Wananchi wamewakataa, Kikwete amewachagua!

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,546
5,674
Hii ina maana gani, katika uteuzi wa wakuu wa mikoa, kuna baadhi walikosa ubunge mwaka jana. Hii ni ishara kuwa wananchi walipima utendaji kazi wao na kujiridhisha kuwa upo chini then wakawatema.
Kikwete ameamua kuwarudisha tena serikalini kwa kuwapa ukuu wa mkoa au wilaya, hii inaonyesha kuwa wananchi walikosea.
Je aliyeshindwa ubunge ataweza ukuu wa mkoa au wilaya.?.
Uadilifu wao uko wapi?.

Escobar

JF-Expert Member
Sep 16, 2011
574
439
Hayo ndio yametufikisha hapa tulipo, nikubebana tu sifa na uadilifu baadae. After all kwani mfumo huu utaendelea kudumu kwa muda gani, nadhani ni mpaka 2014 wakati tutakapokuwa tunasherekea katiba mpya na hawa wote wataenda na ile katiba used!

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,504
tatizo siyo kikwete tatizo ni katiba mbovu ya nchi inayompa yeye mamlaka ya kufanya hivyo. katiba yetu mbovu inampa mamlaka Rais hata
ya kulichagua shangingi lake alilolala nalo bar jana usiku kuwa mkuu wa mkoa kwa sababu hakuna mtu mwenye mamlaka ya kuweza kupinga kwa sababu akishasema Rais basi hakuna kupinga wala mtu mwingine kuweza ku challenge. katika mabadiliko ya katiba lazima teuzi zote za rais zipitiwe na Bunge ili kuhakiki kama kweli wahusika wanastahiki kupata hizo nafasi na wale wote ambao hawafai basi liwakatae na Rais achague mwingine.

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,777
4,625
mkuu hii inamaanisha kwamba HII NI SERIKALI YA KISELA...................nakumbuka nishawahi ona picha ya pa1 nyumbani kwa rafki angu akiwemo JK, joel bendera na washkaji wengine chicha baaaya wakiwa wameshika chupa za bia zile za zamaaani hata lebo hazina,leo hii atamtupa huyo?

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,033
2,186
mkuu hii inamaanisha kwamba HII NI SERIKALI YA KISELA...................nakumbuka nishawahi ona picha ya pa1 nyumbani kwa rafki angu akiwemo JK, joel bendera na washkaji wengine chicha baaaya wakiwa wameshika chupa za bia zile za zamaaani hata lebo hazina,leo hii atamtupa huyo?
kuna mtu kaniambia Jk na Bendera ni ma school mate*2.sasa kwa vyovyote vile huwezi mtosa koligi wako bana!!!

bi mkora

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
259
113
Hii ina maana gani, katika uteuzi wa wakuu wa mikoa, kuna baadhi walikosa ubunge mwaka jana. Hii ni ishara kuwa wananchi walipima utendaji kazi wao na kujiridhisha kuwa upo chini then wakawatema.
Kikwete ameamua kuwarudisha tena serikalini kwa kuwapa ukuu wa mkoa au wilaya, hii inaonyesha kuwa wananchi walikosea.
Je aliyeshindwa ubunge ataweza ukuu wa mkoa au wilaya.?.
Uadilifu wao uko wapi?.
Waswahili wanasema kenge huwa asikii, na ukitaka kenge asikie inabidi umtandike mpaka damu zimtoke maskioni ndo atasikia. Mda wa kuwatandika CCM ni 2015 kupitia sicret balot.

Mghaka

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
320
126
tatizo siyo kikwete tatizo ni katiba mbovu ya nchi inayompa yeye mamlaka ya kufanya hivyo. katiba yetu mbovu inampa mamlaka Rais hata
ya kulichagua shangingi lake alilolala nalo bar jana usiku kuwa mkuu wa mkoa kwa sababu hakuna mtu mwenye mamlaka ya kuweza kupinga kwa sababu akishasema Rais basi hakuna kupinga wala mtu mwingine kuweza ku challenge. katika mabadiliko ya katiba lazima teuzi zote za rais zipitiwe na Bunge ili kuhakiki kama kweli wahusika wanastahiki kupata hizo nafasi na wale wote ambao hawafai basi liwakatae na Rais achague mwingine.

