Stanley.
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 660
- 297
Mgombea ubunge wa chama cha DP anafanya kampeni zake kwa baiskeli. Hivi kwa hali kama hii si afadhali kujitoa maana atafikia vijiji au kata ngapi? Chama kama hiki kweli si bora kisiingie katika harakati za uchaguzi pindipo ikitakiwa kuwa na uchaguzi? Source: radio free habari.