Watanzania wa Igunga
Yuri G
Member
Aug 7, 2011
87
14
Watanzania wenzetu wa Igunga Tabora kama kweli mnayo akili huu ndo wakati wa kuondoa chama ambacho kimezidi kutupeleka gizani inabidi muonyeshe kweli mabadiliko yanawezekana huu ndo wakati hakuna mwingine jaribu kufikiri tabu unazopata kwanzia shida ya maji, umeme, mafuta na sasa tunaelekea kwenye sukari na mengi ambayo hayakustaili tuyapate kwa utajiri tulionao sasa wakati wa mabadiliko ndo huu!
dhahabuinang'aa
Senior Member
Aug 10, 2011
134
28
Uko sahihi kabisa ulilokosea ni kusema WATANZANIA WA IGUNGA!
hili kwa WATANZANIA wote wkijivua MAKAKA,SIJUI MAKOTI,MAKIJANI AU MAGAMBA SIJUI NGOZI.
WATANZANIA tuitumie nafasi kikamilifu kwani hata hivyo hawana wasafi kama ni kweli wengi watawavua
tutegemee kuvuna mengi kama WATANZANIA kweli tutaamua kuikomboa nchi yetu.
hakuna mzungu au malaika atakaekuja kutukomboa ni sisi wenyewe tuamue na tujikomboe.
kazi kwetu WATANZAGIZA wantuona majinga sijui umeme hakuna na bado anaedai mtoto wa mkulima
katangaza Tanesco wanapandisha mda wowote gharama za umeme!!
walahi ni ajabu pia aibu kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kutangaza labda uwe umefunika uso.
wanatupeleka wapi!? tafakari kwa kina chukua UAMUZI.
Daniel Anderson
JF-Expert Member
Aug 7, 2011
872
140
Hapa kuna mengi ya kuangalia, ila kubwa ya yote ni ufinyu wa elimu ya uraia kwa wanakaya hii.
Unajua ccm wanaona mbali sana ila tatizo wao wanafocus kwenye maovu, yaani wanaumiza vichwa ni namna gani wataweza kufanya evils bila kumulikwa na umma wa watz kwa ujumla wake.
Nasema hivi kwa sababu waliminya elimu ya uraia ili watz wasijue haki, uhuru na wajibu wao.
Tena walipokubali (kwa shingo upande) mfumo wa multipart wakafuta civil education.
Leo hii majority ya watz hususan vijijini wanaishia kusema hawa wapinzani wanahoja ila tutampigia huyu amalize muda wake, wengine 'mi naichagua ccm' bila hata kuwa na sababu ya msingi.
Wengine wamenyweshwa sumu kuwa wapinzani ni vita na upupu mwingine kibao tu.
Hakika hapa tunahitaj kuwekeza vya kutosha huko kuyang'oa mapandikizi na mashina ya ccm huko.
Giddy Mangi
JF-Expert Member
Feb 14, 2011
831
184
Igunga watoeni hao kwa kutowapa kura ili mnusuru nchi yenu kwenye makwapa ya Ccm.Ccm hawa Ccm ni majambazi wooote hakuna hata mmoja nafuu hapa.
Mungi
JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,980
9,547
Ujinga wa wananchi wengi ni mtaji wa ccm, ngoja tuone kama wana Igunga wamepevuka akili.
Alfred Daud Pigangoma
JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,805
942
Nilitaka kusema! Ila wacha niwaambie, Igunga jitahidini ili kufungua mwanya/njia ya kuingia kwa CDM na hatimae kufika hata TBR mjini, kwani hata kama unatoka DSM lazima uanze na Igunga ndo uje Tabora Manispaa.
Haya shime wana-Igunga twendeni tukapige kura ili kuwaondoa mafisadi.
Sep 16, 2011
14
1
Tunawatakia kila la kheri wana igunga, chagueni mtu mwenye uwezo wa kuwatumikia, mnayemfahamu vizuri, achaneni na ushabiki wa vyama!!!
PAMBA1
Member
Sep 13, 2011
55
26
Hiyo nafasi wana wa igunga wakipoteza watakuwa wamepoteza maisha ya watoto na familia zao kwa kipindi cha miaka mitano kama wakilogwa kuchagua ccm tena.hebu wanaigunga chagueni CDM tuwaone hawa magamba kama watamvua mtu tena.
Omr
JF-Expert Member
Nov 18, 2008
1,160
99
Watanzania wenzetu wa Igunga Tabora kama kweli mnayo akili huu ndo wakati wa kuondoa chama ambacho kimezidi kutupeleka gizani inabidi muonyeshe kweli mabadiliko yanawezekana huu ndo wakati hakuna mwingine jaribu kufikiri tabu unazopata kwanzia shida ya maji, umeme, mafuta na sasa tunaelekea kwenye sukari na mengi ambayo hayakustaili tuyapate kwa utajiri tulionao sasa wakati wa mabadiliko ndo huu!
