Pro-CHADEMA wengi ni mbumbumbu wa siasa?..Let me Teach you once for all-freely

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
15,169
10,785
Siku moja nilikuwa nahubiri injili ya nyumba kwa nyumba. Nikakutana na bwana mmoja ambaye baada ya kumweleza habari za yeye kumpokea Masihi, nika-m-alert kuwa kuna jehunum ya moto! Akashtuka kidogo na baadaye akasema kwa dharau..it is OKEY nitachomwa kwa miezi kadhaa na baadaye nitazoea MOTO!!! He left and I loosed! My purpose was never accomplished!

Moyo wa binadamu una kiburi sana, inahitaji nguvu ya tofauti kuweza kugeuza imani ya mtu na mwelekeo wa mtu, wengi mmejionea jinsi ilivyo ngumu kumbadilisha mvuta sigara, is equally difficult to convince drunkard to stop drinking!

It is even difficult kumbadilisha FISADI akaacha kuiba, haihitaji matusi wala kejeli;you will never ever, never never win them;kitakachoendelea ni matusi na LENGO la kumbadilisha au ku-mconvert huyu mtu awe upande wako halitatimia!!!!

I tried to share this thought kwani pro-chadema wengi humu JF wanatia aibu na unaweza kuwahurumia kwa jinsi wanavyoweza kujipanga na kwa matusi na kejeli

I was expecting to hear Lole Gwakisa is converting to Chadema, I am eager to see W.C. Malecela is saying chadema is my home;.I am not stopping INJILI YA MAGEUZI ikiwaingia wana CCMsi ajabu kuona Nape anasema naenda CHADEMA;home

But that will never happen, you can not win someone's heart by attack, abuse and degradation etc. eventually both sides are equally self-righteous and judgmental

Msome huyu mrembo uone experience yake kwenye issue za politics uproar!

Here is an excerpt for you to read!
We're at a turning point. We claim we want civility. But let's be honest; what we really want is for the other side to shut up.

They're not going to change until we do. They're not going to start thinking bigger until we start thinking bigger.

I got to hear their unfiltered assessment of "those people." You know, "those people" who don't share our values, who don't care about our country, or families or schools or God the same way we do.

It broke my heart, because I knew that their values were more alike than they were different.

I also knew there had to be a better way.

I spent the next five years studying the world's greatest problem solvers, people like Albert Einstein, Thomas Jefferson and John Adams. I dissected conflict after conflict to identify which behaviors enabled people to solve their problems and which behaviors kept them stuck.

The result: The Triangle of Truth – a problem-solving model to rise above either/or thinking.

Based on the best practices of the world's greatest thinkers, The Triangle of Truth is rooted in 7 core principles:
1. Embrace AND
2. Make peace with ambiguity
3. Hold space for other perspectives
4. Seek higher ground
5. Discern intent
6. Elevate others
7. Be the peace

The "I'm right so you must be wrong" paradigm isn't working. It never did, and it never will.

There's a critical turning point inside every conflict when the two parties either attack each other, or they attack the problem. These 7 best practices of The Triangle of Truth keep the focus on the problem.

Lisa Earle McLeod-article city; 7 Ways We The People Can Restore Civility

Go back to the title it is certainly disqualifying me what I have just taught you!!!! take it or leave it.....oh! focus on the problem, at least start to practise now, will be grading you!

I am not preacher anyway!
 
siku moja nilikuwa nahubiri injili ya nyumba kwa nyumba. Nikakutana na bwana mmoja ambaye baada ya kumweleza habari za yeye kumpokea masihi, nika-m-alert kuwa kuna jehunum ya moto! Akashtuka kidogo na baadaye akasema kwa dharau..it is okey nitachomwa kwa miezi kadhaa na baadaye nitazoea moto!!! He left and i loosed! My purpose was never accomplished!

moyo wa binadamu una kiburi sana, inahitaji nguvu ya tofauti kuweza kugeuza imani ya mtu na mwelekeo wa mtu, wengi mmejionea jinsi ilivyo ngumu kumbadilisha mvuta sigara, is equally difficult to convince drunkard to stop drinking!

it is even difficult kumbadilisha fisadi akaacha kuiba, haihitaji matusi wala kejeli…you will never ever, never never win them…kitakachoendelea ni matusi na lengo la kumbadilisha au ku-mconvert huyu mtu awe upande wako halitatimia!!!!

i tried to share this thought kwani pro-chadema wengi humu jf wanatia aibu na unaweza kuwahurumia kwa jinsi wanavyoweza kujipanga na kwa matusi na kejeli

i was expecting to hear lole gwakisa is converting to chadema, i am eager to see w.c. Malecela is saying chadema is my home….i am not stopping injili ya mageuzi ikiwaingia wana ccmsi ajabu kuona nape anasema naenda chadema…home

but that will never happen, you can not win someone's heart by attack, abuse and degradation etc. Eventually both sides are equally self-righteous and judgmental

mbumbumbu
 
Kitu kimoja nachokichukia kuhusu CCM na supporters wake ni kwamba wao bado wana ule mtizamo wa chama kushika hatamu. Hebu fikiria mtu anayejiita Engineer bado ana mawazo finyu namna hii, hata hatambui mazingira yanayomzunguka, umaskini uliokithiri, ukosefu wa ajira, wizi wa mali za umma.

Bado mtu anaona kuwa mwanachama wa chama kingine ni umbumbumbu! Nadhani elimu yake bado haijamkomboa, na bado mfumo wa chama kimoja umemuathiri ufikiri wake! Nadhani kingine huyu engineer ni mfaidika mkubwa wa mfumo wa sasa, ndio maana anatushangaa sisi wenye uchungu na maendeleo ya hii nchi tunawapigia makelele katika ufalme wao.

Engineer, jaribu kusoma alama za nyakati, usiwe mbumbumbu wa mawazo namna hii. Unaishi karne ya ngapi, bwana engineer?
 
Kuna mtu aliwahi kusema, ukiona mtu anapenda au kushabikia CCM basi kuna moja kati ya haya:-
  1. Mbumbumbu
  2. Anafaidika moja kwa moja na mfumo fisadi (Waziri, Mbunge "posho", n.k.)
  3. Anafaidika na ufisadi wa CCM (Wafanyabiashara wasiolipa kodi, majambazi n.k.)
  4. Mwajiliwa CCM (e.g. Nape, Violet Mzindikaya etc)
  5. Mlinzi au mfanyakazi wa Tawi la CCM wanakoegesha magari
 
kitu kimoja nachokichukia kuhusu CCM na supporters wake ni kwamba wao bado wana ule mtizamo wa CHAMA KUSHIKA HATAMU. hebu fikiria mtu anayejiita Engineer bado ana mawazo finyu namna hiii, hata hatambui mazingira yanayomzunguka, umaskini uliokithiri ukosefu wa ajira, wizi wa mali za umma, bado mtu anaona kuwa mwanachama wa chama kingine ni UMBUMBUMBU! nadhani elimu yake bado haijamkomboa, na bado mfumo wa chama kimoja umemuathiri ufikiri wake! na nadhani kingine huyu engineer ni mfaidika mkubwa wa mfumo wa sasa ndo maana anatushangaa sisi wenye uchungu na maendeleo ya hii nchi tunawapigia makelele katika ufalme wao. Engineer jaribu kusoma alama za nyakati, usiwe MBUMBUMBU wa mawazo namna hii, unaishi karne ya ngapi bwana engineer?

failed!
 
