Kukubali kushindwa!

  • Thread starter Jidulamabambase
  • Start date

Jidulamabambase

Jidulamabambase

Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
31
Likes
0
Points
0
Jidulamabambase

Jidulamabambase

Member
Joined Nov 28, 2010
31 0 0
Ni lazima mtu akubali kushindwa na au akubali kushinda!

Ikiwa CHADEMA wanakubali kushindwa, zifuatazo ndio sababu?

1 Sera za CHADEMA hazieleweki?
2 Watanzania hawana uelewa wa kutosha wa mfumo wa vyama vingi?
3 Ugumu wa maisha kwa wananchi ni propoganda za CHADEMA?
4 Wananchi wa igunga hawana maisha magumu na hawaamini matatizo yao yanachangiwa na utawala mbaya wa CCM?
5 CCM imefanikiwa kuichafua CHADEMA hadi kutokuchukua jimbo hilo?
6 Udini unaopandikizwa na viongozi wa juu na taasisi za kiisilamu kuichukia CHADEMA umefanikiwa?
7 CUF wamefanikiwa kuipunguzia kura CHADEMA kwa kuwachafua?
8 Rushwa ya pesa, chakula na kampeni ya nguvu iliyofanywa na CCM imefanikiwa?
9 CHADEMA kutokuwa na office kuanzia ngazi ya vijiji imewaponza?
10 Wananchi kuchagua CHADEMA, CUF au CCM hawategemei mabadiliko yoyote?
11 Propoganda ya ukichagua upinzani utaleta vita bado inaishi?
12 Elimu ya uraia haijawafikia watu wengi hasa vijijini?

Ikiwa CCM wameshinda hii ina maanisha kwamba:-
1 Sera zao bado zinakubarika?
2 Igunga hakuna shida sana tangu miaka 50 ya uhuru sasa?
3 Hoja ya ufisadi inayopigiwa kelele na CHADEMA sio hoja tena?
4 CCM imefanikiwa kutoa rushwa na wanchi wengi wamerubuniwa kwa mtaji wa pesa?
5 CCM waendelee kuvuana magamba kwa kuwa hawatapoteza jimbo uchaguzi ukiitishwa?
6 Vijana wanaopenda mageuzi hawakupiga kura kwa kuwa hawana vitambulisho vya wapiga kura?
7 CCM ina wapiganaji wenye uwezo wa kushawishi wapiga kura?
8 Wananchi wataendelea kuichagua CCM kwa kuwa kimtazamo wananchi wanazani jeshi, miundombinu mashule na kila kitu ni mali ya CCM na wapinzani hawafai kwa kuwa hawana mashule na hospitals?
9 Mtaji wa CCM ni uelewa mdogo wa wanachi juu ya uraia?
10 Wapinzani hawajajipanga vizuri kuchukua dora na ushirikiano miongoni mwa vyama pinzani?
11 CCM wamefanikiwa kutumia karata ya udini, Tindikali na Hijab pale Igunga?
12 kaulimbinu ya kujivua gamba bado ni mtaji kwa CCM?
13 Kutokuwa na katiba mpya na tume huru ya uchaguzi utaiweka CCM katika nafasi nzuri wakati wote.

Tusaidiane!
 
Sizinga

Sizinga

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2007
Messages
8,167
Likes
773
Points
280
Sizinga

Sizinga

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2007
8,167 773 280
Hembu kamata hii naona una njaa kali...!!

rc78td.jpg
 
GeniusBrain

GeniusBrain

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
4,321
Likes
20
Points
135
GeniusBrain

GeniusBrain

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
4,321 20 135
Ni lazima mtu akubali kushindwa na au akubali kushinda!

Ikiwa CHADEMA wanakubali kushindwa, zifuatazo ndio sababu?

1 Sera za CHADEMA hazieleweki?
2 Watanzania hawana uelewa wa kutosha wa mfumo wa vyama vingi?
3 Ugumu wa maisha kwa wananchi ni propoganda za CHADEMA?
4 Wananchi wa igunga hawana maisha magumu na hawaamini matatizo yao yanachangiwa na utawala mbaya wa CCM?
5 CCM imefanikiwa kuichafua CHADEMA hadi kutokuchukua jimbo hilo?
6 Udini unaopandikizwa na viongozi wa juu na taasisi za kiisilamu kuichukia CHADEMA umefanikiwa?
7 CUF wamefanikiwa kuipunguzia kura CHADEMA kwa kuwachafua?
8 Rushwa ya pesa, chakula na kampeni ya nguvu iliyofanywa na CCM imefanikiwa?
9 CHADEMA kutokuwa na office kuanzia ngazi ya vijiji imewaponza?
10 Wananchi kuchagua CHADEMA, CUF au CCM hawategemei mabadiliko yoyote?
11 Propoganda ya ukichagua upinzani utaleta vita bado inaishi?
12 Elimu ya uraia haijawafikia watu wengi hasa vijijini?

Ikiwa CCM wameshinda hii ina maanisha kwamba:-
1 Sera zao bado zinakubarika?
2 Igunga hakuna shida sana tangu miaka 50 ya uhuru sasa?
3 Hoja ya ufisadi inayopigiwa kelele na CHADEMA sio hoja tena?
4 CCM imefanikiwa kutoa rushwa na wanchi wengi wamerubuniwa kwa mtaji wa pesa?
5 CCM waendelee kuvuana magamba kwa kuwa hawatapoteza jimbo uchaguzi ukiitishwa?
6 Vijana wanaopenda mageuzi hawakupiga kura kwa kuwa hawana vitambulisho vya wapiga kura?
7 CCM ina wapiganaji wenye uwezo wa kushawishi wapiga kura?
8 Wananchi wataendelea kuichagua CCM kwa kuwa kimtazamo wananchi wanazani jeshi, miundombinu mashule na kila kitu ni mali ya CCM na wapinzani hawafai kwa kuwa hawana mashule na hospitals?
9 Mtaji wa CCM ni uelewa mdogo wa wanachi juu ya uraia?
10 Wapinzani hawajajipanga vizuri kuchukua dora na ushirikiano miongoni mwa vyama pinzani?
11 CCM wamefanikiwa kutumia karata ya udini, Tindikali na Hijab pale Igunga?
12 kaulimbinu ya kujivua gamba bado ni mtaji kwa CCM?
13 Kutokuwa na katiba mpya na tume huru ya uchaguzi utaiweka CCM katika nafasi nzuri wakati wote.

Tusaidiane!
Mkuu uchaguzi igunga umeisha kwisha watu hivi sasa wanaongelea masuala mengine ! CDM wameisha kubali bora yaishe silaha za igunga zilikuwa kali sana kwao
 
Naibili

Naibili

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Messages
1,678
Likes
32
Points
145
Naibili

Naibili

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2011
1,678 32 145
Mkuu uchaguzi igunga umeisha kwisha watu hivi sasa wanaongelea masuala mengine ! CDM wameisha kubali bora yaishe silaha za igunga zilikuwa kali sana kwao
hivi uchaguzi unaisha bila matokeo kutangazwa....! hiili nalo ni la kutafakari
 
NewDawnTz

NewDawnTz

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Messages
1,675
Likes
6
Points
0
NewDawnTz

NewDawnTz

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2010
1,675 6 0
hivi uchaguzi unaisha bila matokeo kutangazwa....! hiili nalo ni la kutafakari

Usistaajabu mkuu, kwa magamba uchaguzi huisha kabla hata ya kura kupigwa.....that is magamba bana
 
WA-UKENYENGE

WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Messages
2,908
Likes
264
Points
180
WA-UKENYENGE

WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2011
2,908 264 180
Ni maswali mazuri mkuu!! Na yote yanawezekana sehemu kama hiyo. Ila kwa CCM, mbinu zao siyo kwamba ndo zitawasaidia kila uchaguzi, 2015 wategemee maajabu zaidi haswa kutoka kwa watoto wao hao wazee aka kizazi kipya.
 
Borakufa

Borakufa

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Messages
1,503
Likes
5
Points
0
Borakufa

Borakufa

JF-Expert Member
Joined May 26, 2011
1,503 5 0
Ni lazima mtu akubali kushindwa na au akubali kushinda!

Ikiwa CHADEMA wanakubali kushindwa, zifuatazo ndio sababu?

1 Sera za CHADEMA hazieleweki?
2 Watanzania hawana uelewa wa kutosha wa mfumo wa vyama vingi?
3 Ugumu wa maisha kwa wananchi ni propoganda za CHADEMA?
4 Wananchi wa igunga hawana maisha magumu na hawaamini matatizo yao yanachangiwa na utawala mbaya wa CCM?
5 CCM imefanikiwa kuichafua CHADEMA hadi kutokuchukua jimbo hilo?
6 Udini unaopandikizwa na viongozi wa juu na taasisi za kiisilamu kuichukia CHADEMA umefanikiwa?
7 CUF wamefanikiwa kuipunguzia kura CHADEMA kwa kuwachafua?
8 Rushwa ya pesa, chakula na kampeni ya nguvu iliyofanywa na CCM imefanikiwa?
9 CHADEMA kutokuwa na office kuanzia ngazi ya vijiji imewaponza?
10 Wananchi kuchagua CHADEMA, CUF au CCM hawategemei mabadiliko yoyote?
11 Propoganda ya ukichagua upinzani utaleta vita bado inaishi?
12 Elimu ya uraia haijawafikia watu wengi hasa vijijini?

Ikiwa CCM wameshinda hii ina maanisha kwamba:-
1 Sera zao bado zinakubarika?
2 Igunga hakuna shida sana tangu miaka 50 ya uhuru sasa?
3 Hoja ya ufisadi inayopigiwa kelele na CHADEMA sio hoja tena?
4 CCM imefanikiwa kutoa rushwa na wanchi wengi wamerubuniwa kwa mtaji wa pesa?
5 CCM waendelee kuvuana magamba kwa kuwa hawatapoteza jimbo uchaguzi ukiitishwa?
6 Vijana wanaopenda mageuzi hawakupiga kura kwa kuwa hawana vitambulisho vya wapiga kura?
7 CCM ina wapiganaji wenye uwezo wa kushawishi wapiga kura?
8 Wananchi wataendelea kuichagua CCM kwa kuwa kimtazamo wananchi wanazani jeshi, miundombinu mashule na kila kitu ni mali ya CCM na wapinzani hawafai kwa kuwa hawana mashule na hospitals?
9 Mtaji wa CCM ni uelewa mdogo wa wanachi juu ya uraia?
10 Wapinzani hawajajipanga vizuri kuchukua dora na ushirikiano miongoni mwa vyama pinzani?
11 CCM wamefanikiwa kutumia karata ya udini, Tindikali na Hijab pale Igunga?
12 kaulimbinu ya kujivua gamba bado ni mtaji kwa CCM?
13 Kutokuwa na katiba mpya na tume huru ya uchaguzi utaiweka CCM katika nafasi nzuri wakati wote.

Tusaidiane!
Hakuna msaada hapa mzee haswa hizo ndo sababu kama matokeao yatakuwa kati ya mojawapo ya hayo
 
P

politiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Messages
2,373
Likes
187
Points
160
P

politiki

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2010
2,373 187 160

Mkuu uchambuzi swafi sana na chadema wakiuliza maswali hayo wanaweza kufikia mahali pazuri kwa ajili ya chaguzi zijazo.
kwa maoni yangu binafsi kilichowaathiri chadema sana ni sababu namba 5 na 8 wengine wanasema namba 6 lakini hatujui hasa to what extent
kwa namba 5 yaani kwamba CCM walifanikiwa to a ceratin extent kuichafua chadema kuwa chama cha fujo na wananchi wengi especially wa vijijini wana vote for security rather than freedom or change. namba 8 ya wananchi kuongwa pesa,chakula na kadhalika inawezekana ikawa na yenyewe imechangia sana hasa ukilinganisha eneo hili lilikumbwa na balaa la njaa kwahiyo CCM ikaweza ku take advantage.

ushauri kwa chadema kuhusiana namba 5.
CCM ilifanikiwa kuwachafua kuwa nyie ni chama cha fujo kwa sababu nyie mlishindwa kujibu mapigo right away yaani mlikuwa overwehemed
mnachotakiwa kukifanya ni kutengeneza mtandao wenu mzuri wa media ilikuweza kupambana na SMEAR ATTACK kwa haraka.
 
Jidulamabambase

Jidulamabambase

Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
31
Likes
0
Points
0
Jidulamabambase

Jidulamabambase

Member
Joined Nov 28, 2010
31 0 0
Point no. 5 inanafasi kubwa katika maamuzi, nashawishika kuwa kampeni zisizo za kistaarabu zimetumika na zinaendelea kutumika, CHADEMA nilazima wajibu mapigo kwa kutoa elimu ya ukweli juu ya Udini na uelewa wa Sheria na haki za mpiga kura/haki za binadamu. Japo kimsingi CDM wamepata ushindi mkubwa sana lakini kuna kazi kubwa ya kufanya to overcome CCM kwa kuwa wanachi wakielimishwa wanaelewa. Inajidhihirisha kuwa CDM ndicho chama pekee cha upinzani chenye nguvu na mvuto TZ. Kama CCM inataka kuendelea kutawala kama inavyotaka nilazima ibadilike na iwaletee wananchi maisha bora kweli, la sivyo taa iliyowashwa Igunga ni nyekundu mnooooo! Serikali ya mseto inanukia!
 
Forum statistics

Threads 1,237,564
Members 475,562
Posts 29,293,762