Maana ya Ushindi wa CCM Igunga kuelekea Chaguzi nyingine zijazo

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
230
Kwa mujibu wa matokeo ya Nape Nnauye CCM imepata kura 26266 na CDM kura 22443, hii ikiwa ni tofauti ya kura 3823. Kwa wachambuzi makini wa siasa(wasio na ushabiki), ushindi huu si dalili njema kwa CCM, kwa sababu zifuatazo:
1. CCM imeporomoka kutoka kura 35674 hadi kura 26266 ikiwa na maana zaidi ya wapiga kura 9408 wameikataa CCM ndani ya miezi 11
(okt 2010-sept 2011)
2.Upinzani umepanda kutoka kura 11321 hadi zaidi ya kura 22443, ikiwa na maana kuwa imani kwa upinzani imeongezeka
3. CCM imeshindwa kuvunja rekodi yake yenyewe, kwa hiyo anayetakiwa kutembea kifua mbele si CCM bali CDM

Nasema hii ni dalili mbaya kwa CCM kwa kuchukulia mfano thabiti wa Uchaguzi mdogo wa jimbo la Biharamulo julai 2009. CCM walishinda kwa kura 17561 dhidi ya upinzani uliopata kura 16898(CDM 16700 na TLP 198), lakini ulipofanyika uchaguzi mkuu 2010, CDM waliibuka kidedea baada ya kulitwaa jimbo hilo.

Kama taarifa ya Nape ni sahihi, CCM wanaweza kufurahia kwa kuwa wameudhibiti ubunge wa Igunga, lakini wasifurahie kuwa wameshinda. Ni ishara nzuri sana kwa CDM na wapenda mageuzi kwa ujumla, hata Nape na makada wengine wa CCM wanajua hili.

CCM, TAA NYEKUNDU IMEWAWAKIA. FURAHINI KWA TAHADHARI
I STAND TO BE CORRECTED
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
73,766
74,415

Umeongea vizuri lakini mshindi ni mshindi hata kwa kura moja tu still ameshinda, jaribuni tena baadae. Katika analysis zako ulisahau kuwa magwanda walikuwa hawakuweka mgombea kabla ya miezi 11.

Nnawapa pongezi sana magwanda kwa kujitahidi, na nnawapa pongezi sana CCM kwa ushindi. Wote watazame matokeo na wajifunze kwa hayo matokeo ili chaguzi zingine ziwe na changamoto zaidi.

Naamini kuwa Serikali yoyote hufanya vyema zaidi pale kwenye upinzani mzuri zaidi, kwani wakiteleza tu, upinzani unachukuwa madaraka.

Hongera wana Igunga wote bila kujali itikadi yao kichama. Mbunge aliyechaguliwa aanze kazi ya kuwatumikia wananchi na isiwe kama wabunge wengine ambao hugombea kwa sababu zao binafsi.
 
Jasusi

JF-Expert Member
May 5, 2006
11,531
5,357
Umeongea vizuri lakini mshindi ni mshindi hata kwa kura moja tu still ameshinda, jaribuni tena baadae. Katika analysis zako ulisahau kuwa magwanda walikuwa hawakuweka mgombea kabla ya miezi 11.

Nawapa pongezi sana magwanda kwa kujitahidi, Na nawapa pongezi sana CCM kwa ushindi. Wote watazame matokeo na wajifunze kwa hayo matokeo ili Chuaguzi zingine ziwe na changamoto zaidi.

Naamin i kuwa Serikali yoyote hufanya vyema zaidi pale kwenye upinzani mzuri zaidi, kwani wakiteleza tu, upinzani unachukuwa madaraka.

Hongera wana Igunga wote bila kujali itikadi yao kichama. Mbunge aliyechaguliwa aanze kazi ya kuwatumikia wananchi na isiwe kama wabunge wengine ambao hugombea kwa sababu zao binafsi.
Faizafoxy,
I can't believe my eyes. Huyu ni wewe kweli au kuna mtu kaiba ID yako? Au ile safari Marekani imekufungua macho?
[h=6][/h]
 
kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
18,555
11,324
Mapambano bado yanaendelea yaani ndio kumekucha sasa,CDM lazima tuchukue nchi ILA NAWALAANI SANA BAADHI YA WANAIGUNGA KWA KUIPA UNAFUU CCM,sukari na mahindi mlivyohongwa mwisho ni jana jiandaeni kusurubika mpaka 2015,mnadanganyika kwa vijizawadi?Na NYIE CUF TUNAWAOMBA MUACHANE NA SIASA AU JIUNGENI MOJA KWA MOJA CCM,hakuna mlichofanya zaidi ya kuweka kauzibe hamna tofauti na chama cha Dovutwa,huku bara hamtakiwi fanyeni maamuzi magumu.
 
Kwa muono kama huo hutachukuwa nchi hata ufanye nini. Punguza jazba, sherehekea ushindi wa CCM kwa kujipanga na kuanza kuyafanyia kazi yaliyokusibu ukashindwa kura. Kuwalaani wana wa Igunga ni kujipa laana wewe mwenyewe. Wengi hawajakuchaguwa kwa sababu, zitafute hizo sababu ujirekebishe.
 
SOBY

JF-Expert Member
Sep 19, 2011
1,268
456
Mapambano bado yanaendelea yaani ndio kumekucha sasa,CDM lazima tuchukue nchi ILA NAWALAANI SANA BAADHI YA WANAIGUNGA KWA KUIPA UNAFUU CCM,sukari na mahindi mlivyohongwa mwisho ni jana jiandaeni kusurubika mpaka 2015,mnadanganyika kwa vijizawadi?Na NYIE CUF TUNAWAOMBA MUACHANE NA SIASA AU JIUNGENI MOJA KWA MOJA CCM,hakuna mlichofanya zaidi ya kuweka kauzibe hamna tofauti na chama cha Dovutwa,huku bara hamtakiwi fanyeni maamuzi magumu.
Mtapoteza at least two seats in Arusha LGAs by-elections. That is going to be a refferrendum to CDM, Igunga was a refferrendum to CCM.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,931
287,582
Umeongea vizuri lakini mshindi ni mshindi hata kwa kura moja tu still ameshinda, jaribuni tena baadae. Katika analysis zako ulisahau kuwa magwanda walikuwa hawakuweka mgombea kabla ya miezi 11.

Nnawapa pongezi sana magwanda kwa kujitahidi, na nnawapa pongezi sana CCM kwa ushindi. Wote watazame matokeo na wajifunze kwa hayo matokeo ili chaguzi zingine ziwe na changamoto zaidi.

Naamini kuwa Serikali yoyote hufanya vyema zaidi pale kwenye upinzani mzuri zaidi, kwani wakiteleza tu, upinzani unachukuwa madaraka.

Hongera wana Igunga wote bila kujali itikadi yao kichama. Mbunge aliyechaguliwa aanze kazi ya kuwatumikia wananchi na isiwe kama wabunge wengine ambao hugombea kwa sababu zao binafsi.

Mshindi si mshindi kama amechakachua uchaguzi ambao haukuwa huru na wa haki. Kama kungekuwa na tume huru ya uchaguzi basi magamba wasingeweza kabisa kuchakachua kura na hivyo kuibuka na ushindi. Kama kweli kutakuwa na katiba mpya 2014 na tume huru ya uchaguzi na siyo hii iliyopo sasa (tume ya uchaguzi ya CCM) basi 2015 ndio utakuwa mwisho wa CCM katika anga za siasa Tanzania.
 
Hizo sababu ni za kitoto. Kama unayajuwa yote hayo kabla ya uchaguzi uliingia kwenye kinyang'anyiro kwanini, si ungesusa kama kawaida yako?

Na hao kina Mbowe na Zitto na Mdee na wengine wengi tu waliopo bungeni walichaguliwa kukiwa na tume ipi? Wacha.
 
Mwisho wa magamba unakaribia, hamna jipya zaidi ya wizi wa kura na kuifilisi nchi.
 
mwacheni77

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
763
209
Hizo sababu ni za kitoto. Kama unayajuwa yote hayo kabla ya uchaguzi uliingia kwenye kinyang'anyiro kwanini, si ungesusa kama kawaida yako?

Na hao kina Mbowe na Zitto na Mdee na wengine wengi tu waliopo bungeni walichaguliwa kukiwa na tume ipi? Wacha.
Tume hiyohiyo uchwara kumbuka kuwa kuna majimbo hayaibiki hata kwa mtutu
 
Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
1,187
MATOKEO YA NAPE YATAUMBUA CCM ZAIDI KUHUSU UCHAKACHUAJI WAO WA
KUNUNUA KURA ZA CUF NYUMA YA PAZIA IGUNGAHebu fikiria

1. mtokeo ya kata moja iitwayo
MBUTU yametolewa mara mbili kwa takwimu za aina mbili tofauti huku CCM ikipata kura nyingi mno katika mazingira hiyo tata (Matangazo ya Nape).

2. Katika hali isiokawaida,
kura za CUF zimepotelea wapi ghafla wakati ni chama kimojawapo kilichokua nga nguvu sana Igunga???????

3. Kwa nini Nape kama kiongozi mojawapo wa vyama vinavyoshindana katika kinyang'anyiro hicho
aachiwe jukumu la KUTANGAZIA TAIFA matokeo ya uchaguzi???