Kuna mtu aliwahi kusema, ukiona mtu anapenda au kushabikia CCM basi kuna moja kati ya haya:-
  1. Mbumbumbu
  2. Anafaidika moja kwa moja na mfumo fisadi (Waziri, Mbunge "posho", n.k.)
  3. Anafaidika na ufisadi wa CCM (Wafanyabiashara wasiolipa kodi, majambazi n.k.)
  4. Mwajiliwa CCM (e.g. Nape, Violet Mzindikaya etc)
  5. Mlinzi au mfanyakazi wa Tawi la CCM wanakoegesha magari

failed
 
kaka siasa sio dini. hukumu ya siasa ni moto wa hapa hapa duniani. Ndio maana kuna mahakama na kuna mpaka adhabu za kifo. Usitegemee wezi wa kisiasa wakapenda CDM huku wakijua kabisa wakiingia mjengoni wao wanakwenda keko. usitegemee kumbadili mtoto ambaye baba yake ameiibia nchi na pale CDM wanapowahubiria kuwafikisha mbele ya sheria wote waliibia nchi.

Lazima mwizi na anayetetea wezi aonyeshwe wazi kitendo anachokifanya au anachotetea hakipendezi jamii. Wananchi wana mateso hawana lugha rahisi ya kusema, viongozi na familia zao wameweka pamaba masikio. hata Mungu alipoona binadamu hamsikii kwenye gomora na sodoma aliwachoma moto. Na wakati mwingine aliwaangamiza kwa maji.

Sasa kwa waliotuibia hatuna amani nao, wao ni wezi wajue tuna hasira nao. Tumebembelezana miaka 50, wezi na mafisadi hawakuwa tayari kusikia. Na hawapo tayari kusiki. Uhuru wa kiuchumi na kisiasa haujawahi kupatikana kwa kubembelezana, watu walikufa na wengi waliteseka. Mwenye kula hawawezi kubali kuachia chakula kirahisi, lazima uongeze nguvu. Naam sipendi matusi naam sipendi kuzazalisha mtu. Ila wananchi wanatukanwa kila siku na watawala bila huruma. wanatemewa, mate, wanakanywagwa na sasa wanauwawa ndani ya ardhi yao kwa kisingizio cha uwekezaji ( North mara) maji yale ya sumu yanauwa kizazi hiki na kuzalisha kansa kibao kwa vizazi kadhaa. Lugha gani itakuwa rahisi kwao?? Siasa sio dini na haiwezi kuwa dini.
 
Excellent tuko pamoja. Ila hujaweza kuwafanya lolote, tufanyeje ndugu? tututukane? basi, tuwavute baadhi yao waje chadema halafu tukiingia ikulu tuwashtaki? is not this the ultimate goal?
 
You are very right my mate member hivi ndivyo hawa jamaa walivyo inatuwia vigumu hata sisi tunaopenda mageuzi kujoin nao kwani utaonakana na wewe ndio wale wale.
 
You are the first silly engineer if you are one who may be idle and a street mover who can't sit and practice knowledge, and instead, go to prophesy messiah in the streets. Remember, knowledge is what rests in one's brain after acquiring it. If this way you have remained with nothing but ideas, you are good for nothing. If you are asleep to what is going on, it seems you are a good literate illiterate engineer. We shall never be in your silly net. Good time in dreams!
 
Well said Mkuu, hawa jamaa wanapenda kusifiwa na kujidaganya eti ipo siku watachukua nchi. Stori za kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa kwao ndiyo burudani. Haishangazi hii thread haitachukua muda mrefu kabla ya kutupwa kapuni. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Naona mko busy kucheza ngoma ya CDM kwa nguvu zote mpaka mapovu yanawatoka!! Hampati usingizi kila siku nightmares za CDM na Slaa zinawakaba!! Na bado...endeleeni na mwendo huo huo hadi 2015 ili unabii wa anguko kuu la CCM utimie!!

Sasa mmeanza kushambulia wana JF...kwamba yoyote asiyeunga mkono magamba ni CHADEMA!! Eti pro-CDM humu jamvini ni mbumbumbu!! Ha ha haaa!!! Mbombo ngafu!!

Hizi zote ni dalili za mtu anayetaka kukata roho...RIP CCM!!
 
Back
Top Bottom