Matokeo ya Uchaguzi Igunga: Radio One

Status
Not open for further replies.

Hossam

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
3,525
2,140
Wanajamvi!!

Matokeo ya uchaguzi yataanza kutolewa na tume kuanzia saa nane. Hii ni ajabu sana.

Source: Radion One 10:53 AM.
 
Hiyo ndio Serikali yetu mbovu ilivyokuwa mbaya zaidi,sababu kuu inayofanya wasitangaze matokeo mapema ni uchakachuaji tu.
 
zittokabwe:Mabomu yanapigwa. Hali mbaya sana zittokabwe:Duh yanapigwa mabomu kila mtu hoi machozi tu. Tumo hapa kambini kwetu Planetel Hotel ni machozi tu
 
Stop Texts Tweets Favs Msgs About zittokabwe Duh yanapigwa mabomu kila mtu hoi machozi tu. Tumo hapa
kambini kwetu Planetel Hotel ni
machozi tu zittokabwe Mabomu yanapigwa. Hali mbaya sana zittokabwe @shurufu irregularities nyingi sana zittokabwe @Mwanakili90 kuna vurugu zatokea. zittokabwe @chiefezra our count gives us 45% and ccm 49%.
Irregularities are mountanious
 
tuwe na subira, nimeshindwa kuendelea na kazi nyingine kwa kufuatilia hili suala
 
Hivi hayo matokeo wanajumlisha kwa vidole au?????!!!!!

Hahaaaa, mkuu umenikumbusha enzi za vidole plus vifuniko vya chupa za soda vilivyofungwa shingoni....bila shaka ndiyo tally system ya NEC
 
Mm nashauri sisi wana jf walio weleji wa Tecknolojia tujaribu kutengeneza system ambayo itaweza kusaidia Nec Kwenye kuwaisha matokeo,ili kuepuka uchakachuaji,maana kuchelewesha hvyi hata mtu akishinda au kushindwa huwa anaamini kuwa haki haijatendeka,tunazidiwa na hata zambia jamani hii ni aibu kubwa.
 
Kuna taarifa zingine mbona zinapotea gafla, na hatuwezi kucomment humu JF, kulikoni JF.
 
Kwa utaratibu wa zoezi la kuhesabu kura, kimsingi wanachokifanya tume ya uchaguzi ni kutimiza wajibu tu kwa kuwa hawawezi kuja na matokeo tofauti na yale ambayo tayari vyama vya siasa vilivyoshiriki uchaguzi huo wanayo kupitia mawakala wao.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom