Ukaguzi wa mahesabu ya chaguzi-Katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukaguzi wa mahesabu ya chaguzi-Katiba mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bundas, Oct 3, 2011.

 1. b

  bundas Member

  #1
  Oct 3, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa jinsi ya pekee, uchaguzi mdogo wa Igunga umefichua mengi mno kuhusiana na matumizi ya pesa kwa ujumla katika kipindi cha uchaguzi! Kwa uhakika inashangaza kuona viongozi wakubwa wa nchi kwa wingi wao walivamia na kuweka kambi pale Igunga. Swali la msingi ambalo ni la kawaida katika kufuatilia matumizi linakuja, je tunaweza ku-establish namna ya kukagua mahesabu ya pesa zilizotumioka be it usafiri, ulinzi wa viongozi wetu wastaafu, malazi chakula n.k. na kutengeneza ustaarabu fulani ambao unasogelea angalau uadilifu kwa kiwango chake?
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kwa bongo hilo ni kawaida. Hawa wazee inabidi wapumzike, kama hawataki tutawapumzisha kwa nguvu. We need to run very fast, lakini wao wanatufanya tutembeee, I was expecting institute kama NEC iwe independent na kuweza kuwa responsible bila kuingiliwa kiutendeji tena ingewezeshwa kwa nguvu zote tungekuwa tunaiheshimu. Lakini haya yanamwisho mkuu.
   
 3. b

  bundas Member

  #3
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  True that! They're extremely scared kwamba nchi itakapochagua viongozi wake kiuhakika madudu yao yatafichuka, magereza yatajaa au mafisadi wengi watakuwa asylum seekers! lakini wazo moja rahisi na lenye faida kwao, wakumbuke kwamba hata Rupia Banda hakutegemea kudondoshwa but he saw it coming ndo maan hata alikubali na kua-acknowledge changes, hapa ukiwauliza kama ikitokea washindwe je watakubali matokeo wanasema hatuwezi kushindwa kwa sababu NEC ni yao, pamoja na police, Jeshi la ulinzi na kila kitu! WANAJESHI NAO NJAA KALI WANADHULUMIWA na Shimbo wanafyata! na hili jeshi la kibongo ni la wapenda starehe! Well, they'll get what they deserve very soon!
   
Loading...