Mihadhara ya kidini vs mikutano ya Siasa

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,551
774
WaTanzania watu wa amani sana. Nakumbuka zamani in the 90's mtu ukipita pale mnazi mmoja ndio ilikuwa kama ndio SPEAKERS CORNER yetu...kuanzia wana conspiracy theory mpaka wana mihadhara.

Ukitazama hii video hapo chini utaona wakristo na wa islam wa Tanzania wanakutana wana debate bila kuingizia serikali gharama zozote zile za ulinzi na kadhalika

Ukilinganisha na mikutano ya kisiasa utashangaa serikali inavyogharamika kupeleka FFU, POlisi, Uslama etc

mimi sioni ubaya ukaruhusiwa kuendelea as long as hakuna uvunjaji wa amani. Infact you are more likely kukashifiwa kwenye mikutano ya siasa kuliko ya kidini.

I miss those days....


vs

 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom