Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mabalozi 18 wa CCM wa Igunga wamejivua gamba. Wamesema CCM imeshinda kwa sababu walikuwa wanatoa rushwa na ushahidi upo na wanaeleza pia jinsi m/kiti wao alivyokua anasambaza 45mil. Wasema...
0 Reactions
92 Replies
8K Views
KAMPUNI ya Singita Grumeti Reserves , inayomiliki hoteli ya nyota tano ya Sasakwa imeahidi kuchangia ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa. unaotarajiwa kujengwa katika Kijiji cha Burunga...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kumeibuka wimbi la wake wa maraisi kuanzisha taasisi za kijamii,hili limepata kasi kwa mama Ana na Salma.Swali langu ni mama Maria na Siti nao walikuwa au wanazo taasisi?. Nawasilisha.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Siku chache zilizopita kumekuwa na habari ambayo imejaribu kuonesha umahiri mkubwa wa JWTZ kukabiliana na maharamia. Kwamba watu kama nane wanaosadikiwa kuwa ni maharamia walikamatwa walipojaribu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wed, Sep 7th, 2011 Wed, Sep 7th, 2011| Tanzania Iranian Secretary General of the East African Community (EAC), Dr Richard Sezibera The Islamic Republic of Iran has appointed its...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ikiwa tumebakiza miaka michache kwa muungano wetu kutimiza miaka 50 kuna haja ya kujistasmini ili kuondoa dhana tata ktk muungano wetu.Moja ni kwamba ka nchi hii imeundwa na nchi mbili kwa nn ina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MTU MMOJA ASADIKIWA KUFA KWA KUPIGWA RISASI YA USO NA POLISI POLISI wilayani Geita, mkoani Mwanza wamelazimika kutumia risasi za moto kupambana na wananchi zaidi ya 200 ambao ni wachimbaji wadogo...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
CDM, CCM hata CUF wanaweza kukubali matokeo, ni mtazamo wa nia zao. Ila Mimi kama Mtanzania wa nchi inayodai ni huru tena ya kidemokrasia.. SIKUBALI WALA KUAFIKI Matokeo ya Uchaguzi wa jimbo la...
8 Reactions
50 Replies
7K Views
Nawasabahi wana JF katika Jina La Mageuzi!! Mimi sina muda Mrefu tangu nijiunge na Jukwaa hili ambao Wanachama wake wengi(si wote) wanao uwezo wa kipekee kabisa wa Kufikiri,hawa ndiyo wale...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeshangazwa sana na kauli ya Samweli Sitta katika ufunguzi wa Jukwaa la Afrika Mashariki. Anasema litajumuisha nchi zote 5 na taasisi ya moja ya Ujerumani. Hivi kweli hatuwezi kufanya kitu chetu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
UDSM ni chuo chenye heshima ndani na nje ya nchi. Wanasiasa na wataalam wengi ndani na nje nchi wametokea hapo. kwahiyo chuo kama hiki kinapotaka kutoa tuzo za heshima kwa mtu yoyote ni lazima...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo nimeona kituko michuzi nikazijuliza maswali siwezi kuyajibu:- Mojawapo ya swali ni hili hivi kweli hatuoni aibu mtu binafsi ananunua Boeing mbili wakati serikali yetu inashindwa kununua hata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
David Jairo aondoka na funguo za ofisi Wengine wahoji miaka 20 ni ya dharura gani? Vigogo wahaha Symbion ipewe mkataba wa miaka 20 HUKU Bunge likichunguza madai ya kuwapo fedha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nape mimi ni mwanachama wa muda mrefu wa CCM ila ninakerwa sana na utendaji wa serikali ya chama changu, kama kijana mwenzako nauliza, je mdahalo wa ITV KUHUSU DOWANS ulisikiza? Umejifunza nini...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Rais wa Zambia mheshimiwa Sata amesitisha shughuli zote za kusafirisha Shaba kutoka Nchini mwake, amesema mpaka hapo kanuni na utaratibu zilizowekwa kuangalia upya na Serikali yake. Vipi hii stop...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wadau wa Jf, naomba ufafanuzi wa kazi za kisiasa katika nchi!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Madiwani waliofukuzwa wamvaa Mkurugenzi Arusha Send to a friend Thursday, 06 October 2011 21:12 Peter Saramba, Arusha MADIWANI watano...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Inavyo onyesha ndg zangu wadau serikali hii ya JK na operative wake kina TAKUKURU na Bwn Fereshi DPP, wameshindwa kabisa kuwapeleka mahakamani wezi na mafisadi waliofirisi nchi yetu!!!!! Mbaya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF nimesikitishwa na taarifa(fununu)kuwa eti mijamaa pale UDSM wamepanga kumtunuku JK tuzo ya PhD ya heshina katika miaka 50 ya uhuru!! Kama ni honorary PhD wako candidates wengi TZ.......na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hili Demokrasia iwepo na kukua ni lazima uwepo uchaguzi huru,wenye usawa na uwazi.Hii ni misingi muhimu katika Demokrasia ingawa waweza kuwa na uchaguzi bila Demokrasia. Kuna chaguzi nyingi...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…