Maadhimisho ya miaka 34 ya wizi wa CCM

SMG

Member
Oct 1, 2011
40
6
Habar kutoka mtu wa karibu na Ikulu zinasema kwamba CCM sasa wataadhimisha miaka 34 ya WIZI ktk kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru dec. 9 mwaka huu. Kauli mbiu yao ni hii,according to reporter! Wizi wa Kura Daima, Ufisad Mtindo Mmoja, Uporaj wa Rasilimal Tutaendeleza, Polis ndio Ngao Yetu na Upendeleo wa kuenzi Mbumbumbu ndio Ilani Yetu. Je, hii ni sawa? Naomba kuwasilisha.
 

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,358
Mabaya yote ni ya ccm na sidhani kama wana jema lolote
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Mada za aina zina dhalilisha forum hii guys we need to stop this BS on here please
 

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
39,634
71,914
wananifanya niwe na chuki kubwa sana na yeyote aliye CCM,mzee wangu ameni-call kushadadia ushindi wa igunga nikamwambia sitaki uniambie cjui mdogo wako kapangiwa shule haina mwalimu eti muhamishe.coz yeye ni mchango wa upuuuzi huu
 

Halfcaste

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
972
214
wananifanya niwe na chuki kubwa sana na yeyote aliye CCM,mzee wangu ameni-call kushadadia ushindi wa igunga nikamwambia sitaki uniambie cjui mdogo wako kapangiwa shule haina mwalimu eti muhamishe.coz yeye ni mchango wa upuuuzi huu
Vipi miaka Hamsini ya Uhuni,sorry ya uhuru bubu!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom