CCM Mashine kubwa ina Saga na Kukoboa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Mashine kubwa ina Saga na Kukoboa.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by propagandist, Sep 23, 2011.

 1. p

  propagandist Member

  #1
  Sep 23, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni kauli mbiu inayotumiwa na wanachama na wapenzi wa chama hicho katika uchaguzi mdogo wa igunga, ni kauli inayoonesha kutumia ubabe, na je? inawezekana aje kuwapo Mashine inayosaga na kukoboa? badala ya "kukoboa na kusaga"
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Ipo siku watalia na kusaga meno
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,823
  Trophy Points: 280
  Mausemi ya kwenye kanga haya.
   
 4. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,605
  Likes Received: 4,708
  Trophy Points: 280
  Ya kukoboana na kusagana
   
 5. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwigulu Nchemba ametuonyesha mfano wa Mashine hiyo inavyofanya kazi huko Igunga. Wenye wake zenu akili kumkichwa.
   
 6. G

  GAGAGIGIKOKO Senior Member

  #6
  Sep 23, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM ni wameishapoteza muelekeo. wanafikiri kwa macho kama ngiri
   
 7. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli CCM Igunga wanasagana na kukoboana, ushahidi ni ule wa Mwigullu Nchemba.
   
 8. F

  FUSO JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,860
  Likes Received: 2,338
  Trophy Points: 280
  Sijakupa sawa sawa mkuu, yaani unamaanisha yule kiongozi wenu mkuu wa kampeni aliyemkoboa yule mke wa kada mwenzake kwa kutumia hela za kampeni?
   
 9. std7

  std7 JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Kamuiga katibu mkuu wa kile chama cha mag.....
   
 10. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #10
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ni kweli inasaga na kukoboa! Wananchi wamekobolewa kisawasawa kwa ugumu wa maisha na mgawo wa umeme!
   
 11. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mukama jana nae kasaga na kuboa lakini cha ajabu mashine inarudisha pumba tu.
   
 12. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Watatumia kila aina ya misemo ili waonekane wababe lakini wamechemka! Mambo yao menyewe yako shagalabala alafu ni ya kukurupuka thats why wanatumia misemo isiyokuwa na logic!
   
 13. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  kweli ccm mnatapatapa.inakuwaje mnapingana na kauli mbiu ya mwenyekiti wenu wa chama?au ndo kila mtu anakufa kifo chake?mimi ni nayo ijua ni NGUVU ZAIDI,KASI ZAIDI HALI ZAIDI.vipi imekuaje mkabadilisha?au haina mvuto?nyinyi mumefulia sera zenu.na mwaka huu hatudanganyiki.mtajibbeba aisee.mia
   
 14. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  inasaga pesa za walala hoi wa tanzania..Kweli CCM kiboko ya wasio nacho.
   
 15. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #15
  Sep 23, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  kwa sababu wote ni waroho, acha wamalizane wao kwa wao! Wanaona haya kuitamka hiyo kauli mbiu ya mkubwa wao kwa sababu imewatafuna wao wenyewe!
   
 16. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Wadanganyika twalia lia....
   
 17. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  wanasagana na kukoboana wenyewe kwa wenyewe. Wameanza kwa kumwagiana tindikali, kuibiana wake sasa kuchomeana nyumba.
   
 18. k

  kidono Member

  #18
  Sep 23, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Itakuwa mashine ya kichaina.
   
 19. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #19
  Sep 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  exactly. Mwigulu Nchemba ameonyesha mfano.
   
 20. ngorope

  ngorope JF-Expert Member

  #20
  Sep 23, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mashine zipo nyingi hiyo kazi yake ni KUSAGA na KUKOBOA haki za wananchi, WANA IGUNGA tuinyime mafuta kwenye sanduku la kura 2 Oktoba
   
Loading...