Dalili za ushindi wa CHADEMA kuingia ikulu 2015 waonyeshwa huko Zambia leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dalili za ushindi wa CHADEMA kuingia ikulu 2015 waonyeshwa huko Zambia leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAGAMBA MATATU, Sep 21, 2011.

 1. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  Ushindi wa CHADEMA kuingia ikulu 2015 umeonyeshwa leo huko Zambia kwani hadi hivi sasa matokeo ya uchaguzi uliofanyika leo huko zambia wa urais unaonysha kuwa chama tawala cha MMD(Movement Multipart Democracy) kilicho chini ya Rupiah Banda kiko nyuma kwa kura kwa wastani wa asilimia 16% dhidi ya 78% ya chama cha upinzani cha PF(Patriotic Front) kilicho chini ya Michael Sata, hii ni dhahili kuwa wananchi wamechoshwa kwa kudanganywa na vyama vilivyoko madarakani,, kwa matokeo zaidi fuatilia MUVI TV YA ZAMBIA,,

  Hadi naondoka mitamboni matokeo yalikuwa kama ifuaatavyo kwa mikoa yao,

  Michael Sata PF, chama cha upinzani Rupiah Banda MMD chama tawala sasa.
  10271 2912

  9642 2794

  20768 3901

  14730 4509

  20391 3637

  10271 2912

  14224 3142

  13241 2317

  9875 1543

  16748 4323

  15743 2754

  Muda huu niko job mwenye matokeo zaidi kutoka MUVI TV atujuze ila hiyo ni salamu kwa CCM kutoka Zambia mnamo mwaka 2015,
  Watu wa Zambia wanasema one Zambia one nation, no one can own Zambia Forever si maneno yangu bali ni maneno ya wapiga kura waliokuwa wakiimba ndani ya MUVI TV leo huko zambia.
   
 2. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  asante mkuu kwa taarifa, Tz na wengine wakae mkao wa kuliwa....
   
 3. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #3
  Sep 21, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Ushindi kwa katiba hii na tume hiihii ya Rajabu Kiravu?
  Kwanza katiba ndipo mambo mengine yatajipa...
   
 4. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Habari ndio hito.
   
 5. M

  MaMkwe JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2011
  Joined: Sep 5, 2007
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Haya tuendelee kuishi kwa matumaini. Lakini zambia hakuna aliyekwidwa gauni wala shati. Ustaarabu mtupu
   
 6. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Good job mabadiliko muhimu na ndio chachu ya maendeleo
   
 7. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,502
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Safi saana nimeipenda hiyo, this shows that freedom is on our way!!!
   
 8. m

  mkweli1961 Senior Member

  #8
  Sep 21, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Nafikiri hayo uliyotoa nimatokeo sehemu ambayo Chama Cha Upinzani cha Bwana Sata kinakubalika. Tusubiri matokeo yote.
   
 9. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hiyo ni mikoa zaidi ya kumi na ananing'inia vile atazitoa wapi kira nyingi hivyo anyaway sijui zambia wana mikoa mingapi ila naona kama kaachwa mbali sana. Ndiyo maana alisema washabiki wake wasishangilie mpaka kipenga cha mwisho
   
 10. c

  chama JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2011
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nadhani unashindwa kuunganisha hesabu, watanzania wamechoshwa na CCM kinachowakwamisha ni utitiri wa vyama vya upinzani ambavyo siku vimekuwa ni tatizo. Inaonekana wapinzani wa Zambia wamekuwa na sauti moja dhidi ya chama tawala. Huku kwetu bado ni hadithi wapinzani wamelenga kwenye ruzuku zaidi matokeo yake kila chaguzi CCM tunashinda kwasababu ya uroho wa madaraka unaonyeshwa na viongozi wa upinzani, ushahidi unajionyesha Igunga laiti kama wapinzani wangeweka mgombea mmoja nadhani CCM tungekubali matokeo na tusingeshiriki hata uchaguzi wenyewe.

  Chama
  Gongo la Mboto DSM.
   
 11. 2

  2simamesote Senior Member

  #11
  Sep 21, 2011
  Joined: Jun 27, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli bila katiba mpya imekula kwetu na kiravu achape lapa
   
 12. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Waungane mala ngapi?? Ccm na mkewe na watoto wake washaungana huko bungeni dhidi ya chadema, sasa muungano upi unaoutaka wewe!!?
   
 13. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mkuu hii wengi wanaileta hii ya kuwa na vyama vingi katika uchaguzi kama sababu lakini ni uongo wa watu wasiofuatilia vizuri. Hii yetu ndio demokrasia ya kweli. Anayeshinda bila zengwe ndiye mshindi wa kweli na ndiye anakuwa chaguo la wengi.

  Ni vizuri ieleweke kuwa ccm ni chama kama vyama vingine katika race hii na wananchi ndio wachaguaji. Kama wananchi wanahitaji ccm bado hata kama vingekuwa vyama viwili tu kingeshinda. Kuna ushahidi wa wazi ambao unaonyesha kuwa viliwahi kushiriki vyama vichache na ccm ikashinda na kuna majimbo viliwahi kushiriki vyama zaidi ya vitatu na ccm ikabwagwa chini. Hivyo basi wananchi kama wataelewa haki yao na hawatakubali kuraghaiwa kwa vizawadi na ahadi hewa za maendeleo yasiyokuwepo na pale katiba itakaporekebishwa ili kuiondoa hii tume ya wizi wa kura inayochaguliwa na mwenyekiti wa ccm, hapo ndipo kutakuwa na mwisho wa ccm. Bila hivyo hata kama ukiweka vyama viwili tu, itashinda ccm.
   
 14. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  Vote counting continues in Zambia from Tuesday's general elections. Partial results show an early lead by main challenger Michael Sata of the Patriotic Front party. He has 42 percent of the vote compared to 35 percent for President Rupiah Banda of the ruling Movement for Multiparty Democracy and 18 percent for a candidate of the UPND party.
  According to the Electoral Commission of Zambia (ECZ), the results are based on a tally of 133 of the country's 150 constituencies
  Source is VOA NEWS ndani ya mtandao,,, yani 133 ni majimbo yanayoonyesha hadi sasa kuwa Michael Sata anaongoza na jumla ya majimbo ni 150,.
   
 15. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
   
 16. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #16
  Sep 21, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ukiona mwenzako unanyolewa wewe.............!!!!!
   
 17. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
   
 18. Mpandafarasi

  Mpandafarasi Member

  #18
  Sep 21, 2011
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Iwe ni hayo ya Zambia au ya Misri, mimi sijui, but what I can say ni kwamba, "YOU CAN FOOL SOME PEOPLE FOR SOMETIME BUT YOU CANT FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME" CCM haina life copyright Tanzania, ipo siku,tena siku hiyo i karibu CCM itang'oka. Kumbuka zilikuwepo ngome za Roman Empire, nani alijua zitasambaratika one day? Tazama CCM ya sasa ilivyo na tafakari ilikotoka kisha utapata jibu, but kama ni suala la kujipa matumaini tu wacha CCM iendelee kujitumainisha, hata Masha na Uwaziri wake wa makachero hakuamini pale Mwanza kuwa alibwagwa chali kama mende mchana kweupe.

  Time will tell.
   
 19. Naibili

  Naibili JF-Expert Member

  #19
  Sep 22, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kila mtanzania anaisubiri hiyo siku kwa hamu kubwa naaminii itakuwa siku kuu kubwa saana kuwahi kutokea hapa nchini
   
 20. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #20
  Sep 22, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  tataizo la tz ni katiba tu
   
Loading...