Balozi Mrango aongezewa muda


D

Divele Dikalame

Member
Joined
May 4, 2010
Messages
77
Likes
0
Points
0
D

Divele Dikalame

Member
Joined May 4, 2010
77 0 0
Hatimaye katibu mkuu wa wizara ya ujenzi Balozi Harbert Mrango ameongezewa muhula wa mwaka mmoja baada ya muda wake wa kustaahafu kufikia tangu mwanzoni mwa mwezi huu, Balozi Mrango ambaye alikuwa katika pilika pilika kubwa kupitia kwa rafiki yake mzee Luhanjona alifika mpaka kwa mzee Msuya ili kufanikisha azma yake hiyo amefakinikiwa zowezi lake hilo na amepokea barua ya kuongezewa mwaka mmoja tangu tarehe 20/9/20011.

Muhimu cha kujiuliza huyu mzee anatafuta nini kwa ugagalizi wake huu? utendanji wake unafahamika kwamba ni mmbovu muulize mtu yeyote pale wizarani atapasha hilo sasa ni kwa ufanisi gani alofanya mpaka aongezewa muda huo? Nadhani hongo za vibali,Tanroads zimemlewesha na habari zaidi zinatufahamisha tayari amemtuma bwana kimweri kumtengenezea michoro ya hekalu analotaka kuliporomosha kijijini kwake.
 
mashikolomageni

mashikolomageni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2010
Messages
1,566
Likes
11
Points
135
mashikolomageni

mashikolomageni

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2010
1,566 11 135
nchi hii hadi nyatokee mapinduzi ama ya amani au yas kumwaga damu ndiyo viongozi watapata akili kwani hakuna mtu anaye weza kushika hiyo nafasi ila yeye tu. Haya ndi mawazo mgando ya akina Gadafi kuwa bila yeyey Libya haiwezi kuwepo
 
S

salaama

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2010
Messages
249
Likes
191
Points
60
S

salaama

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2010
249 191 60
Msingi wa thread hii unaonekana kuwa ni majungu na chuki binafsi. Ninashawishika kufikiria Huyu Divele Dikalame Kama sio mmoja wa wale watumishi wavivu na corrupt waliodhibitiwa kikamilifu na Balozi Mrango, basi ni wakala wa Makandarasi uchwala ambao Balozi Mrango amewadhibiti sana pale Wizarani katika kipindi chake.

Kama kuna jambo moja Yule bwana analosifika vizuri na vibaya pale Wizarani ni kubana matumizi. Wale waliozoea kutengeneza mabomu, semina uchwara, malipo hewa...woote amewadhibiti ile mbaya.

Wale Makandarasi waliojaribu kumuonga ili malipo Yao yatoke wakati kazi zao ni shoddy, wa Ito ga mwamba.....maana jamaa mwenyewe mlokole..hachangamkii deal.

Mwisho wao sasa walikuwa wanasubiria aondoke kwa kustaafu......hivyo sishangai Kama kweli ameongezewa mkataba...lazima iwe ni shocking news kwa wahujumu wa rasilimali zetu.
 

Forum statistics

Threads 1,251,854
Members 481,915
Posts 29,787,816