Na hivyo vyote itatoa CDM au utatoa wewe? Mbunge wenu hata nguo ya maana hana, kiwembe cha ndevu kinamshinda sasa ataleta maendeleo gani? Hebu tueleze ukweli. maji,umeme,mafuta,sukari na mengine yote Slaa ataviagiza mbinguni?
Omr
JF-Expert Member
Nov 18, 2008
1,160
99
Hiyo nafasi wana wa igunga wakipoteza watakuwa wamepoteza maisha ya watoto na familia zao kwa kipindi cha miaka mitano kama wakilogwa kuchagua ccm tena.hebu wanaigunga chagueni CDM tuwaone hawa magamba kama watamvua mtu tena.
Mtawapa nini wakiwachagua. Majimbo yenu mengine nini mlicho kifanya, zaidi ya fujo? Tutoleeni upumbavu wenu.
Omr
JF-Expert Member
Nov 18, 2008
1,160
99
Ujinga wa wananchi wengi ni mtaji wa ccm, ngoja tuone kama wana Igunga wamepevuka akili.
Wakichagua CCm basi hawana akili,wakichagua CDM ndio wana akili.
Hizi ndio siasa anawafundisha Slaa?
pinochet
JF-Expert Member
Jun 16, 2011
345
96
Tatizo lililopo Igunga ni kuwa Wanyamwezi ni wepesi sana kudanganyika na ndo sababu magamba wanapeleka vikundi vya ngoma,komedi na muziki bila kusahau msosi ktk kampeni. Hv vitu vinawapagawisha sana watu wa vijijini,lkn maeneo ya mjini ni vigumu. Anyway tusubiri tuone.
mpiganiahaki
Senior Member
Apr 28, 2011
170
67
Tatizo lililopo Igunga ni kuwa Wanyamwezi ni wepesi sana kudanganyika na ndo sababu magamba wanapeleka vikundi vya ngoma,komedi na muziki bila kusahau msosi ktk kampeni. Hv vitu vinawapagawisha sana watu wa vijijini,lkn maeneo ya mjini ni vigumu. Anyway tusubiri tuone.
Mi nafurahishwa sana na wakazi wa Moshi, wakati wa kampeni mwaka jana, wakazi wengi walikuwa wanafurahia kuwa wapinzani kwani kwa kuwa upinzani wanajiona wao sio sehemu ya hii serikali mbovu
pinochet
JF-Expert Member
Jun 16, 2011
345
96
Uko sawa sawa mpiganiahaki,uzuri ni kwamba wakazi wengi wa mjini ni werevu mno,sasa wakazi wa Igunga wanatakiwa kuonesha hilo. Watawapaje wali na maharage kwani wako kwenye hitma?
echonza
Senior Member
Jun 25, 2009
163
15
Inauma lakini wananchi kukabiliwa na matatizo lukuki ndani ya rasilimali nyingi kiasi hiki. Ni waso mbadala hilo!
Mbopo
JF-Expert Member
Jan 29, 2008
2,532
409
Watanzania wenzetu wa Igunga Tabora kama kweli mnayo akili huu ndo wakati wa kuondoa chama ambacho kimezidi kutupeleka gizani inabidi muonyeshe kweli mabadiliko yanawezekana huu ndo wakati hakuna mwingine jaribu kufikiri tabu unazopata kwanzia shida ya maji, umeme, mafuta na sasa tunaelekea kwenye sukari na mengi ambayo hayakustaili tuyapate kwa utajiri tulionao sasa wakati wa mabadiliko ndo huu!
Ushauri mzuri sana huo! Hata hivyo naomba kupata matokeo ya score card ya majimbo ambayo Chadema wameyanyakua katika uchaguzi uliopita. Kwetu Mbeya Mjini na kwa wenzetu kule Ubungo na Singida Mashariki, hakuna hata kero moja tuliyoahidiwa kutatuliwa ambayo imeguswa. Hali ya Igunga ya leo haitabadilika chochote kwa ahadi za watu ambao walituahidi asali na maziwa na mpaka sasa hata maji ya kunywa hatujayaona.
jogi
JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,571
25,250
sisi si watumwa wa ccm. tumekwisha amua kuitokomeza ccm. tunajua kuwa nayo (ccm) inajua na kukiri kuwa imesha poteza mvuto, wanadhani wakiwatosa el, ra na ac pekee itarudisha mvuto, nawaambia hizo ni fikra za kishirikina, ccm waandike maumivu kwenda mbele!!!!!
Ukinukuu post uwe na tabia ya kuji-address kwenye issues zilizomo. Dhamira sawa lakini tupewe record za utendaji ili tujue kama tuliowapa dhamana wana uwezo.
Dume la Mende
JF-Expert Member
Mar 23, 2011
423
64
Mbopo,, unaua sisimizi kutumia bomu,, hawa wachangiaji wengine ni watupu kwelikweli, zaidi ya matusi hawana hoja ya msingi
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Umesahau Password au akaunti yako?
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us
0 Reactions
Reply
Top Bottom