Kulikoni? Helicopter zarindima Arusha!

Kulikoni? Helicopter zarindima Arusha!

sigienet

Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
57
Reaction score
3
Ilikuwa ni jana majira ya saa saba na leo majira ya asubuhi.

Zimeonekana helkopta tatu zikiruka kwa kufuatana. Cha kushangaza iliyotangulia ina rangi ya njano ubavuni na sehemu iliyobakia ni kijani!!!!!!!!!11
je, ni ile iliyokuw igunga imeshaanza mchakato wa uchaguzi wa madiwani unatarajiwa!!

Kama kuna mwenye info kamili atujulishe.
 
kuna mambo mawili nayahisi hapo. Jana ulimsikia Maige tbs akiwa assure watalii kuwa Tz ni salama kwa watalii tofauti na Mombasa Kenya la Pili Kwani ile kesi ya kina Mbowe haiendelei leo? lbada hili ni kwa kuguess zaidi wanamabunduki(Magamba) wanarudisha zile helikpta zao si tulisikia kabla ya kutua Igunga zilitokea Arusha
 
Nafikiri zina rudishwa ziliko tolewa maana walizikod kwa ajili ya kampeni za Igunga
 
Wana JF nashukuruni kwa kunipa hizo alternatives, naelekea kwenye viunga vya mji, naweza kuthibitisha hayo!!!!!!!!!!!1
 
1-CCM
2-CUF
3-Viongozi wa serikali waliokupo igunga
 
Naomba kurekebisha taarifa ilotolewa hapo juu kidogo.
Jana asubuhi zilipita helkopta sita kuelekea town.. Jioni zikarudi nne kuelekea zilipotoka.
Leo asubuhi mida ile ile ya jana zimepita tatu kuelekea mjini.
 
Yawezekana yule Mbunge wa Arumeru aliyekuwa mahututi labda anapanda Helkopta kwa mara ya mwisho. Teh teh teh .......
 
Kweli na mimi nimeziona sijui kuna ajenda hapa.
 
Poleni wakuu kwa mshtuko!!! Hizi Chopa ziko hapa A town kwa shughuli za utalii. Kuna Tour Company moja imezikodi wanafanya game Ngorongoro, Serenget na Manyara. Nafkiri wana VIP clients wanaohitaji privacy.
 
asante kwa kutujuza.
 
Nafikiri zina rudishwa ziliko tolewa maana walizikod kwa ajili ya kampeni za Igunga

hivi we dafi si mwandishi wa gazeti la kubenea ama?kama ndie mbona una upeo kiduchu ivo?
 
Back
Top Bottom