pascaldaudi
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 534
- 96
Rushwa na Chaguzi za Tanzania,
- Watanzania ni waaminifu sana.
- Si jambo geni na wala siyo mtindo mpya kwa wapiga kura kupewa vijihela (Tshs 1,500 labda mpaka 10,000) ili wampgie kura mgobea fulani bila kujali ana sela gani.
- Pamoja na kuwa kura ni siri, ila mtanzania uliyempa vihela akupigie kura atakupgia tu hata kama huna sera (kwa sababu ni waaminifu)
- Na vyama vya siasa ndiyo vinatumia huu mwanya,
- pamoja na machungu ya nchi yetu nzuri tuliyo nayo sisi great thinkers, lakini kuna hili kundi la watanzania wenzetu ambao na ni wala rushwa ndogo ndogo (haswa wakati wa uchaguzi)
- Hii kweli inarudisha nyuma sana juhudi za ukombozi na kuleta maendeleo