Aliyekuwa mgombea wa UPDP Igunga ahamia CUF

Aliyekuwa mgombea wa UPDP Igunga ahamia CUF

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,571
Reaction score
62,165
kuna tetesi kwamba yule aliyekuwa anagombea igunga kupitia chama cha UPDP mheshimiwa Hemedi Ramadhan kaamua kujiunga CUF ili kuongeza nguvu ya kukitoa chama cha mapinduzi madarakani.anasema hafurahishwi na kuona vijana wa kitanzania kuendelea kuungua jua kama solar pannel.
huyu jamaa ndo alikua anasema kwenye kampeni zake kwamba akishinda wananchi watakuwa wanakunywa na kula hadi wakose rivasi kama samaki.kwenye uchaguzi wa igunga ulioisha alijikusanyia kura 63.mia
 
huyu anataka nafasi ya Mahona 2015 kasikia jamaa hagombei tena. Ila huko ndio kuna mfaa, na zile kampeni zake za vijana kuota jua kama soler pannel
 
Kama mahona hasipo gombea 2015 utamsikia mtatiro akimnadi uyu muamiaji mpya kwamba ana mtaji wa kura 63 ivyo wananchi wa igunga wana imani nae.
 
kuna tetesi kwamba yule aliyekuwa anagombea igunga kupitia chama cha UPDP mheshimiwa Hemedi Ramadhan kaamua kujiunga CUF ili kuongeza nguvu ya kukitoa chama cha mapinduzi madarakani.anasema hafurahishwi na kuona vijana wa kitanzania kuendelea kuungua jua kama solar pannel.
huyu jamaa ndo alikua anasema kwenye kampeni zake kwamba akishinda wananchi watakuwa wanakunywa na kula hadi wakose rivasi kama samaki.kwenye uchaguzi wa igunga ulioisha alijikusanyia kura 63.mia

Hemedi Ramadhani, ameaumua kwenda kwa wenzake! CCM B
 
mzee we ze very problem, pawatila kila shule!
 
huyu mchekeshaji sio mwanasiasa. Unajua watu wanambinu nyingi za kutaka kujulikana.Ya solar pannel niliisikia lakini ya samaki nimecheka hadi machozi.
 
Si yule aliyetoa hotuba akiwa amelewa ??!
 
Back
Top Bottom