Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...

Status
Not open for further replies.

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,781
Nape Nnauye
Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
Na haya ni kata kwa kata...
Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284
Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079 CHADEMA 590
Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
Igurubi CCM 925 CHADEMA 592
Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426
Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
Ngulu CCM 622 CHADEMA 412
Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
Choma CCM 1227 CHADEMA 918
Kining. CCM 700 CHADEMA 451
Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484
Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
Itunduru CCM 738 CHADEMA 784
Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421
Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427
Bukoko CCM 1136 Chadema 931
Nyandekwa CCM 691 Chadema 631
Ndembezi CCM 866 Chadema 806
Chabutwa CCM 545 Chadema 581
Ziba CCM 1053 Chadema 860
Igoweko CCM 1051 Chadema 880
Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593
OHOOO PEOPLES POWER TENA KWISHNEI!!!!

*******************
Nape kafuta hii status kwenye wall yake kisha kakana kuandika chochote kwenye mtandao
 

Honey K

JF-Expert Member
Sep 14, 2008
629
72
MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini
 

Maarko

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,180
576
MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini
Nenda kwanza kamvue Lowasa Gamba ndiyo uje na taarifa yako hiyo tukuelewe.
 

eliesikia

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
786
752
weee Nape tupa kuleeeeee.... Yaani unashangilia kwamba mmepata kura 26000 kutoka 35k to hell.... Kaeni mkao wa kunyolewa tuu.. DR. W. Slaa atakuwa raisi wa hii nchi hata mfanyeje nyie na magamba yenu
 

mzee wa njaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
1,366
223
Huyu Nape naona ana matatizo ya Akili yeye kawa tume.............Ni mara ya kwanza CDM kuweka mtu huko mambo hivyo.....Wananchi wa Igunga dhambi ya kumchagua huyo kima wa madini itawatafuna milele.
 

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,504
is nape a reliable source ?? any way Good job chadema from nothing to well established party in Igunga.
mnastahili pongezi hasa ukizingatia mlikuwa mnapambana na Nchi nzima, Taasisi za dini, usalama wa Taifa, Mgambo, Polisi
na kadhalika kwahiyo mnastahili pongezi kwani kama CCM kingekuwa kinashiriki kwenye uchaguzi kama chama cha siasa tu na siyo
chama dola naamini ushindi ungekuwa ni wenu.
 

The Analyst

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
464
245
Nisingefurahia kushinda kwa Magamba lakini kama wamepata kura zaidi si tatizo wakichukua Ubunge wa Igunga. At least sasa wanajua kwamba inachukua nguvu ya serikali nzima, fedha kibao za kuhonga wapiga kura, udini wa kupandikizwa kwa kashfa feki, wakuu wa wilaya vimeo, na mafisadi wastaafu kuweza kushinda People's Power.
Tusubiri ushahidi wa uchakachuaji kama utakuwapo ili tuone ukweli maana nitashangaa kwamba Magufuli na ahadi za madaraja, ugawaji wa fedha, Mkapa na nguvu zote za mafisadi bado wamezalisha kura 3,823 tu zaidi ya CHADEMA, chama kilichoanza kujijenga jimboni hapo mwezi juzi tu. I tell you my friend CCM is going down. Wasipobadilika lazima waumie kikweli in 5 to 10 years.
 

Dopas

JF-Expert Member
Aug 14, 2010
1,151
392
Pamoja na nguvu zote mlizotumia kuhamishia serikali yote huko, hadi rais mtaafu mkapa, pamoja na kujidai kote kuwa ni chama kikongwe na kukaa kwenu kama serikali miaka 50, unashangilia tofauti ya 4000? Shame on you magamba.

Kama mwaka jana tu Chadema hata hawakugombea, mwaka huu wamegombea wakawapa upinzani mkubwa kiasi hicho hesabuni jimbo hilo hamna nalo tena. 2015 chadema haihitaji kampeni Igunga, kampeni tayari, ni kuweka tu mgombea na jimbo linachukuliwa kiurahisi
 

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
61,275
124,798
Nape Nnauye
Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
Na haya ni kata kwa kata...
Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284
Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079 CHADEMA 590
Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
Igurubi CCM 925 CHADEMA 592
Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426
Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
Ngulu CCM 622 CHADEMA 412
Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
Choma CCM 1227 CHADEMA 918
Kining. CCM 700 CHADEMA 451
Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484
Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
Itunduru CCM 738 CHADEMA 784
Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421
Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427
Bukoko CCM 1136 Chadema 931
Nyandekwa CCM 691 Chadema 631
Ndembezi CCM 866 Chadema 806
Chabutwa CCM 545 Chadema 581
Ziba CCM 1053 Chadema 860
Igoweko CCM 1051 Chadema 880
Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593
OHOOO PEOPLES POWER TENA KWISHNEI!!!!

