Mwandikieni Bill Clinton | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwandikieni Bill Clinton

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Sep 21, 2011.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Wakuu: Kikwete ametuchosha na ulegelege pamoja na ufisadi. Sasa hivi anamhadaa Clinton. Hakuna anachofanya zaidi ya kuwatafutia mafisadi vyakula vyao. Tunawaomba Raia wema wote wamwandikie Rais Mstaafu wakimsihi kumshinikiza Kikwete achukue hatua dhidi ya ufisadi. Mwambieni kwamba juhudi zake hazimnufaishi mtanzania bali mafisadi. Tumeni barua kupitia

  sarora@clintonfoundation.org
   
 2. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Mpiganaji Mwingereza, tuko pamoja. Nitakuwa wakwanza kumuandikia Clinton. Tunaomba email ya Obama pia..
   
 3. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Vasco Dagama abakie huko huko
   
 4. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  tunamsubiri hyo tar 23.....
   
 5. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  kama vile atakuja. mjanja kweli vasco dagama
   
 6. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mi nadhani bado sio solution...........suala ni kuingia road tu.
   
 7. nyengo

  nyengo JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 433
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Watu wake si tunao hapa, wanampa taarifa zote hizi. Sidhani kama atakuja huko
   
 8. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mwandikie wewe, kama unadhani hiyo email yako hata itafunguliwa!
   
Loading...