Mwenendo wa CCM kujivua gamba unatufundisha nini watanzania?

mkatofa

Member
May 6, 2010
38
7
HUMWENENDO (maneno na matendo yao)WA VIONGOZI,WANACHAMA NA WAPENZI WA CCM KATIKA KUJIVUA GAMBA, SISI WATANZANIA UNATUFUNDISHA KITU GANI? NIKWELI CCM HAINA DHAMILA YA KUSIMAMIA MASLAHI YA WTZ? LEO NAPE HUMU JF KATUONYESHA JINSI CCM WANAVYO GEUZA MAMBO,KULE IGUNGA MTU KAJICHOMEA BANDA LAKE LA KUKU MKAMA ANA TAKA VYOMBO VYA DOLA VIFANYE KAZI HARAKA.MKUU WA WILAYA KAVUNJASHERIA WAMEKAA KIMYA.

JE NIKWELI WANA VIONGOZI WENYE MAWAZO SAHIHI KATIKA WAKATI SASAHIHI.

a)nikweli ni cham ch wanyonge
b)ni kweli kinahitajika kidumu
c)ni kweli tuwaachie watoto wetu hiki chama
d)ni kweli hatunachama mbadala na wa hiki
e)kweli matatizo yote tunayoyapata wtz nisababu hajari haina kinga.

KAMA NAPE ANAGEUZA MANENO LEO HII, BASI INADHIHLISHA KWAMBA HATA VIJANA WACCM HAWAWEZI KUWA NA DHAMILA YA KWELI KATIKA KUSIMAMIA MASLAHI YA TAIFA.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom