Mikakati ya ccm baada ya ushindi wa igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikakati ya ccm baada ya ushindi wa igunga

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by MPAMBANAJI.COM, Oct 7, 2011.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  CCM ni mizengwe tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,nawashangaa sana wanaokisapoti hiki chama. Acha wavurugane hadi kieleweke wakati CDM kinapaa anga ya kukubalika hapa Tz.

  Kama hujui wanaCCM wanamkakati wa kuzunguka nchi nzima kuhakikisha kuwa wanatangaza na kujipongeza kwa ushindi waliopata Igunga. JE pesa zote hizo za kujitangaza siwangewapelekea wanaigunga walau maji kwa kuchimba visima vidogovidogo?. Pia haiingi akilini viongozi wake kuitisha mikutano katikati ya barabara na kufunga barabara eti mikakati ya kujipongeza kwa ushindi wa kifisadi wa Igunga. Kule Mshi huwezi amini ujinga kama huu ulitokea na watu kusumbuka ktk shughuli mbalimbali kutokana na mkutano wao wa kupongeza ushindi wa kifisadi huko Igunga.

  Cha kusikitisha zaidi makada wengi walionekana ni watu wasiokua na uwezo wa kuchambua mambo. Huwezi kuwa kwenye jimbo tofauti na Igunga afu unasema" Igunga huye' kwa wakazi tofauti na Igunga nawe unaitika hoyeeeeeeeeeeee'. Huu ni umaskini wa kufikiri na akili, wengi wa mawshabiki waCCM WAMEPUMBAZWA kisiasa.

  Watakaohusika ni Makatibu wakuu na Wenyeviti wa Wilaya kwa kila Mkoa.Pia CHADEMA kinaonekana kutupiwa kila aina ya lawama kwa mapungufu yote yaliyoonekana hapa Igunga. Kitu ambacho kinaonekana ni kukipanua chama hiki kwa watu wengi, kutokana na ukwweli kuwa hiki si chama kilichoshika dola na pia kulikua na vyama vingine mfano CCM B maarufu kama CUF.
   
Loading...