Ilikuwa ni Chadema Vs Serikali, CCM, CUF na Bakwata - Hongera CDM kwa matokeo yoyote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ilikuwa ni Chadema Vs Serikali, CCM, CUF na Bakwata - Hongera CDM kwa matokeo yoyote

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by figganigga, Oct 3, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  hakika viongozi na wanachama wa chadema mnaonyesha dhamira ya dhati ya kulikomboa taifa letu.
  hii imedhihilika katika jimbo la Igunga ambapo chadema wamefanya kampeni chini ya mwezi mmoja na kuweza kufungua matawi kadhaa na kupata kula za kurizisha ukilinganisha na vyama vingine vya upinzani hata ccm iliyokaa madarakani mika karibia 40.kwa kura zilizopatikana Igunga ni ishara tosha kwamba chadema ndiyo chama mbadala.
  UKOMBOZI WA TANZANIA UMEFIKA.mia
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kwa kweli Makamanda wetu mmejitahidi sana huko Igunga, na hata Magamba hawatabisha kwamba hawakulala hawakula na pressure zinazidi kuwapanda kwa kazi mlioifanya na manayoendelea kuifanya.

  Serikali ilihamia huko ikiwakilishwa na mawaziri kutaja wachache Magufuli na Wassira hawa wakiendesha mapambano dhidi ya Chadema, CCM wakiwa na wabunge wao kadhaa na makada lukuki akiwemo Mangula, Mkapa, Mukama nk, nao walikuwa wakipambana na Chadema, Bakwata nao wakaingia ulingoni kuendesha kampeni dhidi ya chadema, lakini bila kuwasahau CUF.

  Mpaka sasa idadi ya kura walizopata chadema, tena katika eneo ambalo lilikuwa ngome ya magamba, ni dhahiri kwamba chama kinakubalika. Makamanda msikate tamaa, najua vita ni nzito, kushindana na wote hawa si kazi rahisi, lakini kazi yenu inaonekana.

  Ninajua tutakapokuwa na tume huru ya uchaguzi na katiba mpya ambayo haitaruhusu vikundi vya dini au viongozi wa kiserikali kuchukua upande katika uchaguzi, magamba watang'oka kiulaini kabisa.

  Peopleee powerrrrrrrr!!!
   
 3. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  True that! " VIVA CDM VIVA TANGANYIKA aluta continua"
   
 4. 1

  1954 JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2011
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 4,284
  Likes Received: 2,177
  Trophy Points: 280
  Ukweli ni kuwa CHADEMA IMESHINDWA HUKO igunga. Sasa wameaqnza fujo lakini wakazimwa. Fujo zimeanzishwa na wana-CHADEMA waliokwenda huko Igunga wakitokea Musoma, Mwanza na Arusha.
   
 5. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Pamoja mapambano yanasonga mbele
   
 6. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  acha kupanic, kwenye hii thread hakuna anaeuliza nani kaanzisha fujo, nenda kwenye uzi husika.
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,497
  Likes Received: 81,829
  Trophy Points: 280
  umesahau kuweka na vyombo vyote vya dola na tume ya uchaguzi ya CCM.
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  tume mpyaa katiba mpyaaa ccm hamna ujanja tutawafanyia cha zambia 2015 si mbali tutawapiga chini tu wala msitambe kushinda igunga
   
 9. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Asante kwa kunikumbusha mkuu.
   
 10. A

  Akiri JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  usikurupuke kujibu kitu ambacho hujakielewa,
   
 11. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tulishatoka huko, we kaza ndura mwendo bado!
   
 12. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  maneno yakujifariji hayo, kushindwa ni kushindwa tu. Butwaa walilolipata CDM hawaamini wote kimyaaaa ukiwamo na ww. CCM ina jeshi kubwa ilimpeleka Mkapa tu imewasambaratisha. Hapo ndipo utajua hawa jamaa wana hazina ya viongozi na wenye kujua nn chakufanya. Pole sana kanywe supu ulale tu
   
 13. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bila ushabiki kiwango cha kura za chadema huko igunga na kwenye chaguzi za madiwani zilizofanyika jana ni dalili njema kwao.

  Cha msingi wanatakiwa kuongoza nguvu zaidi kuimarisha chama chao.

  Pia ni muhimu sana kuhakikisha wanachama na wapenzi wao wanajiandikisha kwenye daftari la wapiga kura mara tu tume ya uchaguzi itakapotoa nafasi hiyo. Na hii ni muhimu zaidi hata kuliko kafanya kampeni wakati wa uchaguzi tu. Kwani kama chama kitakuwa na uhakika kuwa wanachama na wapenzi wake wamejiandikisha kazi kwenye kampeni itakuwa kuwakumbusha kwenda kupiga kura na kuwashawishi wale ambao wanaelekea kuunga mkono vyama vingi.
   
 14. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Watu mnaota vibaya, kujenga nyumba angani !
   
 15. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ccm wanajua hilo
   
 16. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #16
  Oct 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Una mawazo mazuri ila sasa unao waambia hayo hawasikii hivi sasa wote wanaumwa ! KUSHINDWA KUBAYA SANA
   
 17. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #17
  Oct 3, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Safi sana CDM, kazi kubwa mmefanya. hizo ni dalili tosha kwamba 2015 nyota ni ya kwenu.
   
 18. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wameshinda wataachaje kujua sasa ? wako saa hizi wanasheherekea kwa kukisambaratisha kikosi chote cha Magwanda !
   
 19. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Unajua hata uwepo wa ccm madarakani kwa sasa ni kwa kuwa kuna wachache sana ambao hawafikiri kama wewe, infact wana akili kidoooooooooooooooogo kuliko wewe GeniusBrain. Kwa jinsi muda unavyokwenda wote watabakia kuwa kama wewe.
   
 20. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Sikutegemea na ww utakuwa mpole hivi, CCM Nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa !
   
Loading...