BASHADA
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 513
- 148
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Naelekea huko, then I will come back shortly.Kwa ufupi balozi amekamatwa huko Igunga akiorodhesha majina ya wapiga kura wa eneo lake (jina) namba ya kadi ya kupigia kura na kama ni wa Chadema basi anaweka Vema (anaweka tiki) na anasema ameambiwa na wmenyekiti wa kitingoji na wameambiwa mabalozi wote. Sasa ndo Chadema wamemkamata na wanamhoji jamaa anasema ukweli wote.
Kuhusu Chadema TV bado hawajazindua rasmi na sidhani kama TBC au ITV wanaweza kutangaza aibu kubwa kama hiyo kwa CCM. Cha kufanya nenda kwenye internet then utype "Chadema TV" alafu ufuate link inayosema You tube. Ndo wanaweka video ya matukio mbali mbali.
Nadhani nimekujibu
we naweWakuu hebu tusaidieni sisi ambao cm zetu hazina uwezo.
Halafu hiyo chadematv inapatikanaje? Kwa dekoda au hata antena za kawaida?
" KWA TUHUMA HIZO BASI TUNAWAHAMURU WAISLAMU WOTE NA WAPENDA AMANI WASIKIPIGIE KURA CHAMA HICHO"
Tangu lini watu wakaanza kuhukumiwa na jamii kwa tuhuma tu vitu ambavyo havijathibitika. CCM wanaweza kuwa wanafurahi
tamko hili lakini kuna siku litakuja ku cost vibaya sana siku za usoni. wanasiasa wengi waliocheza na dini mwisho wao haukuwa mzuri
kwa sababu unatumia dini ya Mungu kwa ajili ya political gain and that is wrong.