TBC Mnatunyima haki za msingi walipa kodi

Johnsecond

JF-Expert Member
May 4, 2010
1,076
211
Kweli inaniuma sana kwa TBC chombo ambacho kodi zangu zinaenda harafu sipati habari kama inavyotakiwa. Yaani utadhani Igunga kuna CCM peke yao mimi najua hata kama vyama vingine visipopiga kampeni ni habari pia kwa chombo cha habari. Mbona mnatutia hasira wananchi kwa kutumia kodi zetu kinyume na inavyotakiwa? mpaka wafanyakazi wanaonekana wakiwa inferior wakati wakitoa habari maana nao wanalazimishwa tu. Mnachochea ghasia na mtakuja kujibu haya mambo mwisho ukifika. Kwa wenye uwezo endeleeni kurecord whatever is happening maana najua kila mtu atakuja kuulizwa na kumalizia maisha yake jela. Hizi promosheni mnazopeana kindugu na kirafiki zitakuja kuwasababishia kumalizia maisha yenu vibaya.

Nimemaliza.
 
TBC hawa tusiwahesabu kama taasisi ya umma bali ni taasisi ya ccm inayotumia kodi zetu kufanya kazi za propaganda
 
Kweli inaniuma sana kwa TBC chombo ambacho kodi zangu zinaenda harafu sipati habari kama inavyotakiwa. Yaani utadhani Igunga kuna CCM peke yao mimi najua hata kama vyama vingine visipopiga kampeni ni habari pia kwa chombo cha habari. Mbona mnatutia hasira wananchi kwa kutumia kodi zetu kinyume na inavyotakiwa? mpaka wafanyakazi wanaonekana wakiwa inferior wakati wakitoa habari maana nao wanalazimishwa tu. Mnachochea ghasia na mtakuja kujibu haya mambo mwisho ukifika. Kwa wenye uwezo endeleeni kurecord whatever is happening maana najua kila mtu atakuja kuulizwa na kumalizia maisha yake jela. Hizi promosheni mnazopeana kindugu na kirafiki zitakuja kuwasababishia kumalizia maisha yenu vibaya.

Nimemaliza.

TBC ni taasisi ya CCM ambayo hulipiwa kodi na wananchi wote wa Tanzania na wasiokuwa Watanzania. Kwahiyo, ni bora wajitangaze kuwa wao hawaonyeshi habari zisizowahusu wao isipokuwa tuu ni zile za waajiri wao CCM.....huwa napata sana shida kutazama hilo lichanel la kichama....kama vipi wajiite tu Uhuru and TBC company. Hebu cheki gazeti la Uhuru wakiandika hivi....ujue na HabariLeo, Mzalendo (wikend), jamboLeo wataandika vivyo hivyo....stupid sana hawa mijaa wanatutawala hadi akili zinakuwa pumba.
 
Kunahaja ya katiba mpya kuvifanya vyombo vya habari ma CEO wake wasiwe wana teuliwa na Rais bali. Chama cha waandishi wa habari.
 
Kweli inaniuma sana kwa TBC chombo ambacho kodi zangu zinaenda harafu sipati habari kama inavyotakiwa. Yaani utadhani Igunga kuna CCM peke yao mimi najua hata kama vyama vingine visipopiga kampeni ni habari pia kwa chombo cha habari. Mbona mnatutia hasira wananchi kwa kutumia kodi zetu kinyume na inavyotakiwa? mpaka wafanyakazi wanaonekana wakiwa inferior wakati wakitoa habari maana nao wanalazimishwa tu. Mnachochea ghasia na mtakuja kujibu haya mambo mwisho ukifika. Kwa wenye uwezo endeleeni kurecord whatever is happening maana najua kila mtu atakuja kuulizwa na kumalizia maisha yake jela. Hizi promosheni mnazopeana kindugu na kirafiki zitakuja kuwasababishia kumalizia maisha yenu vibaya.

Nimemaliza.

Kamamnavyoendelea kufanya vurugu. Hivi kutorusha kampeni za magwanda ndiyo kukaribisha vurugu? Kama vyama viko igunga na wananchi huko wanahudhuria mikutano, sisi tulio nje ya Igunga inatuhusu nini? Unamisha nani?
 
Enzi ya Tido, TBC ilipiga hatua moja mbele, enzi hii ya Mshana, TBC imrudi hatua kumi nyuma.

Hata ile ndoto ya Tido kuwa na TBC 1,2,3... haitakuwa kamwe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom