Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Mtoto wa mkulima" kawapiga chini polisi kusimamia zoezi la kuzuia utoroshaji wa sukari nje ya nchi, kisa WANAHUSIKA kufanya escort ya "mzigo". Rungu wamepewa wanajeshi. Hapa nina mawazo...
0 Reactions
53 Replies
4K Views
Jana Mh. Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM pamoja na Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini walifanya kweli katika mji wa Manispaa ya...
5 Reactions
64 Replies
7K Views
Tangu sakata la kukamatwa kwa DC wa Igunga akihalifu sheria chama ca CCM kimekuwa kikifanya propaganda chafu sana,ya UDINI hapa Igunga mjini,jana wilayani Uyui Dc huyu alitoa laki moja hadharani...
9 Reactions
123 Replies
10K Views
Kwa wiki hizi mbili mfululizo kutokana na matamshi ya viongozi mbalimbali wa CCM nimeweza kugundua kuwa CCM sasa wanajua kabisa kuwa hawana mtu ambaye anaweza kupambana na Dr Slaa iwapo...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Ni siku chahce zimepita tangia DC wa Igunga Mama F. Kimario kukamatwa na wafuasi wa CDM akihujumu na kuendesha mkutano wa kikampeni kukisaidia chama tawala kinyume cha sheria za nchi na kinnyume...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wana jf leo ilikuwa ni ziara ya kiongozi wa shughuli za serikali bungeni na PM wa JMT kufanya ziara kule mgodini north mara nyamongo lakini hakutaka hata kuuliza kuwa mbona haoni mgodi ambao...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu nimekuwa mstari wa mbele kuipigia Chadema debe hapa jf na popote pale napokuwa japokuwa siipendi kabisa ccm iendelee kutawala nchi yetu,lakini napenda nipata nafasi niifahamu chadema kwa...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Ni lini viongozi wa tanzania watagundua tuna vita kubwa ya siasa dhidi ya uchumi, jukwaa la siasa limekuwa likichukua sehemu kubwa ya fikra na vingozi kuwekeza kwenye siasa, na kuacha uchumi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ya jeshi kuomba billioni saba kuanzisha benki iko vipi hii? leo wameomba hizzo billioni sabini kesho hawatotuomba uhuru wetu kweli?
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Na Peter Mwenda, Igunga CHAMA cha Wananchi (CUF) kimemtupia lawama Makamu Mwenyekiti wa CCM (bara), Bw. Pius Msekwa kuwa endapo damu itamwagika katika uchaguzi mkdogo wa Jimbo la Igunga...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo wananchi wa monduli walilazimika kusimamisha shughuli zao kufwatia maandamano makubwa yaliofanywa na viongozi wa cdm wakiongozwa na katibu mkuu wa chama hicho dr.w slaa na mbunge wa arusha...
0 Reactions
110 Replies
10K Views
UAMUZI WA KUPAMBANA AU KUTAZAMA WAPAMBANAO! Ni miaka karibu miwili na nusu imesalia hadi uchaguzi Mkuu wa 2010, uchaguzi ambao wengi wanausubiria kuona kama utaleta mabadiliko wanayoyatarajia...
2 Reactions
115 Replies
12K Views
Katika gazatei la Mwanahalisi la leo, mwandishi Mbasha Asenga amewananga vilivyo wabunge wa CCM akina Anne Kilango, Ole Sendeka, James Lembeli na wengine ambao walijiweka mstari wa mbele katika...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu Habari Zenyu Bana!!!!!!!!!! Poleni kwa majukumu ya kuijenga Tz mpya. Niko mbali sana na Igunga na sijui hali ya mambo kule Igunga na vitongoji vyake, mambo yanaendaje? Mliopo Igunga au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ile kesi iliyokua inawakabili wale madiwani watano Arusha hatimaye hukumu imeshatekelezwa na wameshindwa na sasa uchaguzi wa madiwani Arusha utarudiwa tena! Souce Mahakama kuu Arusha. MAHAKAMA...
20 Reactions
214 Replies
19K Views
habari zenu wakuu,hii ni thread yangu ya kwanza hapa jamiiforums. Bunge linaisha leo nimefanya kautafiti kangu kadogo na nimegundua kuwa wabunge wa Chadema na NCCR MAGEUZI ndio walikuwa wanatoa...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Shuhudia mwenyewe video hii e"] MORE UPDATES Mwita Waitara azungumzia mpango ulikuwaje e"] Slaa azungumzia tukio la tindikali e"] Mwigulu akiri kuna kambi KATIKA hali inayoonyesha Chama...
0 Reactions
93 Replies
14K Views
Vyama vya siasa ebu nisaidieni kuuliza hili kwa mwenyekiti wa TUME YA UCHAGUZI. Kukosekana kwa upendo mara nyingi hutokana na mashaka ya kutuhumiana kwa pande mbili zenye ushindani hasa katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nashindwa kuelewa, CCM wanasema ati CDM wamemdhalilisha DC, lakini wao wanasambaza picha za DC akiwa anapelekwa kama Mhalifu. Unajua Mnafiki utamjua haraka sana. Hawa viongozi wa juu wa CCM...
5 Reactions
44 Replies
6K Views
Hi wana JF. Taarifa nilizozipata toka Mwanza na mikoa ya jirani na Tabora, makamanda wa mikoa hiyo walipeleaka askari kuwa katika hali ya utayari wa kuhakikisha CCM inashinda kwa namna yoyoye ile...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…