Politiki politiki ebu acha utani bwana unawezaje kusema hivyo? mimi sikubliani na wewe eti katiba mbovu inaweza kumuondolea rais wetu busara za kujua kwamba watu ambao wamekataliwa na wanachi walipungukiwa sifa ya uongozi na sasa tena ameamua kuwarudishia na kuwapeleka sehemu nyingine? Ama hii ni kashifa kwa waliowashinda hasa wengi wao ni wale walioshindwa kwenye kura za maoni au ameambiwa na vyombo vya dola kuwa hawa walishindwa kwa sababu washindani wao waliwazidi kutoa mlungula ingawa wao ni wazuri kiutendaji kuliko waliowashinda. Lakini si atwambie na sisi tujue. Mimi kati ya hao sioni jemedari wa uongozi wengi ni mapuya tu wamesadiwa wakastafu salama na wasimfie bure. Kurithisana au ushikaji katika utumishi wa umma ndio unaoifilisi nchi yetu lazima tukatae kwa nguvu zote.

Mkulima wa Kuku

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,271
532
maana ya hili alilofanya JK ni kuwa wananchi hamna lolote kwake. Nyie mmewakataa, yeye anawakubali, mtamfanya nini? Hii ndiyo serikali yetu bwana! Jk huwa hasikilizi malalamiko ya wananchi. Utashangaa jinsi alivyowarundikia vyeo akina Manyanya...nadhani selection pool yake imefikia mwisho hivyo ameamua kulipa fadhila kwa waliowahi kumtendea mema fulani huko nyuma. Nilwahi kuwaambia watu juu ya Bendera kuwa wapige kelele wawezavyo hawezi kuachwa kwenye ukuu wa mikoa. Sasa wanayaona. Akina mahiza walisindwa hata kura za maoni, jamaa kawabeba. Shame on him

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,164
Hii ina maana gani, katika uteuzi wa wakuu wa mikoa, kuna baadhi walikosa ubunge mwaka jana. Hii ni ishara kuwa wananchi walipima utendaji kazi wao na kujiridhisha kuwa upo chini then wakawatema.
Kikwete ameamua kuwarudisha tena serikalini kwa kuwapa ukuu wa mkoa au wilaya, hii inaonyesha kuwa wananchi walikosea.
Je aliyeshindwa ubunge ataweza ukuu wa mkoa au wilaya.?.
Uadilifu wao uko wapi?.

Kikwete mwenyewe siyo muadilifu, ndiyo sababu anafananishwa na ile nanihii ya kuchanganya kwenye maharage

mkolosai

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
1,578
1,099
Jamani hili zee la kikwere ni lipunguwani kupita maelezo. Their time is counted. 2015 the end of everything. Let them go to hell

Duble Chris

JF-Expert Member
May 28, 2011
3,482
564
Tatizo la wasomi wengi wa nchi hasa wanao maliza chuo kikuu wanakuwa na element za wapinzani kumbuka kuwa nafasi hizi za ukuu wa mkoa / wilaya LAZIMA mtu awe mtifuu wa kweli wa chama twawala na walio walio chaguliwa ndiyo wenye sifa hii MUHIMU

kwani wanaenda kukitumikia chama au wananchi.

Malipesa

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
310
32
Ni kwa sababu Tanzania ni nch ya amani. Sasa huyu mzee wa kikwere hakuna cha kumfanya. Tusubiri 2015 aondoke, katiba mpya ipatikane afu kila kiongozi mkubwa aliyefanya upupu akamatwe afunguliwe mashyaka.

Wambandwa

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
2,250
822
Huwa najiuliza kama JK akishauriwa huwa ana 'weigh' huo ushauri. Yet, I don't have him in focus trying to make a potential decion to our nation.
Anaongeza mikoa while creating extra mouths to feed (unnecessarily). Bado sasa ataunda Wizara mpya wa kuwapa mkewe na wanawe.
We are already bracing for CCM crash landing.

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,624
Na bado. Yatafanyika madudu mengi tu nyie subirini tuu.
Ungwe hii ya mwisho ya JK atahakikisha anafanya analolitaka kwani hana haja ya kubembeleza mtu as ndio anamalizia urais wake.

Mwanaweja

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
3,575
521
huyu anaua ccm bila wao kujua waliomo ndani ya chombo na hoza kesha waacha wao hawajui wataenda wapi kweli Nyerere alikufa na chama sitegemei jipya kutoka kwa kiongozi yeyeyote aliye ndani ya ccm

deecharity

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
903
447
Na bado. Yatafanyika madudu mengi tu nyie subirini tuu.

Ungwe hii ya mwisho ya JK atahakikisha anafanya analolitaka kwani hana haja ya kubembeleza mtu as ndio anamalizia urais wake.

sasa wewe mfuatiliaji gani ishu inasiku mbili hujui kitu. Bendera rc morogoro, yule mama mahiza cjui katupwa pwani alikokua amina mrisho csta wa cheupe, then csta ameambiwa await watampa sector nyingine, u gat it.

4 Reactions
Reply
Top Bottom