Please! Please! Please CHADEMA nawaomba mkubali matokeo Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Please! Please! Please CHADEMA nawaomba mkubali matokeo Igunga

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Naipendatz, Sep 28, 2011.

 1. N

  Naipendatz JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 914
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 80
  Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.
   
 2. pinochet

  pinochet JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Umetumwa eeeh! Tuliza masaburi kama yanakuwasha yakune.
   
 3. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nasikia harufu ya masaburi saburi!!
   
 4. N

  Naipendatz JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 914
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 80
  Nawaomba mkubali matokeo cdm! Visingizio vyenu vya kitoto watz wapenda amani tumevichoka
   
 5. twahil

  twahil JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 3,590
  Likes Received: 1,971
  Trophy Points: 280
  Wanataka kutujengea mawazo kwamba watashinda ila ccm itaiba kura.wamesoma alama za nyakat nakuona tar 2 wanatoka patupu hivyo waanzishe agenda ya kukataa matokeo.magwanda hatuwataki hata kidogo unaunyanyasaji wa kijinsia.
   
 6. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mwambie aliyekutuma kuwa, huo mpango wake wa kuiba kura utamgharimu yeye na ukoo wake. Dhuluma hii siyo nzuri anaweka laana kwenye ukoo wake na kizazi chake.
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,529
  Trophy Points: 280
  na lazima kitaeleweka mmezoea kuiba kura, ibeni na hapa igunga tuone, ni lazima pachimbike msijeleta huo wizi wenu hapa.
   
 8. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Bangi mbaya sana,hivi umevuta ya Malawi?
   
 9. N

  Naipendatz JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 914
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 80
  Acheni visingizio vya kitoto!! Kwanza cdm hawatapata kura ya muislamu hata 1,wanazuoni wa kiislamu wameshatamka
   
 10. N

  Naipendatz JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 914
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 80
  Cdm ndio chama cha wavuta bange
   
 11. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kwa nini mtanzania usivite bangi za tanzania kama ile ya tarime au mererani, hizi za nje ni mbaya sana matokeo yake ni haya unaandika upuuuz.
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Childish!
   
 13. N

  Naipendatz JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 914
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 80
  Usivite ndo nini?? Akili za cdm hizo
   
 14. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Mwerevu kwa kichaa ni kichaa...! Halafu unadai kuipenda Tanzania ....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 15. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Vp na nyie mkishindwa mtakubali matokeo au ndo mtaenda mahakani kama akina Hawa Ng'humbi na Batilda??
   
 16. N

  Naipendatz JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 914
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 80
  Vyama vyote tz hukubali matokeo,isipokuwa cdm tu
   
 17. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Ushakula ubwabwa wa maharage???
   
 18. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  utoto unasumbua
   
 19. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #19
  Sep 28, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Hivi we unayejiita naipendatz hivi zinakutosha kweli?
   
 20. N

  Naipendatz JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 914
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 80
  Excuses ni mbaya sana! Mtu ambaye kila anaposhindwa basi ana kisingizio huwa hafanikiwi
   
Loading...