Nape kumbe ndo unamoderate matokeo that y unayamiliki wewe binafsi kabla ya kutangazwa.
 

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
1,189
Matokeo ya Igunga naona hivi sasa yamegeuka mambo ya utani tu; kila mtu huibuka na ya kwake mfukoni na tambo juu.

Kwa mfano naye huyu mtoto wa Nnauye naye kaibuka na ya kwake - haya tukayasome tukisubiri na matokeo kutoka kwa Mhe Tambwe Hizza.


Nape Nnauye

Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
Na haya ni kata kwa kata...

Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284

Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079 CHADEMA 590

Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
Igurubi CCM 925 CHADEMA 592

Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426

Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
Ngulu CCM 622 CHADEMA 412

Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
Choma CCM 1227 CHADEMA 918

Kining. CCM 700 CHADEMA 451
Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484

Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
Itunduru CCM 738 CHADEMA 784

Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421
Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427

Bukoko CCM 1136 Chadema 931
Nyandekwa CCM 691 Chadema 631

Ndembezi CCM 866 Chadema 806
Chabutwa CCM 545 Chadema 581

Ziba CCM 1053 Chadema 860
Igoweko CCM 1051 Chadema 880

Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593

OHOOO PEOPLES POWER TENA KWISHNEI!!!!
 

spearhrad

New Member
Oct 3, 2011
4
0
kumbe nape we ni katibu wa IT.CARD Wa tume ya uchaguzi ndo mana inatakiwa tume huru.mbona ujinga huu umewaharbu uwezo wenu wa kufikiri nape
 

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,876
6,836
MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini

Ninachozidi kukukandia Nape ni utoto, kwani lugha zako huonekani kama mtu mwenye wadhifa, ila wale jamaa wa mitaani, na huonyeshi dalili za mtu kupata malezi kwenye familia yenye wazazi wenye nafasi. Unatakiwa jifunze lugha zile za ustaarabu ambazo zinakuweka kwenye heshima yako. Kumbuka huwakilishi kundi la mitaani, bali umma wa watu wenye rika zote na nafasi mbalimbali katika jamii. Hii kitu unaongea hapo kwangu mie unaonyesha ulivyo mtupu kimaadili na kabisa busara na hekima vimekupiga kikumbo mno. Hali hiyo inakuvunjia heshima badala ya kukujengea in future.

Kumbuka tunavyokushauri ni kwa nia njema kabisa, unataka uone jamii yako tunaokuzunguka na kuongea juu yako ni kioo chako cha kujitazama na kujirekebisha kama umefanya visivyo, lakini ufanyavyo ni kama mtu mwenye sikio lililokufa. Jaribu kurudi kachukue somo la uongozi watakusaidia kupata falsafa gani kama kiongozi mwandamizi utumie kwenye umma badala ya hii, maana kuna wazee wenye heshima zao hawatafurahishwa na lugha hizi.

Nikupe darasa: ungeandika kama ifuatavyo ningekuona zimekaa vizuri kichwani:
"Pamoja na jitihaza zote za Chadema na kujigamba kuchukua Jimbo la Igunda imewawia vigumu kwa vile CCM ina mizizi. Hata hivyo tunawapongeza Chadema kwa changamoto waliyotupa na tumejifunza udhaifu wetu namna gani ya kukabiliana nao. Hivyo ushindi wetu kwa kuchukua kata nyingi ni kielelezo cha kukubalika bado kwa chama chetu huko Igunga."

Hii ningekuona kama kichwani umetulia, lakini uliyoongea ni sawa na wale jamaa baada ya kukolea hukenua midomo na kutikisa mabega huku mwili ukiwasisimua kwa awamu kwa vile wamekuwa stimulated by something, you know what I mean? Aka under influence!
 

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
61,275
124,798
MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini
Magwanda kama hili:

attachment.php
 

Attachments

  • 267301_190972474296001_187249878001594_517085_7258690_n.jpg
    267301_190972474296001_187249878001594_517085_7258690_n.jpg
    19.4 KB · Views: 607
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom