Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnuye amesema uchaguzi wa Igunga umemalizika na watu waache kupiga kelele hovyo kwenye vyombo vya habari.
Igunga tumeshinda kwa kishindo kikubwa, watu...
Habari yenu jamaa! Ninashida kubwa sana ya kuonana na mbunge wangu wa ubungo ndugu John Mnyika sijui nitamwonaje? Kwa mwenye mawasiliano nae naomba unisaidie nionane na mheshimiwa. Namba...
Mida hii ya asubuhi katibu mwenezi wa chadema anashikiliwa na polisi wa wilaya ya mwanga. Hoja zao eti atoe maelezo kuhusu mkutano wa jana nini kilizungumzwa.
Kweli hii serikali imeishiwa na...
Sina uhakika sana na uchapaji wa kazi wa waziri wa wiza hii, na especially kwamba anatoka chama kilekile cha mafisadi.
Lakini kwa kutoa tamko hili ameonyesha umakini mkubwa katika kazi yake kwa...
Katika uchaguzi uliopita jimbo la igunga mkoani Tabora,tulishuhudia ushindani mkali toka mwanzo wa kampeni mpaka siku matokeo yanatangazwa ambapo aliekuwa mgombea wa ccm alitangazwa mshindi kwa...
thanks kwa wana igunga kura zenu si bure na ikumbukwe kuwa katika uchaguzi mkuu uliopita hatukusimamisha mgombea so kwa wale walio dai walikuwa na mtaji wa kura za kuanzia imeonekana walivyo...
Tunatakiwa kabla ya kuandika katiba mpya yafanyike marekebisho ya katiba iliyopo ili kutoa mwanya unaoruhusu vyama vyote vya siasa kufutwa na kuundwa upya pasipo kutumia majina ya awali. Kwa...
Baada ya kutafakari sana na kutumia muda mwingi kuwaza jinsi gani kama ningepewa nafasi ya kumuenzi Rais Kikwete ningefanya nini nimejikuta na mapendekezo mengi sana yaliyonijia kwa ghafla...
Great thinkers! Nawaomba sana mzame na tulitafakari kwa makini na kama litakubalika liwekwe kwenye Katiba Mpiya. Ni hili hapa, "KATIBA ITAMKE KWAMBA NCHI HII NI KWA WANANCHI HALISI TU."...
Hatimaye watawala wapya wa Libya wametangaza baraza lao la mawaziri baada ya wiki sita tangu kuanguka kwa utawala wa Muammar Gaddafi, huku mapigano yakiendelea katika mji wa Sirte alikozaliwa...
asubuhi hii nimepita hapa JF nikakuta Uzi umeandikwa "CHADEMA YAFUNIKA MWANGA"
Hoja yangu ni kuwa ni Kweli CDM ni Chama ambazo watz wameanza kuwa na matumiani nacho, lakini tufikie hatua tuwe...
Ndugu wana Jf nimeona nianze kwa kusema hili hapo kwenye thread ili niweze kueleweka vyema
Kama ilivyo kwa watu,wanyama na mimea hata CCM nayo ni lazima itaonja mauti,mauti ya ccm ni mauti...
kuna tetesi kwamba yule aliyekuwa anagombea igunga kupitia chama cha UPDP mheshimiwa Hemedi Ramadhan kaamua kujiunga CUF ili kuongeza nguvu ya kukitoa chama cha mapinduzi madarakani.anasema...
Napenda kuchukua nafasi hii kuwauliza vyama vya upinzani mimi nataka kufahamu upinzani unapingana na nani?kwakuwa kwakitu nimekiona Igunga nikwamba wapizani wana ubinafsi wanafanya mpaka ccm...
Wanajamii nimeshangazwa na serikali ya awamu ya nne kutokutoa ulinzi stahiki kwa rais mstaafu mheshimiwa mzee Mkapa...kila nimwonapo anakuwa na escort ya rider mmoja( pikipiki) gari yake akiwemo...
Jamani hivi kweli kuanzishwa kwa mikoa 4 mipya( Katavi,Njombe,Simiyu na Geita) kuna maana yoyote ya kuleta maendeleo kwa wananchi wa maeneo haya. Kuna maswali kadhaa ambayo nimekuwa nikijiuliza...
Nimefuatilia MAHOJIANO LIVE RADIO 1/ITV NA MWANDOSYA mda si mrefu walikuwa wanaongea nae (Profesa Mark Mwandosya) kwa njia ya Simu anasema anaendelea vizuri tofauti na hali aliyokuwa nayo wakati...
Wakuu nimewaza sana.Nikafikiria mno kama katiba mpya na tume huru ya uchaguzi havitapatikana kabla ya uchaguzi mkuu TZ 2015 kuna kila dalilikua kuna chama kinaweza kusimamisha Jiwe likashinda.Sasa...
SALAAM KWA WANAJF WOTE
Chama cha Mapinduzi mnabweteka na vitu vidogo sana ambavyo mwisho wa siku mtaingiza nchi kunako vita vya wenyewe kwa wenyewe au vita kali ya udini. Dalili zipo wazi. Lakini...
MWAKA 2005 sukari 600/=,Mwaka 2010 ni 1800/=, hivyo 2015 itakuwa 5,400/=
MWAKA 2005 Mkaa gunia 10,000/=,Mwaka 2010 ni 35,000/=, hivyo 2015 itakuwa 105,000
MWAKA 2005 Mchele 600/=,Mwaka 2010...