4. Kwa Mujibu wa 'Matokeo ya Nape', CCM imeshinda kwa kura
26,266 na CHADEMA 22,443 lakini kwa kura zilizotokana na kata 22, je kura za kata zingine 4 ziko wapi na kitu gani kinatuminisha kwamba ushindi unaweza ukapatikana bila kata hizo 4???????????

5.
Kwa nini Tume ya Uchaguzi ishindwe mpaka sasa hivi kujumlisha na kutangaza matokeo ya Igunga mpaka hivi sasa lakini Nape na CCM wao waweze????????????

Bila HAKI uchaguzi Igunga bado haujafanyika kamwe!!!!!!!!!!!!!!! Kweli hizi ni Saisa uchwara mtupu chini ya CCM inayoelekea kufa kabla ya 2015.

Umeongea vizuri lakini mshindi ni mshindi hata kwa kura moja tu still ameshinda, jaribuni tena baadae. Katika analysis zako ulisahau kuwa magwanda walikuwa hawakuweka mgombea kabla ya miezi 11.

Nnawapa pongezi sana magwanda kwa kujitahidi, na nnawapa pongezi sana CCM kwa ushindi. Wote watazame matokeo na wajifunze kwa hayo matokeo ili chaguzi zingine ziwe na changamoto zaidi.

Naamini kuwa Serikali yoyote hufanya vyema zaidi pale kwenye upinzani mzuri zaidi, kwani wakiteleza tu, upinzani unachukuwa madaraka.

Hongera wana Igunga wote bila kujali itikadi yao kichama. Mbunge aliyechaguliwa aanze kazi ya kuwatumikia wananchi na isiwe kama wabunge wengine ambao hugombea kwa sababu zao binafsi.
 
Curriculum Specialist

JF-Expert Member
Oct 8, 2007
2,731
749
Mshindi si mshindi kama amechakachua uchaguzi ambao haukuwa huru na wa haki. Kama kungekuwa na tume huru ya uchaguzi basi magamba wasingeweza kabisa kuchakachua kura na hivyo kuibuka na ushindi. Kama kweli kutakuwa na katiba mpya 2014 na tume huru ya uchaguzi na siyo hii iliyopo sasa (tume ya uchaguzi ya CCM) basi 2015 ndio utakuwa mwisho wa CCM katika anga za siasa Tanzania.

Mimi nawashangaa watu hapa wanajadili as if CCM imeshinda na imeshinda kwa uhalali! Huwezi kujua imeshindaje na CDM imeshindwaje kwenye mfumo ambao daftari la wapiga kura ni mali ya serikali na haliwezi kuwa audited na indipendent institution! Na mimi kinachonishangaza na kunipa wasiwasi na daftari la wapigakura ni idadi kubwa ya watu wanaodaiwa wamejiandikisha kama igunga 171,000 lakini waliopiga kura ni takribani elf 50, hivi kweli hao watu 171,000 wapo kweli au ni usanii a ccm kwamba ilisajili watu in advance na kwahiyo ina kura za ziada!
 
gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
3,230
3,106
Kwa mujibu wa matokeo ya Nape Nnauye CCM imepata kura 26266 na CDM kura 22443, hii ikiwa ni tofauti ya kura 3823. Kwa wachambuzi makini wa siasa(wasio na ushabiki), ushindi huu si dalili njema kwa CCM, kwa sababu zifuatazo:
1. CCM imeporomoka kutoka kura 35674 hadi kura 26266 ikiwa na maana zaidi ya wapiga kura 9408 wameikataa CCM ndani ya miezi 11
(okt 2010-sept 2011)
2.Upinzani umepanda kutoka kura 11321 hadi zaidi ya kura 22443, ikiwa na maana kuwa imani kwa upinzani imeongezeka
3. CCM imeshindwa kuvunja rekodi yake yenyewe, kwa hiyo anayetakiwa kutembea kifua mbele si CCM bali CDM

Nasema hii ni dalili mbaya kwa CCM kwa kuchukulia mfano thabiti wa Uchaguzi mdogo wa jimbo la Biharamulo julai 2009. CCM walishinda kwa kura 17561 dhidi ya upinzani uliopata kura 16898(CDM 16700 na TLP 198), lakini ulipofanyika uchaguzi mkuu 2010, CDM waliibuka kidedea baada ya kulitwaa jimbo hilo.

Kama taarifa ya Nape ni sahihi, CCM wanaweza kufurahia kwa kuwa wameudhibiti ubunge wa Igunga, lakini wasifurahie kuwa wameshinda. Ni ishara nzuri sana kwa CDM na wapenda mageuzi kwa ujumla, hata Nape na makada wengine wa CCM wanajua hili.

