Ndivyo tulivyo!

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
416
Vumbi lilikuwa likitimka Igunga huku helkopta zenye mbwembwe nyingi zikipasua anga. Kampeni zilifanyika kwa nguvu kubwa huku madege hayo yakitumika kwa ajili ya kuwavuta wapiga kura. Bila ya shaka madege hayo yangekuwa yanapelekwa haraka wakati wa majanga mfano kuzama kwa meli kule nungwi. Ni imani yangu kuwa watu wengi wangekuwa wanasalimishwa maisha yao. Lakini tumetanguliza mbele maslahi binfsi. Lakini stali yetu ya maisha hii.
 

Mlangaja

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
573
216
Serikali yako ilipeleka helkopta ngapi kama zi zile za nje ya nchi tu? Serikali inayohusika moja kwa moja haikufanya hivyo kwa muda mwafaka iweje vyama vifanye hivyo. Inauma sana kuona jinsi fedha zilivyoteketezwa Igunga, lakini hakuna jinsi ukombozi ni mgumu sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom