AL JAZEERA NAIROBI? why not DAR ES SALAAM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

AL JAZEERA NAIROBI? why not DAR ES SALAAM?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bongolander, Aug 6, 2011.

 1. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Wakuu nilipost thread kule kwenye jamii intelligence naona imefinywa. Ilikuwa ni kuuliza ni kwanini mashirika karibu yote yanafungua ofisi zake Nairobi na sio Mwanza, Arusha au hapa Dar es salaam? Je TISS wanakuwa na taarifa in advance kuwa jamaa wanataka kufungua ofisi hizo? wana lobby ili jamaa wafungue ofisi hizo Tanzania? Ofisi hizo ni mzingo kwa nchi au ni advantage? Najua kuna watu hapa wenye uelewa kuhusu issue hii, ni vizuri tukiwa na TISS inayendana na wakati na sio inayfanya kazi kama za miaka ya karne ya 19
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Nairobi seems to be more investor friendly than Dar.

  Dar umeme tu mbinde for years, utataka watu waje kuweka ofisi zao viyoyozi full time?
   
 3. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kama lobbysts wa kibongo ama wahusika serikalini wamelala usingizi na ni bongolala unategemea nini?
   
 4. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,809
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Kenya have well educated work force besides speaking better English and writing fine Kiswahili.
   
 5. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umeme hamna unataka nini?
   
 6. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  DAR SI JIJI LA KUFANANISHA NA NAIROBI....

  Tanzania bado tupo nyuma sana.. tutakujwa kuachwa na Rwanda hivihivi...
   
 7. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Too much maimunas, bongolalas and phony journalists
   
 8. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Issue ni umeme tu, haiwezekani mkategemea investors wanaokuja kwa ajili ya tax holiday pekeyake, watu wako focused wanataka wapige kazi wapate faida huku wakilipa kodi. Si tutaendelea kupokea wasanii. Ila NRB SIO MBALI
   
 9. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Watatumia hela nyingi sana kununua mafuta ya jenereta.


  Kubwa zaidi kampuni ni yao na wao wanaangalia sehemu gani inafaa kuweka tawi lao.
   
 10. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nairobi is now one of the most prominent cities in Africa politically and financially.[SUP][8][/SUP] Home to thousands of Kenyan businesses and over 100 major international companies and organisations, including the United Nations Environment Programme (UNEP) and the main coordinating and headquarters for the UN in Africa & Middle East, the United Nations Office in Nairobi (UNON), Nairobi is an established hub for business and culture. The Nairobi Stock Exchange (NSE) is one of the largest in Africa and second oldest exchange.It is ranked 4th in terms of trading volume and capable of making 10 million trades a day.[SUP][9][/SUP] The Globalization and World Cities Study Group and Network (GaWC) defines Nairobi as a prominent social centre.[SUP][citation neededNairobi - Wikipedia, the free encyclopedia][/SUP]
   
 11. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kenyans are so aggressive in attracting foreign investors. Furthermore, Obama is purpoted to be one of top Al Jazeera share holders. It's not astonishing that they have decided to station their Swahili TV channel in Nairobi.
   
 12. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #12
  Aug 6, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,246
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Tatizo kubwa ni Kikwete na Ccm yake!
   
 13. k

  king11 JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kijana wacha kusema ofisi hizo ni hatari kwa chama tawala kwani zikiwa hapa nchi itamulikwa na habari mpaka za vijijini zitajulikana duniani kote uoni walimfukuza tido tbc sasa yakija mashirika makubw si ndio basi tena wananchi wote watajua nini kinaendelea
   
 14. Son of Africa

  Son of Africa JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 233
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  We Borne Identity Jason wanajamiiforums tuna akili kweli lajini swali ni..Je jukwaa hili pekee lawezashauri nini tufanye ili tuwe kama Kenya. BINAFSI sitamani kabisa kuwa mkenya...aaaaghf..ukabila..life ngumu mpaka wanakimbilia kujibanza huku..bungeni ngumi..jambo ambalo ni final decision ya wanyama..na ushenzi mwingi tu..hv u ever been in Kenya...which part and for how long anyway...shuka vitu ili watu waipende kama wewe...Usiweke tu mapazia ya kenyan flags dirishani kwako ni aibu baba...cha mtu mavi enzi chako. I hate ukabila..udini...uchawi..etc
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Hivi kuna mtu ana figures za DSE wana process trades ngapi/ za thamani gani daily? Nilikuwa nasoma kwenye "The Economist" ya wiki takriban mbili nyuma wanakwambia kuna stock markets kama za Mozambique unaweza kuchukua miezi 6 kumaliza trade moja, na baada ya miaka 15 ya Dar-es-salaam Stock Exchange ina kampuni 16 na market cap of $ bn 3.7 ( figures by African Securities Exchange Association)
   
 16. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />

  Tatizi 10 pasent kwa mabosi/waheshimiwa
   
 17. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #17
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,809
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Nairobi emerging as IT innovation hub and beneficiary BOP.
   
 18. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #18
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,809
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Nairobi emerging as IT innovation hub and beneficiary of BOP.
   
 19. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Kwani si washatuacha!tutakuwa wa mwisho kabisa na sera zetu mbovu na serikali yetu legelege
   
 20. Izack Mwanahapa

  Izack Mwanahapa JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 497
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  CCM haitaki vyombo huru vya habari Tanzania, angalia marumbano yanayoendelea kati ya serikali na magazeti makini kama vile mwanahalisi, Raia mwema na Mwananchi, lakini pia kumbuka kilichotokea kwa Tido Mhando alipotaka kuifanya TBC1 kuwa the real national tellevision.
   
Loading...