CCM, TAA NYEKUNDU IMEWAWAKIA. FURAHINI KWA TAHADHARI
I STAND TO BE CORRECTED

Umejitahidi kutoa takwimu ambazo kimsingi zinazungumzia mchakato mzima pamoja na changamoto zinazo zikabili CCM na CDM uchaguzi Igunga.
Umekua muwazi kwakukubali matokeo pasipo kutoa visingizio visivyo maana.Hivi ndivyo magwanda wenzio wanavyopaswa kua kwani hii ndio demokrasia.
CCM oyeee!
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
73,766
74,415
Mwisho wa magamba unakaribia, hamna jipya zaidi ya wizi wa kura na kuifilisi nchi.

Ikiwa mnategemea kuchukuwa uongozi kwa mawazo kama hayo, basi ujuwe ni bado sana. Nilidhani mtakuja na jipya la maana kumbe hamna lolote zaidi ya majungu.
 
muafaka

Senior Member
Oct 30, 2009
101
15
Mimi nawashangaa watu hapa wanajadili as if CCM imeshinda na imeshinda kwa uhalali! Huwezi kujua imeshindaje na CDM imeshindwaje kwenye mfumo ambao daftari la wapiga kura ni mali ya serikali na haliwezi kuwa audited na indipendent institution! Na mimi kinachonishangaza na kunipa wasiwasi na daftari la wapigakura ni idadi kubwa ya watu wanaodaiwa wamejiandikisha kama igunga 171,000 lakini waliopiga kura ni takribani elf 50, hivi kweli hao watu 171,000 wapo kweli au ni usanii a ccm kwamba ilisajili watu in advance na kwahiyo ina kura za ziada!

Nyiie CDM mmezidi malalamiko as if you are saints! katika dunia hii there will never be the so called tume huru ya uchaguzi, what is important of all is TRANSPARENCY nothing more. NEC katika uchaguzi wa Igunga wamejitahidi kuwa very transparent na ndio maana hata CDM wameshiriki uchaguzi bila complains ukiacha visingizio vya kushindwa hata kabla ya matokeo kutolewa. tuwe fair katika judgemnt zetu. tunategemea uwe rational unapotoa mawazo yako JF.
 
Jan 8, 2011
99
30
Umeongea vizuri lakini mshindi ni mshindi hata kwa kura moja tu still ameshinda, jaribuni tena baadae. Katika analysis zako ulisahau kuwa magwanda walikuwa hawakuweka mgombea kabla ya miezi 11.

Nnawapa pongezi sana magwanda kwa kujitahidi, na nnawapa pongezi sana CCM kwa ushindi. Wote watazame matokeo na wajifunze kwa hayo matokeo ili chaguzi zingine ziwe na changamoto zaidi.

Naamini kuwa Serikali yoyote hufanya vyema zaidi pale kwenye upinzani mzuri zaidi, kwani wakiteleza tu, upinzani unachukuwa madaraka.

Hongera wana Igunga wote bila kujali itikadi yao kichama. Mbunge aliyechaguliwa aanze kazi ya kuwatumikia wananchi na isiwe kama wabunge wengine ambao hugombea kwa sababu zao binafsi.

FF hapo angalau umenena kumbe kuna wakati bongo yako huchemka. Ukweli ushindi ni ushindi lakini hizi ni dalili mbaya sana kwa CCM. CCM isipojiweka sawa itakuwa chama cha upinzani soon. Uchaguzi wa ndani ya chama mwakani wajipange vizuri na secreteriet hii ya Mukama ivunjwe na arejeshwe Jaka Mwambi kwani huyu aliyepo sasa hana uwezo mkubwa anaendekeza propaganda za kizamani. CCM wamshukuru Mwigulu huyu anaweza kuwa hazina kubwa kwenye chama. Pia january naye si mbaya ila wapatiwe nafasi ya kusema na kushauri. Si mbaya hata bashe mnayemwona hayawani naye mkawa mnamsikiliza kwa sababu uelewa wa wananchi na wana CCM ni mkbwa watu sasa hawataki propaganda , wanataka facts tu. Nawapongeza CDM kwa hatua njema msimame kutoka hapo mtazame macho mbele. Pia hongera kwa wanaigunga na watz waliotoa ujumbe kuwa wao ni wamoja bila kujali fikra mbinu za wana siasa hasa CCM za kuwagawa kwa kupandikiza udini. Tuepuke kujidanganya kuwa watz wazalendo wataingia ktk mitego yenu. Mungu ibariki Tanzania
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

10 Reactions
Reply
Top Bottom