Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 724
Taarifa ya habari ya ITV leo jioni imeonyesha ukatili mkubwa unaofanywa na polisi kwa raia pale walipowaonyesha askari wa kutuliza ghasia wakiwa zaidi ya wanane wakimdhibiti mwanamke aliyekuwa hana hata silaha ikiwemo kumbeba na kumtupia kwenye gari kama kiroba,kama hiyo haitoshi wakaonyesha askari wakimdhibiti mzee aliyekuwa miongoni mwa wastaaafu wa jumuiya ya Afrika Mashariki walioandamana kufuatia kutolipwa mafao yao.
jamani polisi na nyie ni watanzania mnatuumiza sana.
jamani polisi na nyie ni watanzania mnatuumiza sana.