anasema tusiwachukie watanzania kwani walipumbazwa fikra na kudhani Mbunge/kiongozi waliomchagua anaweza kuwa Mungu mtu mbele ebu fikiria anaulizwa swali la Msingi anasema hiyo siyo kazi ya waziri, heeee! mwe! hivi waziri ni nani jamani nilimsikiliza Wasira akanichefua ndiyo maana akisinzia bungeni akipigwa picha anasema huu ni uchonganishi.


  Niwaombe kila mtu alipo na saa yoyote hakikisha unafanya kazi ya kuleta ukombozi wa fikra ili kazi ya makamanda wa mstari wa mbele iwe rahisi


  Aluta continua

  Viva ukombozi wa fikra
   
 2. P

  Pierre King New Member

  #2
  Sep 16, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja mkuu..
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wewe, hata ukiwa ni King ni muhimu kubisha hodi jamvini! Unaingiaje kimya kimya hivyo?
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Pambaneni makamanda wetu katika vita hii ya kuikomboa Tanganyika kutoka katika ukoloni wa mamwinyi wa Zanzibar
   
 5. Y

  Yetuwote Senior Member

  #5
  Sep 16, 2011
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
   
 6. T

  Topical JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Fikra zipi hizo kupiga wakuu wa wilaya tena wanawake?

  Fikra zitatoka kwenu nyinyi msio na uadilifu hata kidogo..pole
   
 7. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kazi njema wakuu Mungu atupe nguvu tushinde hii vita
   
 8. T

  Topical JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hakuna vita na ikiwemo vita nyinyi hamuwezi ...
   
 9. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Naunga mkono hoja, tujiamini kuwa tunaweza na siyo tusubiri kutegemea kupewa misaada hadi Suti :(
   
 10. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #10
  Sep 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Watu wanachapa sana siku hizi kila kona, nikiingia fb napata faraja na watanzania wanavyoweka press releases kila dakika kuelimishana juu ya hawa madhalimu na wakoloni weusi, kwa pamoja tutaweza.

  Shukrani zangu nyingi ziiende kwa Mwana Kijiji siku hizi ana wachapa JF, fb na Fikra Pevu; Mungu ampe rehema na nguvu zaidi kazi yake ni kazi ya damu na roho.
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Sep 16, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mjomba wenu Gadafi yuwapi nasikia anaishi shiomoni..
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wanaweza kuondoa watu wenye imani siyo yenu hiyo pesa..tunamtegemea Slaa arudisha kadi hivi karibuni..likes of Lyatonga hawasumbui sana..

  Wakati huo mtakuwammekataa tamaa kwisha kabisa poleni..
   
 13. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #13
  Sep 16, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Dua la kuku.
   
 14. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #14
  Sep 16, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Pamoja tutashinda...hawa masnitch wachache wasituvunje moyo ukombozi wa kweli umekaribia.
   
 15. WANALIZOMBE

  WANALIZOMBE Member

  #15
  Sep 16, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ubarikiwe, tupo pamoja
   
 16. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #16
  Sep 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Together we cana make it.
  Watanzania wana macho ila hawaon.
  Wana masikio ila hawasikii.
  Makamanda wazibueni macho na masikio.
   
 17. M

  Mghaka JF-Expert Member

  #17
  Sep 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tunataka kubadili fikra za kujali mkate na kuchumia tumbo badala ya kuweka masilahi ya umma mbele, fikra za ndiyo mzee, fikra za kushabikia urafiki, undugu na itikadi isiyo na tija badala ya ushabiki wa hoja, uchapaji kazi na uadilifu. Tunataka kubadili fikra potofu za kusema Tanzania hii ambayo ni hoi mikononi mwa CCM eti haiwezi kuwa mikononi mwa watu wengine wasio wana ccm. Kuiondoa nchi na taifa letu pamoja na rasilimali zetu mikononi mwa mafisadi, kuwaongoa watanzania katika kivuli cha wajinga wachache waliotusaliti kwa kuharibu misingi yetu tuliyojiwekea ya miiko ya uongozi.
   
 18. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #18
  Sep 16, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wale tunaofanya maombi tuwe tunawakumbuka hawa ndugu maana kazi wanayoifanya ni ngumu. Pia tuwaombee wanaigunga Mungu awafunguwe macho waone. Mimi naamini vita hivi si vya damu na nyama!
   
 19. T

  Topical JF-Expert Member

  #19
  Sep 16, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Somo hilo lingeanza kwenye chama chenu..ondoeni fikra za kushabikia undugu na ukanda..mfano. viti maalum

  Misingi imewekwa na ccm siyo nyinyi..nyinyi misingi mlianza kuweka lini na wapi?

  anaweza kufuata misingi ni yule aliyeweka misingi na si vinginevyo..

  tafuta hoja nyingine acha kuimba ngojera...
   
 20. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #20
  Sep 16, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  huu mchakamchaka sijui, lkn every dog has his day and so is Magamba
   
Loading...