Kwa vijana wote walio CCM, CHADEMA, CUF, NCCR na kwingineko

maoniyangu

Member
Jul 9, 2011
53
4
kuna tabia imezuka na inazidi kushika kasi siku hadi siku ya vijana kudharauliana kwa kutumia vyama. tabia hii imekuwa ikionyeshwa sana na vijana walio chadema, utasikia oh "kijana aliye ccm akapimwe akili" au "msomi alie ccm ana matatizo ya akili". kwa kweli mimi naona sio sahihi kwa sababu, kwanza kila mtu anao uhuru wa kushabikia au kuwa mwanachama wa chama anachokipenda. pili hakuna chama kilichosajiliwa kwa ajili ya vijana. hatuwezi wote kuwaza au kuwa na mtazamo sawa, hivyo tusilazimishane kuwa chama fulani.
hili taifa kwa sasa limeshakosa mwelekeo, cc vijana ndio tunaoweza kulikomboa, kunahitajika mapinzuzi katika kila nyanja(elimu, siasa, maisha n.k) . sasa kama tutaendelea na hii hali ya kudharauliana kwa kweli hatutofika kokote. hawa wazee wanatutumia na tusipokuwa makini wataendelea kututumia. nashauri vijana ndani na nje ya vyama vyetu tuungane ili tuweze kulikomboa taifa letu. hawa wazee hawana uchungu na hii nchi, kwanza wameshaila vya kutosha, pili mda wao si mrefu. nchi hii ni yetu sisi vijana.
 
mashikolomageni

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
1,568
185
Well said lakini vijana waache kwanza kutumiwa na kuhubiri wasioyaamini, kuna vijana wa chama fulani ukiongea nao wanamawazo mazuri sana lakini wakivaa joho la chama wanakuwa hovyo sana!
 
Fasta fasta

JF-Expert Member
Feb 15, 2011
1,014
613

Theard yako ni nzuri ila umeihukumu CHADEMA bila kuelewa kuwa vijana wanajitahidi kujibu kulingana na hali ya wachangiaji, vijana wanagusa kila upande katika taifa letu ninawasifu. Kumbuka kwa muda wa miaka hii mitatu minne vijana wamejitahidi sana kuikumbusha serikali wajibu wao makosa wanayoyafanya ikiwa hawavijana ndio wanaona wakiwa katika familia zao. . Sasa kwa sababu serikali ya CCM sio wasikivu ni lazima wawewakali ili kulinda ajira zao na kuongeza ufanisi wa utendaji kazi.

Ninawapongeza sana vijana wameibadilisha Tanzania na bado waongeze pilipili kidogo. Kama vyombo vya habari kama TV, Radio vingekuwa karibu zaidi na hawa vijana tungepata maendeleo ya haraka kwa sababu tungesemana huko huko na tungerekebishana. Lakini ccm yenu kila kitu ni siri na kuonyeshana umwamba kuwa kila mtu ni mkubwa hii hali ipo hata huku chini kiasi ambacho vijana hawana sauti.

Tambua hapa ni kwenye uwanja ambao upo wazi, kuna mashabiki ambao hawana hata chama, kuna watu ambao sio raia wa tanzania lakini kwa sababu ya kujua kiswahili, wanapenda kujiunga wa wenzao. Hii hali kukejeliana haipo Tz tu bali kwa dunia ya leo ya utandawazi kila kijana anataka aende na wakati. Wewe unataka kuturudisha wakati wa zidumu fikra za M/kiti.
 
Lua

JF-Expert Member
May 19, 2011
704
305
Well said lakini vijana waache kwanza kutumiwa na kuhubiri wasioyaamini, kuna vijana wa chama fulani ukiongea nao wanamawazo mazuri sana lakini wakivaa joho la chama wanakuwa hovyo sana!
nilifikili unajambo la msingi, kumbe hadi leo hujaenda kupimwa akili?
 
Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
1,489
907
kuna tabia imezuka na inazidi kushika kasi siku hadi siku ya vijana kudharauliana kwa kutumia vyama. tabia hii imekuwa ikionyeshwa sana na vijana walio chadema, utasikia oh "kijana aliye ccm akapimwe akili" au "msomi alie ccm ana matatizo ya akili". kwa kweli mimi naona sio sahihi kwa sababu, kwanza kila mtu anao uhuru wa kushabikia au kuwa mwanachama wa chama anachokipenda. pili hakuna chama kilichosajiliwa kwa ajili ya vijana. hatuwezi wote kuwaza au kuwa na mtazamo sawa, hivyo tusilazimishane kuwa chama fulani.
hili taifa kwa sasa limeshakosa mwelekeo, cc vijana ndio tunaoweza kulikomboa, kunahitajika mapinzuzi katika kila nyanja(elimu, siasa, maisha n.k) . sasa kama tutaendelea na hii hali ya kudharauliana kwa kweli hatutofika kokote. hawa wazee wanatutumia na tusipokuwa makini wataendelea kututumia. nashauri vijana ndani na nje ya vyama vyetu tuungane ili tuweze kulikomboa taifa letu. hawa wazee hawana uchungu na hii nchi, kwanza wameshaila vya kutosha, pili mda wao si mrefu. nchi hii ni yetu sisi vijana.

Kha kumbe mwenzetu wewe ni mshabiki??!! Ngoja nikupe tafsiri ya ushabiki, "fanaticism" ni mapenzi binafsi ya mtu juu ya jambo, au kitu ambayo humletea "personal relief" msisimko binafsi wakati inapotokea chanya au hasi kwenye hicho anachokishabikia, (mf timu ya mpira, muziki, games nk) ambavyo havina muonekano unaoleta faida wala maisha binafsi kwa ujumla.
Sasa huwezi kuunganisha masuala ya Kisiasa na ushabiki.. siasa is all about our life, the national destiny ama kuangamia ama kuinuka kwa taifa husika.. ni hatari kuweka ushabiki kwenye maisha yako.. Tunapoongelea siasa tunaongelea maisha yetu, maisha ya watoto wetu, maisha ya vizazi vinavyofuata baada yetu.
kila anayeongelea siasa kwa uchungu, ni mzalendo wa kweli..
 
mkatofa

Member
May 6, 2010
38
7
Kweli ccm vijana hawana akili umedhilisha wewe nakiongozi wako humu jf,wewe umeleta hoja ambayo unaukataa ukweli.nakuuliza swali changu kiongozi yeyote kijana aliye ccm ambaye anautashiwake katika maamuzi yakujenga chama chenu (ccm) ukianzia na Nape mnauye, wote wanashikiwa akili tu na viongozi wazee wa ccm,hilo kadhihilisha nape leo kwakugeza maneno yake mwenye. Narudia wote walio ccm wakapimwe akili
 
Peter lilayon

Member
Aug 13, 2011
52
7
Point zote ni nzur, mtatoa mada ana point lakn asitufundishe uoga, vijana co chama cha siasa na huwezi kuokoa nchi bila chama makini cha kujal wazee na vijan acha love story za kccm, watu akitetea sherikali ya legelege km ya ccm we tegemea 2 crash za kutosha, ccm imekosa mvuto majimbo mnae mengi mmeshindwa kufanya vi2 vya msingi mnangangania madaraka, nchi imewashinda hatutaki upuz wa ccm
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom