MWENYE AKILI NA ATAMBUE--i

Lofefm

Senior Member
May 22, 2011
126
66
UMMA: tunataka umeme wa uhakika jamani. Tunataka elimu bora, maji, huduma za afya bora na miundo mbinu mizuri.

SIRIKALI: naona watanzania mmechoka kuwa na amani tuliyonayo. Nawasihi mtupe muda kila kitu kitakuwa sawa.

UMMA: mbona baba wataifa alisema tusichimbe madini yetu kwa mikataba isiyo na maslahi kwanini mnakuwa wakaidi?

SIRIKALI: tuko mbioni, tunafanya mchakato juu ya hiyo mikataba

UMMA: mbona hizo mbio hammalizi tu.

SIRIKALI: Tuwe wavumilivu
 
Sirikali yetu imeweka mfumo wa kwamba watu watazame pasipo kuona na wasikie pasipo kuelewa

UMMA: tunataka umeme wa uhakika jamani. Tunataka elimu bora, maji, huduma za afya bora na miundo mbinu mizuri.

SIRIKALI: naona watanzania mmechoka kuwa na amani tuliyonayo. Nawasihi mtupe muda kila kitu kitakuwa sawa.

UMMA: mbona baba wataifa alisema tusichimbe madini yetu kwa mikataba isiyo na maslahi kwanini mnakuwa wakaidi?

SIRIKALI: tuko mbioni, tunafanya mchakato juu ya hiyo mikataba

UMMA: mbona hizo mbio hammalizi tu.

SIRIKALI: Tuwe wavumilivu
izo mbio gan sizokuwa na mwisho kila siku tuko mbioni tunalifanyia kaz hawa watu cjui vp
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom