Sitta na Kapuya wako wapi Igunga?

Oct 2, 2011
7
0
Napata shida kidogo kuelewa kama chama cha mapinduzi katika kampeni zake hazikuwatumia hawa wabunge wawili kwenye kampeni zake na baadala yake wametumika kina Kina Magufuli na wengine, hao jamaa wamefikia katika level kubwa ya vyeo vya hali ya juu katika serikali ya Tanzania nilitegemea wngelikuwa mstari mbele kumnadi mgombea wao, tuseme kwamba hawana uwezo wakujinadi kwenye majukwaa rahasha sihivyo, inazekanaje majimboni kwao wamedumu kwa muda mrefu au wanachaguliwa kwa mazoea , au wanachanguliwa kwa kukosa wapinzani wa kweli? au ndo polisi alikozaliwa huwa hana sifa? lakini mcheza kwao hutuzwa!! Badala yake namuona mzee Rage ambaye anajaribu kuonyesha ubabe wa bastora bila kuwa na sera? Mkoa wa Tabora ndo waasisi wengi wa nchi hii wametokea hapo, au ndo kusema hawa watu walisha wazoea wakaamua kuchukua majeshi ya kukodi?
Hivyo Tabora na wanatabora wanahitaji washikamane waachane na mambo ya kuenziana wamekaria uchifu na utemi badilikeni.Tunahitaji viongozi wenye mawazo chanya na nchi hii na siyo wakuenziana.Sitta na Kapuya na chelea kuwaomba wachane na siasa wawe kama kina mzindakaya wasitafu kwa heshima wasitake kusitafu kwa aibu bila kupenda.
 

twahil

JF-Expert Member
May 31, 2011
4,100
2,792
Acheni kukariri.ccm haiwezi kutumia watu walewale wakati kuna vijana wanaweza kutoa dozi ya uhakika kwa wapinzani.jamani mnamfahamu mwigulu mchemba?.dah nasikia kupitia radio one mbowe na slaa waliondoka tangu jana igunga,baada ya kuditect kipigo.hawajashirikishwa we yakuuma nini?,yaani pilipili usiokula yakuwashia nini?
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom