Mtatiro: CHADEMA wameanza kuiga mbinu chafu za CCM za kuhonga wapiga kura

takeurabu

JF-Expert Member
Jul 23, 2011
255
38
Mananeo haya yamesemwa na Naibu Katibu mkuu CUF-Tanzania bara, ndugu Julius Mtatiro wakati akihojiwa na TBC1 kwenye viwanja vya halmashauri ya Igunga mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa mbunge katika jimbo hilo ambapo mgombea wa CCM alitangazwa kuwa mshindi!

wana chadema je mna utetezi wowote kuhusu tuhuma hizo?
 
Babuu blessed

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
1,363
488
Ajaona mashehe waliotangaza watu wainyime kura cdm,maskini weeh mtatiro akajua kafu watakuwa na kura nyingi ya cdm ,mfa maji huyo anatapatapa
 
Mbavu mbili

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
1,446
861
too late kwa xaxa..Wabongo hawadanganyiki...
Afu huyo jamaa ni mnafiki xana so hapaswi kuhamia chadema hata cku 1...ataishia tu kwenye majukwaa
Wapi Mashehe na redio yao???
 
NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,668
362
Huyu kazidiwa na Nyg za kina Nchemba...

Awe tu muwazi kusema wameshindwa kukisimamia chama na matokeo yake kinapotea kwenye ramani...kaka zungumzia kujipanga sio kuzungumzia chama ambacho kila siku kinakuvua nguo kwa kuonesha kushuka kwako kuaminiwa na wananchi......wapi mtaji wenu wa 11,000/=? Je wote wamehongwa na CCM? Loossseeeeerrr!!!
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,518
6,092
hahaaa bange ni mmea mbaya sana kwa matumizi ya wanadamu
 
only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,524
Mananeo haya yamesemwa na Naibu Katibu mkuu CUF-Tanzania bara, ndugu Julius Mtatiro wakati akihojiwa na TBC1 kwenye viwanja vya halmashauri ya Igunga mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa mbunge katika jimbo hilo ambapo mgombea wa CCM alitangazwa kuwa mshindi!

wana chadema je mna utetezi wowote kuhusu tuhuma hizo?

Muacheni atulie kidogo wakuu..mtaji wao wa kura 10 elfu umeyeyuka,kuungwa mkono na mashehe akujasaidia unadhani kwanini asichanganyikiwe? Mpeni muda atakanusha mwenyewe...Msameheni bure wana-CDM...
 
Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,126
6,964
mwehu huyu. Bangi alizovuta UDSM zitamuisha baada ya miaka 19
 
Daffi Jr

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
3,825
905
Great looser CUF aka CCM B!Nahisi mliwapatia kura zenu ili wasije kuwaletea tifu ndani ya nyumba maana mmefunga ndoa ya mkeka!Bravo cdm!you paved the way!excellent
 
Mwita Maranya

JF-Expert Member
Jul 1, 2008
10,565
7,944
Mananeo haya yamesemwa na Naibu Katibu mkuu CUF-Tanzania bara, ndugu Julius Mtatiro wakati akihojiwa na TBC1 kwenye viwanja vya halmashauri ya Igunga mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa mbunge katika jimbo hilo ambapo mgombea wa CCM alitangazwa kuwa mshindi!

wana chadema je mna utetezi wowote kuhusu tuhuma hizo?

Anaweweseka huyo baada ya kupokea kipondo cha uhakika.

Kampeni zao zilijaa mashambulizi dhidi ya chadema. Matokeo yametangazwa wakiwa wameshindwa vibaya bado amlia na chadema.

Hiyo ni kudhihirisha wazi kwamba cuf ni ccm-b, ndio maana anatumia muda wake vizuri kuipakazia chadema huku akijiepusha kuigusa ccm-a.
 
Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,654
6,360
hana jipya,walidai ushindani ni kati ya cuf na ccm eti CHADEMA hakina nguvu igunga,sasa wameambulia pua,walichofanya ni kuwatia aibu mawakala wao kwa zero zero nyingi kwenye vituo.
 
Josh Michael

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
2,523
74
Alishaanza siku nyingi kuwa na akili kama hiyo toka wakati yupo UDSM hivyo sioni ajabu kusikia maneno kama hayo juu ya CHADEMA ukweli anaujua yeye mwenyewe then badala ya kusema CCM anasema CHADEMA
 
Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Jul 20, 2010
4,517
1,398
Muacheni atulie kidogo wakuu..mtaji wao wa kura 10 elfu umeyeyuka,kuungwa mkono na mashehe akujasaidia unadhani kwanini asichanganyikiwe? Mpeni muda atakanusha mwenyewe...Msameheni bure wana-CDM...
Na bila kusahau alisema Chadema wamekwenda Igunga kugawa kura za Kafu hivyo chadema wataambulia kuwa mshindi wa tatu!
 
Ciril

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
8,570
7,148
Mfa maji huyo haachi kutapatapa,anataka kufa na Chadema nini!!,Kama anao ushahidi Wa hicho anachokiongea si angeupeleka ktk tume ya Taifa ya Uchaguzi!!!Maneno mengi bila vitendo ni bure.VIVA CHADEMA,people's powerrrr!!!.
 
ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,751
6,519
Mananeo haya yamesemwa na Naibu Katibu mkuu CUF-Tanzania bara, ndugu Julius Mtatiro wakati akihojiwa na TBC1 kwenye viwanja vya halmashauri ya Igunga mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa mbunge katika jimbo hilo ambapo mgombea wa CCM alitangazwa kuwa mshindi!

wana chadema je mna utetezi wowote kuhusu tuhuma hizo?

anatumia majini kuongea, na siku zote majini siyo mazuri hata kidogo. tumsamehe tu
 
Mkenazi

Senior Member
Apr 11, 2011
124
43
Mananeo haya yamesemwa na Naibu Katibu mkuu CUF-Tanzania bara, ndugu Julius Mtatiro wakati akihojiwa na TBC1 kwenye viwanja vya halmashauri ya Igunga mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa mbunge katika jimbo hilo ambapo mgombea wa CCM alitangazwa kuwa mshindi!

wana chadema je mna utetezi wowote kuhusu tuhuma hizo?

Mtaji wa kura 11000 na udini haukusaidia?. Si kura zao waliwapa CCM A ili kwa CCM A kupata ubunge naye atakuwa amepata? yaani CCM B (CUF). Namshauri aende akasherehekee ushindi na wabia wake.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom