Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,169
1. Wakuu hii habari ya sukari kuvushwa kwenda Kenya inasababishwa na nini?
2. Upungufu au ukosefu wa sukari nchini Kenya ni temporary?
3. Kwa nini serikali yetu isihamasishe sekta binafsi kuongeza uzalishaji sukari kwa kupanua mashamba, viwanda na miundo mbinu? Hizi si ndiyo zingekuwa ajira tunazoonyeshwa takwimu tu wkt hali halisi sivyo?
4. Ni kwa nini mpaka leo 2011 bado Tanzania haikitoshelezi kwa bidhaa hii ambayo ni very basic?
5. How come kanchi kadogo kama Malawi kanaweza kuzalisha sukari sustainably kwa watu wake na for exports kwa miaka yote hii?
My Take:
1. Inasikitisha kuona hii hali wakati Mtibwa ndiyo inajifia hivyo.
2. Mikoa kama Mbeya, Rukwa na Kagera walishaisahau sukari ya Tanzania kuanzia miaka ya 80, sasa na wao wakiwa included kwenye hii demand hali itakuwaje?
3. Kwa nini mpaka leo serikali yetu haioni kwamba hi demand ya bidhaa zetu za kilimo is a blessing, na hivyo kuweka mipango madhubuti kukuza sekta hii?
4. Hiii biashara ya sukari ya magendo hasa kutoka Zambia na Malawi ilikuwa popular sana miaka ya 80 na 90. How come mpaka leo 2011 kuna kitu kinaitwa magendo kwenye sukari?
5. Nini kinazuia sekta binafsi kujitanua katika uzalishaji wa sukari???????/